Saturday, 15 November 2014

Re: [wanabidii] MBOWE ACHA UTOTO , ZITTO KABWE

Mtu aliyepata ZERO kwa kila kitu A level anawezaje kuajiria na benki kuu enzi za Charles Nyirabu?
em

2014-11-15 5:20 GMT-05:00 Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com>:
Freeman Mbowe ana rekodi
nzuri tu ambayo ili muwezesha
kujinyakulia "ZERO" kwa kila
alichokuwa akijifunza darasani...Wanasema haya ni maneno ya Zitto kwa Mwenyekiti wa Kudumu

On Saturday, November 15, 2014 1:17:32 PM UTC+3, Hosea Ndaki wrote:
Markus, zingine ni driving files ikizidelete computer haifanyikazi

On 11/14/14, Makaveli Markus <jiko...@gmail.com> wrote:
> Kuendesha mikutano na kujihangaisha kutaja jina la Zitto ni upuuzi. Majuzi
> nilisoma habari moja akisema kuwa tatizo la Zitto amerubuniwa na CCM.
> ..Nilishangaa unaendesha kampeni operesheni delete ccm kwa maneno dhaifu
> kama haya. Ynawasaidiaje hao anaotaka wai-delete CCM? hotbu kama hizo ni
> mantiki iliyopinda.
>
> 2014-11-14 12:22 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emug...@gmail.com>:
>
>> Sikujua barabara, madaraja na viwanja vya ndege Kigoma vimejengwa na
>> Zitto. Kwa hela yake mwenyewe?
>> em
>>
>> 2014-11-14 4:19 GMT-05:00 Yona Maro <oldm...@gmail.com>:
>>
>> Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Zitto Kabwe amesema
>> kitendo
>>> alichofanya Freeman Mbowe cha kumsimanga wakati wa mikutano yake ya
>>> hadhara mkoani Kigoma kuwa amemsaidia sana ni cha kitoto.
>>>
>>> Zitto amesema "nimeshangazwa na tabia ya Mbowe ya kunisimanga, tena
>>> kunisimanga nyumbani kwetu. Hata hivyo nimepuuza kwa maana kwa vyovyote
>>> vile aliongea bila kufikiri. Anasema nilitaka kusaliti chama, aseme kwa
>>> ushahidi maana kutamka tu hakuna maana hata kidogo."
>>>
>>> "Kiongozi mkubwa kama Mbowe anapaswa kujadili masuala ya Taifa na namna
>>> ya kutatua changamoto , sio kubaki kusema na kusimanga watu. Mbinu hiyo
>>> hailisaidii Taifa," Amesema Zitto.
>>>
>>> "Mimi nina rekodi ya kujivunia … nimeibadilisha Kigoma na kusimamia
>>> ujenzi wa miundo mbinu ya barabara, madaraja na viwanja vya ndege.
>>> Nimewezesha wakulima kuwa na hifadhiya jamii, bimna ya afya. Je, yeye
>>> kafanya nini Hai?" aliuliza Zitto.
>>>
>>> Zitto aliendelea kusema "Nimeibua hoja za maana Bungeni zikiwemo ya
>>> kubadili sheria kwa manufaa ya nchi. Yeye kafanya nini Bungeni kwa
>>> manufaa
>>> ya nchi tangu aingie?Ametoa hoja gani binafsi? Ametunga sheria gani
>>> binafsi?"
>>>
>>>
>>>  --
>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+...@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>
>>  --
>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+...@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
> --
> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+...@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+...@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment