Mwesiga
Hii ni investment. NSSF wana investment Director. Kabla hawaja announce kitu kwa public. Huyu bwana anafanya risk analysis ya investment hiyo. Na anaangalia kama kuna low risk au high risk kwenye investment hiyo.
Kwa NSSF ni good investment. Kwa kasumba ya utanzania wetu ni ndoto ya mchana, Ni kucheza na pesa ya wanachama , ni ulaji. All in All government agency and parastal organization ndo zinatakiwa zifanye wonders ili kuisaidia serikali katika kujenga hospital bora africa , vyuo bora africa na n.k
Regards
2014-11-01 7:50 GMT+03:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
Ulevi mwingine si lazima kugonga funga pingu hahah hakuna kitu kama hicho
On Oct 31, 2014 10:58 PM, "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Njovu;You are right,hebu tusimulie kdg urahisi wa maisha utapatikanaje?mana hawa jamaa wamesahau katika taarifa hii kutuambia umuhimu wa daraja hilo ktk maisha ya sasa ya Kibongo,au vibaka watapata unafuu wa kutubana waenda kwa miguu mana nao ni WaTz pia.Reuben
From: Xavery.L.K Chikatizo Njovu <njovucom@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, October 31, 2014 8:36 PM
Subject: Re: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar – Zanzibar laja
Hongera NSSF. " THIS IS THINK BIG ". Ni investment nzuri sana ambayo itafanya tz kuwa moja na maisha za znz kuwa marahisi kidogo.2014-10-31 11:53 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:Nadhani Dau amelewa madaraka.em2014-10-31 1:51 GMT-04:00 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Comrades;Je hiki ni kipaumbele sahihi na muhimu kwa sasa hapa Tz?Au tunatafuta opportunities za upigaji?Napita tu.Reuben
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, October 30, 2014 3:02 PM
Subject: [wanabidii] Daraja la kuunga Dar – Zanzibar laja
BAADA ya ndoto ya kuziunganisha pande mbili za katikati ya Jiji la Dar es Salaam na Kigamboni kwa daraja lenye umbali wa meta 680, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linaangalia uwezekano wa kujenga daraja la kihistoria zaidi litakalounganisha Dar es Salaam na Zanzibar.--
Kwa sasa, uongozi wa shirika hilo upo katika mazungumzo na wataalamu mbalimbali ili kuangalia uwezekano wa kujenga daraja hilo katika bandari ya Dar es Salaam kwa upande wa Tanzania Bara na Unguja, kwa upande wa Zanzibar.
Umbali kati ya Dar es Salaam na Zanzibar ni kilometa 73.43, sawa na maili 45.62 hivyo kuwapo kwa
mradi huo ni jambo linalowezekana, kwani kuna madaraja marefu zaidi duniani yanayounganisha upande mmoja wa bahari na mwingine.
Kwa sasa, daraja refu kabisa duniani ni lile la Danyang–Kunshan lililopo China ambalo lina umbali wa kilometa 165, sawa na maili 102.4. Daraja hilo lilifunguliwa Juni mwaka 2011.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk Ramadhan Dau wakati alipokuwa akijibu swali la Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda ambaye alitaka kufahamu kama kuna matarajio ya kujenga daraja kubwa zaidi, ikiwezekana la kati ya Dar es Salaam na Zanzibar.
Alisema wapo katika mazungumzo na wataalamu mbalimbali ambapo mazungumzo hayo yakienda sawa, ujenzi wa daraja hilo huenda isiwe ndoto, bali ukweli.
"Hilo wazo lipo mheshimiwa na tayari tumeshaanza mazungumzo ya awali, kwa hiyo hilo wazo lipo na sisi tulilifikiria," alisema Dk Dau.
Kamati hiyo ilifanya ziara katika miradi mikubwa mitatu ya shirika hilo ambayo ni daraja la Kigamboni, ujenzi wa nyumba za Mtoni Kijichi na 'Dege Eco village' ambao una nyumba zaidi ya 7,000.
Akizungumza wakati wa kuhitimisha ziara hiyo, Mtanda alisema, kamati yake imeridhishwa na miradi hiyo ya NSSF ambayo inaendelea huku akitaka kuongezwa kwa kasi ili watanzania waanze kunufaika na miradi hiyo.
"Muangalie na hilo la ujenzi wa daraja la kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar na mradi wa makazi bora na salama ambao utaweza kubadili taswira ya Jiji la Dar es salaam," alisema.
Alisema kamati yake isingependa kuona changamoto zozote ambazo zinaweza kukwamisha miradi hiyo na kwamba serikali kupitia Wizara ya Ujenzi itaangalia namna ya kuunganisha miundombinu karibu na miradi hiyo.
"Lakini pia tumesikia kuwa serikali inadaiwa na mifuko ya hifadhi, tunashauri serikali kuilipa mifuko hii ili kuifanya kuwa na nguvu na kuweza kuleta maendeleo," alisisitiza Mtanda.
- HabariLeo: NSSF kuunganisha Dar – Zanzibar kwa daraja
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--

--XAVERY LANGA KAPECHA CHIKATIZO NJOVU" The Poor man is not he without cent, but he who is without a dream"
0783 662681--

XAVERY LANGA KAPECHA CHIKATIZO NJOVU
0783 662681
" The Poor man is not he without cent, but he who is without a dream" 0783 662681
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment