Sunday, 23 June 2013

Re: [wanabidii] Fw: HAWA NDIO WAHISANI WETU

Kazi kwelikweli, nchi masikini lakini tunapoenda kwao kuomba tunaishi kwenye mahotel ya kifahali na kuishi maisha ya juu. Wanatakiwa waanze kutunyima, ndipo akili zitaingia kichwani. 

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, June 24, 2013 2:17 AM
Subject: Re: [wanabidii] Fw: HAWA NDIO WAHISANI WETU

Lakini hajavaa kofia kitu ambacho si kawaida ulaya. halafu-hawajamkamata ila wanampigia saluti. Inashangaza si kawaida.
Hapa kwetu huyu angekuwa katika gari la gharama la millioni miambili  tena peke yake hata sekretari wake akimkuta njiani hampakii. Halafu ana kitambi kikubwa, afya yake haingalii. Lunch time analetewa chakula hawezi kwenda cafeteria tena kwa gharama za ofisi sio gharama zake mwenyewe. Halafu tu masikini.

From: Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 22 June 2013, 12:18
Subject: [wanabidii] Fw: HAWA NDIO WAHISANI WETU

Subject:
HAWA NDIO WAHISANI WETU

Nasi je fedha wanazotufadhilia au kutukopesha tunatumiaje?

Dr.Msafiri
Subject: FW: HAWA NDIO WAHISANI WETU
 
WAZIRI MKUU  WA UHOLANZI,BW MARK MUTTE  AKITOKA  KAZINI  KUELEKEA  NYUMBANI  , AKITUMIA  USAFIRI  WA  BAISKELI……………………. (tena  bila  ya  mlinzi)
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment