Japhet hoja yako ni ya msingi sana na naomba waandishi na wachambuzi wenzangu tuzingatie hoja hii.
Mwassa
From: 'Japhet Makongo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, June 1, 2015 11:47 PM
Subject: [wanabidii] Re; Tunahitaji maelezo ya upande wa pili wa wanaotangaza nia
Tumewasikia na tunaendelea kuwasikia wanaotamani kuongoza nchi yetu miaka 5 ijayo. Wanaeleza mambo mengi watakayofanya kwa mbwembwe za kila aina. Kimsingi hivyo ndivyo ilivyo, ni wajibu wao. Vyombo vya habari vina kazi kubwa kufahamisha umma haya yote. Ombi langu kwa vyombo vya habari, sambamba na kutujuza wanayosema hawa waheshimiwa tunatarajia kusikia pia yale wasiyosema. Upande wa pili wa shillingi...wa kuwasaidia kueleza udhaifu wao wa nyuma ambao kwa namna moja unaweza kuwa umechangia kushidwa kwa utawala unaondoka, na hasa waow akiwa sehemu ya utawala hu. Tusaidieni kuweka hadharani tetesi zinazohusu udhaifu wao ambao hawawezi kusema. Hii itasaidia wa-Tz kufanya maamuzi sahihi.
Makongo
----------------------------------------------------------------
Japhet Maingu Makongo
Director, Ubunifu Associates Ltd
P.O. Box 32670, Dar es Salaam, TANZANIA
Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz,
Tel: +253 24 2732125+253 24 2732125, Mobile:+253 758 270 254+253 758 570 253
Director, Ubunifu Associates Ltd
P.O. Box 32670, Dar es Salaam, TANZANIA
Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz,
Tel: +253 24 2732125+253 24 2732125, Mobile:+253 758 270 254+253 758 570 253
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment