Saturday 28 March 2015

Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO

Mtawala yeyote atakayekuja kushika Nchi awaeleweshe watanzania mapema sana kuwa wakimchagua yeye haji kuwafanyia kazi, kufuta kuchangia matibabu au ada za shule au vyuo vya serikali, kuwazolea takataka wanazotupa katika mitaro wazi na ya chini ya ardhi. Akija ataangalia matumizi endelefu ya mali asili; matumizi ya usafi na uzingatiaji sheria za mipango miji na vijiji. Aliyevamia barabara, fukwe, kufunga njia za mitaa kwa kujenga kuweka vizuizi ajiandae. Waliohamia mabondeni na maeneo hatarishi salamu ya tingatika kubomoa ndio yaja na bila malipo. Kila mtu awajibike kuzingatia sheria kuu na ndogondogo. Hapo wataacha maandamano na kumbembeleza awanie yoyote yule. Tumechoka viongozi wanaoona uvunjaji sheria lakini hawakemei kwa chama kuogopa kukosa KURA. Hii inaleta uzembe katika utekelezaji wa Sera, Mikakati na Sheria katika sekta zote na kutufanya tubaki pale pale maisha kuharibu maisha yetu na urithi wa watoto wetu. Badala ya kuwaacha barabarani
wametuundika sketi na vyupi mpaka nje ya New Post Office HQRTs ya posta; wameziba njia mitaa yote kwa biashara na kusababisha foleni, magari kukatiza hovyo na ajali kuongezeka, vijana kuhamia mijini kutembeza zidiria mizigo kichwani anatembeza mtupa kutwa anatembea kilometa 20-50 kupata shs 10 elf-angebaki ngerengere, domona angelima nyanya, vitunguu, ngogwe, bamia etc na kusafirisha lori ngapi ndani na nje ya nchi? Mbona vile vizee vikilima yeye husubiri ziive na kwenda kuiba usiku kuzisafirisha akipata hela-kutembeza used items sio kuongeza kilimo. Rais aseme-nitafungua mashamba yaliyokuwa mamlaka mbalimbali za serikali za mazao mbalimbali, kumtuma kijana hodari wa NHC Mchechu ajenge nyumba, godowns, mjengewe cold and warm storage facilities, mifereji ya kumwagia maji; CCBRT-Kimei awape loans lakini awalipie malori directly mfanye kweli. Sitaki nione vijana wenye nguvu kwa maelfu wamejazana barabarani wakitembeza vivalo ay juu ya pikipiki na kufanya
mazoezi ya kutunisha misuri ili wapendeze. Waweke huko na kwanza wape 3 months za JKT wabadilike mtazamo. Wale wa kuwaahidi kuwa vitadondoka kama mvua wawape wajiajiri kwa bajaji, pikipiki-wanajitafutia mafuriko yatakayowazoa wao hao wa ahadi za uongo. Wafanya biashara wanaokataa mashine za kodi-wakifunga maduka-yafungwe kabisa. Wale ambao ukinunua cha laki 3 anatoa risiti siyo ya 50 elfu washitakiwe na walipe mara 2 ya laki tatu. Tunajiibia halafu tukipata shida tunategemea kodi za wazungu zitulishe kwa misaada ya vyakula (soseji na nyama za kopo za nguruwe twala). Tukipigana vita africa -twala hizo. Njaa ikiingia-tunaletewa twala na midawa mingine kama guinea pigs.
--------------------------------------------
On Fri, 27/3/15, 'Kitilu Mganga' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 27 March, 2015, 15:14hini ya ardhi.

Kenya kulikuwa na mambo
kama haya ya kashifa ya kuwa UHURU KENYATTA NA WILLIAM RUTO
wamefanya mabo mabaya kwa wakenya , lakini  mwisho wake
wanatawala. acheni hila za watawala, Lowasa hajafanya
Ufisadi wa RICHMOND ni Mbiuzi wa Kafara tu. na Mwisho
atatawala kwa ridhaa ya wananchi wanano muomba agombee,
hawatakubari kupangiwa wa kuchagua. acheni wote washindane
kwa uwazi, kuliko kumshambulia mtu mmoja kana kwamba kaomba
kugombea peke yake. mimi naona mjadala wote huu hauna tija
badala yake ni kumpa sifa na huruma mgombea mmoja. kwani
kumshambulia kwa aina yoyote Lowasa ni kudhibitisha kuwa ni
tishio kwa watyawala wenye kujali kulindana na kupeana
madaraka kwa urafiki. Hilo Halikubariki safari hii. mambop
yamebadilika.

Poleni kwa
mahangaiko yote haya. mwisho wa yote MUNGU NDIYE ATOAYE
MTAWALA WALA SI CHAMA  AU UTAWALA ULIOPO MADARAKANI.


Joshua
Fimbo



--------------------------------------------
On Tue, 3/24/15, 'Hildegarda Kiwasila'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, March 24, 2015, 9:12 PM

Hata kwenye sherehe za Arusi
siku
wapo ambao wanajinunulia zawadi kisha
kuwaandaa marafiki zao
kuja kutoa zawadi
hizo ili waonekane wana marafiki wengi

wanaowapenda na kushirikiana vema na kutoa hayo mavitu
kama
zawadi kushangaza ndugu na majirani
ambao kila mtu ajae
huleta kikombe au glasi
ya bei poa (shs 1000) kutoka
mitanzado ya
biashara barabarani. Maharusi kujaza makapo ya
glasi au vikombe na vijiko hakuna kingine.

Huyu nae ni kama hao.
January Makamba kamwambia ukweli. Sasa

akiukosa uongozi jina lisipitishwe atahamia ACTS au
Chadema
au kuingia msituni na vijana wake
wa pikipiki huku akiombewa
na viongozi wa
dini ili ashinde vita kama vya Konyi huko

Uganda ambae hajashinda hadi leo? Hivi kuna nini huko
juu?
Ndugu na jamaa wapo wapi kushauri
ndugu zao hawa. Yakushinde
jimboni kwako
pale ambapo kuna kila kitu kinachobaki ni wewe
kuwahamasisha to na huwezi (usiwasumbue wapiga
kura wangu,
serikali inawajibu wa kuleta
hiki, kuwapatia kile etc)
ukaweze huko juu
kama Rais. Wazungu walete misaada ya

kuwajengea shule, kuwapa vitanda wasilale mlundikano,
kufufua visima vya maji vya mkoloni vipo huko
kwako ktk
mashamba ya zamani ya wakoloni na
mamlaka mbalimbali, huwezi
ukatoa hela
kurekebisha haya bali ni kutoa hela za watu

waandamane kukupongeza au kukusifia. Ingefaa tuache
ukabila,
udugu, urafiki, ujinga ktk
uchaguzi ujao. Tusichague
viongozi
madiwani, wabunge ambao toka
  wachagulie
hawajahamasisha na kufanikisha maendeleo yoyote
ma hawajaonekana jimboni. Tuokoke ili tufanye
kweli kulinda
haki zetu sio kupelekeshwa
hata kama unadhiki. Usikubali ule
usemi
usemao-Masikini Hanithi (Ashakum). Yaani utakubali
kufanyiwa na kulazimishwa kufanya usiyoyapenda
kwa
kupewa-vijisenti???! Mtazamo chanya ni
huu kama wa akina
Nabii Elisa
Muhingo.Tusichaguliwe Rais na Richmond!!

--------------------------------------------
On Tue, 24/3/15, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 
Subject: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS
TUSIPOKUWA
MACHO
  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Tuesday, 24 March, 2015, 23:34
 
  TUSIPOANGALIA RICHMOND
ITATUCHAGULIA
  RAIS
 
Ambaye hakijui kisa cha mtoto mdogo kumuumbua mfalme kuwa
  anatembea uchi mbele ya watu wazima
waliokuwa wanaogopa
  kumsema 'vibaya'
mfalme anisamehe maana sitakieleza.
 
Lakini ningependa kusema mimi katika utoto wangu
nawaonyesha
  watu wazima
habari za mfalme anayetembea uchi mbele zetu.
  Nadhibitisha kuwa mimi ni mtoto mdogo sana
nilizaliwa saa
9
  usiku
wa kuamkia 5 September 1952 katika zahanati ya
  Kashasha. I am a young boy of 63 years
now.
 
  Mfalme mwenyewe
ni watu hawa wazima walioitikia kwa
 
kupotosha wito wa Rais wetu Dr. Jakaya Kikwete kuwa
  Inawezekana kumpata rais kwa kumshawishi
mmoja wetu ambaye
  hata kama hataki lakini
kama anaweza kunamshawishi.
 
  Watanzania wote tunajua kuwa wapo wanachama
wa CCM ambao
  wanatumikia adhabu ya
kuangaliwa mwenendo wao baada ya
 
kuonekana wanapiga kampeni ya kugombea uRais kabla ya
  wakati. Waliofungiwa kufanya hivyo ni pamoja
na waziri
Mkuu
 
aliyejiuzuru kwa Kashfa Mpendwa wetu Edward Lowasa,
Benard
  Membe, January Makamba, Wasira na
kadhalika.
 
  Moja kati
ya matendo waliyokuwa wanafanya ni kujipitisha
  kwenye makanisa na misikiti kujidai wanatoa
michango. Watu
  wenye akili wakatafsiri
matendo hayo kuwa ni rushwa ya
  kutaka
waungwe mkono wakati wa kugombea urais
 
Tamko la rais kuwa tunaweza kumshawishi mmoja wetu ambaye
  japo hajajitokeza na labda hataki kujitokeza
bila shaka
  yoyote kwa mtu mwenye akili za
kawaida (kila mtu ana akili
  lakini si
kila mtu anzo za kawaida) anajua kuwa rais
  aliowasema sio wale waliokwisha kujitokeza
na kuonyesha
nia
  ya
kuutaka urais mpaka kufikia hatua ya kufungiwa kuutaka
  urais. Haiingii akilini.
 
Kitu cha ajabu na cha kushangaza watu wazima, viongozi wa
  dini eti wameenda kumshawishi mwenzetu
Edward Lowasa,
  'kumuomba'
'akubali' kugombea urais. Haiingii
 
akilini katika maeneo mengi.
  Tuanzia
hapa:
  i    Yapo maazimio ya Bunge
kuhusu kashfa ya
  Richmond ambayo nadhani
hayajatekelezwa na serikali. Kama
 
yakitekelezwa huwezi kujua kama hayawezi kudhibitisha
uchafu
  wa wahusika akilwemo
Lowasa wetu.
  ii    Kashfa muhimu na
kubwa ni kuwa capacity
  charges
zilizotamkwa ndani ya ripoti ya tume ya bunge ina
  mgao wa wahusika na haijulikani kama EL
hayumo
  iii    Katika michango ambayo
EL alikuwa
  akitoa makanisani misikitini
na kwingineko inadhaniwa kuwa
  huenda
sehemu yake inatokana na mgao huo.
 
iv    Kulionekana dalili kuwa kuna mambo tume
  ya Bunge chini ya Dr. Mwakyembe ilibakiza
mambo fulani
  ambayo ingeyatoa kuna watu
wangepata shida. Tunakumbuka
  aliposema
aliwahi kufuatwa na mke wa mtu fulani kumsihi
  afiche ukweli wa ripoti. EL hakuacha kutajwa
katika hilo.
  V    Na kadhalika.
 
  Taifa letu lina matatizo
makubwa sana. Mengine ni nyufa
 
alizozieleza Mwalimu Nyerere mwaka 1995. Sasa zimemeguka
na
  kuwa kubwa zaidi. Rushwa
sasa imezidi na kupata jina
  advanced
tunaiita UFISADI.
  Kila mwenye akili
timamu yuko anaumiza kichwa akitaka

kujua
  tufanyeje ili tupate kiongozi bora
na tumjueje ambaye si
  fisadi. Kila mwenye
akili sawasawa anajua kuwa aliyekwisha
 
tajwa kwa hilo hafai hata akitaka kutumia njia zake
kuupata
  urais.
 
 
 
  Sasa katika mazingira hayo:
  1.    Viongozi wetu ambao walikuwa
wakipokea
  michango hiyo haramu
wajisafisheje mtu akisema
walinunuliwa
  na kuandaliwa kwa wakati kama huu?
  2.    Viongozi wetu hao wana upeo kiasi
gani
  kukubali kutumiwa kihuni namna hii?
Kweli walilenga kwenda
  kumshawishi Lowasa
agombee kwa sababu wameona amekaa kimya
 
yaani hafurukuti kugombea? Yaani viongozi wetu walidhani
  hawatajulikana kuwa lazima wamehongwa
kufanya kazi hiyo?
  3.    Wanaweza
kusimama na kujitetea mbele ya
  waumini
wao kuwa walifikiri Lowasa hatajitokeza kugombea
  ndiyo maana waliamua kumshawishi na
kumchangia fedha?
  Wameona wamejitokeza
wangapi mpaka wakahofu kuwa huenda
 
asijitokeze?
  4.    Wanataka Lowasa aje
alisaidie taifa
  hili kufanya nini?
Wanaona taifa halina nini? Wengine
 
tunaona taifa ni tajiri, Lina raslimali, lina watu wapole
  waelekevu. Shida linakosa kiongozi wa
kuukabili ulafi na
  kujilimbikiza mali ili
mali iliyopo itumike vizuri. Kweli
  mtu
mwenye kashfa ya namna iliyo kwenye ripoti ya Tume ya
  Bunge anaweza kupendekezwa na viongozi wa
dini? Hii balaa.
  Viongozi hao ambao ni
waombezi wa Taifa hili kweli wana
  dhamira
njema?
  Siwaelewi. Viongozi hawa wamejua
jinsi ambavyo Lowasa
  ameleta mgogoro
katika viongozi wa kimila wa kimasai? Na
 
kuwa mgogoro huo ni uimla wa kutaka kuwabambikizia
  wanaMonduli mtu anayetaka amrithi ubunge
yeye atakapo kuwa
  rais? Ndiye wanayetaka
aongoze taifa hili?
 
 
Lowasa anaweza kuwa rais lakini nafikiri viongozi wa dini
  wasingependa kuwa sehemu ya waliomsaidia.
Lowasa amesemwa
  sana. Kwa hiyo anaweza
kuwa rais na akawa mzuri sana hivyo
 
kutukomesha tunaomsema. Lakini akiwa mbaya kuna
  atakayeshangaa?
 
  Rais Kikwete alipoupata urais wakati watu
wakitabiri nani
  atakuwa waziri Mkuu wapo
waliomtaja Lowasa. Wako waliosema
 
haiwezekani akawa Lowasa. Sababu zilikuwa kwa sababu ni
  rafiki wa JK basi (JK) atashindwa
kumdhibiti. Waliosema
  anaweza kuwa Lowasa
walisema atajitahidi kutomudhalilisha
 
rafiki yake? Nini kilitokea? Unawezaje kumwamini Lowasa?
  Mimi nawashangaa viongozi wa dini . si
viongozi wa siasa
wa
 
chama chake. Hayo tumeyazoea. Mitandao ilikotufikisha ni
wao
  hakuna zaidi.
Siwashangai wanafunzi. Wao ndivyo

wameelekezwa
  na wanamtandao na ni haki
yao. Wanakomea hapo. Siwashangai
  vijana
wa bodaboda. Hao tumewazoea. Tunawakuta

wakishajaziwa
  mafuta ya pikipiki zao
basi. Nini zaidi. Lakini viongozi
wa
  dini???? Nitaendelea kuwashangaa.
 
  Elisa Muhingo
 
 
 
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 
 
Everyone posting to this Forum bears the sole
  responsibility
  for any
legal consequences of his or her postings,

and
  hence
  statements
and facts must be presented responsibly.

Your
  continued membership signifies that
you agree to
this
 
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
  ---
 

  You received this message because you are subscribed
to
  the
 
Google Groups "Wanabidii" group.

 
  To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
 
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit
 
https://groups.google.com/d/optout.
 
  --
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email
kwenda
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:
  Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
  for
any legal consequences of his or her postings, and
hence
  statements and facts
must be presented responsibly. Your
 
continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
  ---
  You received this message because you are
subscribed to
the
  Google
Groups "Wanabidii" group.
  To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit
 
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.a
hivyo kwa Uhuru

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment