Sawa Kiwasila.
Kwanza atwambie atafanya nini kukomesha matatizo makubwa ya uharibifu wa mali za umma kupitia ufisadi na Rushwa. Tunamkumbuka aliyetumia milioni 190 kuwauliza wakuuu wa Mikoa kwa nini hawakujenga shule badala ya kuzitumia kujenga shule (Molel upo). Atwambie atakavyopunguza matumizi ya serikali kwa kukunguza ukubwa wake na marupurupu yanayotia kichefuchefu.
Atwambie atakavyokusanya kodi na mapato mengime na kuyatumia kwa maendeleo ya wananci sio kutegemea misaada au kuwachangisha kama anayesemekana kajenga shule kumbe ilikuwa kichango ya wananchi.
Atwambie jinsi raslimali za taifa zitakavyotumika.
Rais ajaye akiingia kwa fedha za rushwa ajue atatoka kwa aibu.
--------------------------------------------
On Sat, 3/28/15, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, March 28, 2015, 12:20 PM
Mtawala yeyote atakayekuja kushika Nchi awaeleweshe
watanzania mapema sana kuwa wakimchagua yeye haji kuwafanyia
kazi, kufuta kuchangia matibabu au ada za shule au vyuo vya
serikali, kuwazolea takataka wanazotupa katika mitaro wazi
na ya chini ya ardhi. Akija ataangalia matumizi endelefu ya
mali asili; matumizi ya usafi na uzingatiaji sheria za
mipango miji na vijiji. Aliyevamia barabara, fukwe, kufunga
njia za mitaa kwa kujenga kuweka vizuizi ajiandae.
Waliohamia mabondeni na maeneo hatarishi salamu ya tingatika
kubomoa ndio yaja na bila malipo. Kila mtu awajibike
kuzingatia sheria kuu na ndogondogo. Hapo wataacha
maandamano na kumbembeleza awanie yoyote yule. Tumechoka
viongozi wanaoona uvunjaji sheria lakini hawakemei kwa chama
kuogopa kukosa KURA. Hii inaleta uzembe katika utekelezaji
wa Sera, Mikakati na Sheria katika sekta zote na kutufanya
tubaki pale pale maisha kuharibu maisha yetu na urithi wa
watoto wetu. Badala ya kuwaacha barabarani
wametuundika sketi na vyupi mpaka nje ya New Post Office
HQRTs ya posta; wameziba njia mitaa yote kwa biashara na
kusababisha foleni, magari kukatiza hovyo na ajali
kuongezeka, vijana kuhamia mijini kutembeza zidiria mizigo
kichwani anatembeza mtupa kutwa anatembea kilometa 20-50
kupata shs 10 elf-angebaki ngerengere, domona angelima
nyanya, vitunguu, ngogwe, bamia etc na kusafirisha lori
ngapi ndani na nje ya nchi? Mbona vile vizee vikilima yeye
husubiri ziive na kwenda kuiba usiku kuzisafirisha akipata
hela-kutembeza used items sio kuongeza kilimo. Rais
aseme-nitafungua mashamba yaliyokuwa mamlaka mbalimbali za
serikali za mazao mbalimbali, kumtuma kijana hodari wa NHC
Mchechu ajenge nyumba, godowns, mjengewe cold and warm
storage facilities, mifereji ya kumwagia maji; CCBRT-Kimei
awape loans lakini awalipie malori directly mfanye kweli.
Sitaki nione vijana wenye nguvu kwa maelfu wamejazana
barabarani wakitembeza vivalo ay juu ya pikipiki na kufanya
mazoezi ya kutunisha misuri ili wapendeze. Waweke huko na
kwanza wape 3 months za JKT wabadilike mtazamo. Wale wa
kuwaahidi kuwa vitadondoka kama mvua wawape wajiajiri kwa
bajaji, pikipiki-wanajitafutia mafuriko yatakayowazoa wao
hao wa ahadi za uongo. Wafanya biashara wanaokataa mashine
za kodi-wakifunga maduka-yafungwe kabisa. Wale ambao
ukinunua cha laki 3 anatoa risiti siyo ya 50 elfu
washitakiwe na walipe mara 2 ya laki tatu. Tunajiibia halafu
tukipata shida tunategemea kodi za wazungu zitulishe kwa
misaada ya vyakula (soseji na nyama za kopo za nguruwe
twala). Tukipigana vita africa -twala hizo. Njaa
ikiingia-tunaletewa twala na midawa mingine kama guinea
pigs.
--------------------------------------------
On Fri, 27/3/15, 'Kitilu Mganga' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS
TUSIPOKUWA MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 27 March, 2015, 15:14hini ya ardhi.
Kenya kulikuwa na mambo
kama haya ya kashifa ya kuwa UHURU KENYATTA NA WILLIAM
RUTO
wamefanya mabo mabaya kwa wakenya , lakini mwisho wake
wanatawala. acheni hila za watawala, Lowasa hajafanya
Ufisadi wa RICHMOND ni Mbiuzi wa Kafara tu. na Mwisho
atatawala kwa ridhaa ya wananchi wanano muomba agombee,
hawatakubari kupangiwa wa kuchagua. acheni wote washindane
kwa uwazi, kuliko kumshambulia mtu mmoja kana kwamba
kaomba
kugombea peke yake. mimi naona mjadala wote huu hauna tija
badala yake ni kumpa sifa na huruma mgombea mmoja. kwani
kumshambulia kwa aina yoyote Lowasa ni kudhibitisha kuwa
ni
tishio kwa watyawala wenye kujali kulindana na kupeana
madaraka kwa urafiki. Hilo Halikubariki safari hii. mambop
yamebadilika.
Poleni kwa
mahangaiko yote haya. mwisho wa yote MUNGU NDIYE ATOAYE
MTAWALA WALA SI CHAMA AU UTAWALA ULIOPO MADARAKANI.
Joshua
Fimbo
--------------------------------------------
On Tue, 3/24/15, 'Hildegarda Kiwasila'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, March 24, 2015, 9:12 PM
Hata kwenye sherehe za Arusi
siku
wapo ambao wanajinunulia zawadi kisha
kuwaandaa marafiki zao
kuja kutoa zawadi
hizo ili waonekane wana marafiki wengi
wanaowapenda na kushirikiana vema na kutoa hayo mavitu
kama
zawadi kushangaza ndugu na majirani
ambao kila mtu ajae
huleta kikombe au glasi
ya bei poa (shs 1000) kutoka
mitanzado ya
biashara barabarani. Maharusi kujaza makapo ya
glasi au vikombe na vijiko hakuna kingine.
Huyu nae ni kama hao.
January Makamba kamwambia ukweli. Sasa
akiukosa uongozi jina lisipitishwe atahamia ACTS au
Chadema
au kuingia msituni na vijana wake
wa pikipiki huku akiombewa
na viongozi wa
dini ili ashinde vita kama vya Konyi huko
Uganda ambae hajashinda hadi leo? Hivi kuna nini huko
juu?
Ndugu na jamaa wapo wapi kushauri
ndugu zao hawa. Yakushinde
jimboni kwako
pale ambapo kuna kila kitu kinachobaki ni wewe
kuwahamasisha to na huwezi (usiwasumbue wapiga
kura wangu,
serikali inawajibu wa kuleta
hiki, kuwapatia kile etc)
ukaweze huko juu
kama Rais. Wazungu walete misaada ya
kuwajengea shule, kuwapa vitanda wasilale mlundikano,
kufufua visima vya maji vya mkoloni vipo huko
kwako ktk
mashamba ya zamani ya wakoloni na
mamlaka mbalimbali, huwezi
ukatoa hela
kurekebisha haya bali ni kutoa hela za watu
waandamane kukupongeza au kukusifia. Ingefaa tuache
ukabila,
udugu, urafiki, ujinga ktk
uchaguzi ujao. Tusichague
viongozi
madiwani, wabunge ambao toka
wachagulie
hawajahamasisha na kufanikisha maendeleo yoyote
ma hawajaonekana jimboni. Tuokoke ili tufanye
kweli kulinda
haki zetu sio kupelekeshwa
hata kama unadhiki. Usikubali ule
usemi
usemao-Masikini Hanithi (Ashakum). Yaani utakubali
kufanyiwa na kulazimishwa kufanya usiyoyapenda
kwa
kupewa-vijisenti???! Mtazamo chanya ni
huu kama wa akina
Nabii Elisa
Muhingo.Tusichaguliwe Rais na Richmond!!
--------------------------------------------
On Tue, 24/3/15, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS
TUSIPOKUWA
MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 24 March, 2015, 23:34
TUSIPOANGALIA RICHMOND
ITATUCHAGULIA
RAIS
Ambaye hakijui kisa cha mtoto mdogo kumuumbua mfalme kuwa
anatembea uchi mbele ya watu wazima
waliokuwa wanaogopa
kumsema 'vibaya'
mfalme anisamehe maana sitakieleza.
Lakini ningependa kusema mimi katika utoto wangu
nawaonyesha
watu wazima
habari za mfalme anayetembea uchi mbele zetu.
Nadhibitisha kuwa mimi ni mtoto mdogo sana
nilizaliwa saa
9
usiku
wa kuamkia 5 September 1952 katika zahanati ya
Kashasha. I am a young boy of 63 years
now.
Mfalme mwenyewe
ni watu hawa wazima walioitikia kwa
kupotosha wito wa Rais wetu Dr. Jakaya Kikwete kuwa
Inawezekana kumpata rais kwa kumshawishi
mmoja wetu ambaye
hata kama hataki lakini
kama anaweza kunamshawishi.
Watanzania wote tunajua kuwa wapo wanachama
wa CCM ambao
wanatumikia adhabu ya
kuangaliwa mwenendo wao baada ya
kuonekana wanapiga kampeni ya kugombea uRais kabla ya
wakati. Waliofungiwa kufanya hivyo ni pamoja
na waziri
Mkuu
aliyejiuzuru kwa Kashfa Mpendwa wetu Edward Lowasa,
Benard
Membe, January Makamba, Wasira na
kadhalika.
Moja kati
ya matendo waliyokuwa wanafanya ni kujipitisha
kwenye makanisa na misikiti kujidai wanatoa
michango. Watu
wenye akili wakatafsiri
matendo hayo kuwa ni rushwa ya
kutaka
waungwe mkono wakati wa kugombea urais
Tamko la rais kuwa tunaweza kumshawishi mmoja wetu ambaye
japo hajajitokeza na labda hataki kujitokeza
bila shaka
yoyote kwa mtu mwenye akili za
kawaida (kila mtu ana akili
lakini si
kila mtu anzo za kawaida) anajua kuwa rais
aliowasema sio wale waliokwisha kujitokeza
na kuonyesha
nia
ya
kuutaka urais mpaka kufikia hatua ya kufungiwa kuutaka
urais. Haiingii akilini.
Kitu cha ajabu na cha kushangaza watu wazima, viongozi wa
dini eti wameenda kumshawishi mwenzetu
Edward Lowasa,
'kumuomba'
'akubali' kugombea urais. Haiingii
akilini katika maeneo mengi.
Tuanzia
hapa:
i Yapo maazimio ya Bunge
kuhusu kashfa ya
Richmond ambayo nadhani
hayajatekelezwa na serikali. Kama
yakitekelezwa huwezi kujua kama hayawezi kudhibitisha
uchafu
wa wahusika akilwemo
Lowasa wetu.
ii Kashfa muhimu na
kubwa ni kuwa capacity
charges
zilizotamkwa ndani ya ripoti ya tume ya bunge ina
mgao wa wahusika na haijulikani kama EL
hayumo
iii Katika michango ambayo
EL alikuwa
akitoa makanisani misikitini
na kwingineko inadhaniwa kuwa
huenda
sehemu yake inatokana na mgao huo.
iv Kulionekana dalili kuwa kuna mambo tume
ya Bunge chini ya Dr. Mwakyembe ilibakiza
mambo fulani
ambayo ingeyatoa kuna watu
wangepata shida. Tunakumbuka
aliposema
aliwahi kufuatwa na mke wa mtu fulani kumsihi
afiche ukweli wa ripoti. EL hakuacha kutajwa
katika hilo.
V Na kadhalika.
Taifa letu lina matatizo
makubwa sana. Mengine ni nyufa
alizozieleza Mwalimu Nyerere mwaka 1995. Sasa zimemeguka
na
kuwa kubwa zaidi. Rushwa
sasa imezidi na kupata jina
advanced
tunaiita UFISADI.
Kila mwenye akili
timamu yuko anaumiza kichwa akitaka
kujua
tufanyeje ili tupate kiongozi bora
na tumjueje ambaye si
fisadi. Kila mwenye
akili sawasawa anajua kuwa aliyekwisha
tajwa kwa hilo hafai hata akitaka kutumia njia zake
kuupata
urais.
Sasa katika mazingira hayo:
1. Viongozi wetu ambao walikuwa
wakipokea
michango hiyo haramu
wajisafisheje mtu akisema
walinunuliwa
na kuandaliwa kwa wakati kama huu?
2. Viongozi wetu hao wana upeo kiasi
gani
kukubali kutumiwa kihuni namna hii?
Kweli walilenga kwenda
kumshawishi Lowasa
agombee kwa sababu wameona amekaa kimya
yaani hafurukuti kugombea? Yaani viongozi wetu walidhani
hawatajulikana kuwa lazima wamehongwa
kufanya kazi hiyo?
3. Wanaweza
kusimama na kujitetea mbele ya
waumini
wao kuwa walifikiri Lowasa hatajitokeza kugombea
ndiyo maana waliamua kumshawishi na
kumchangia fedha?
Wameona wamejitokeza
wangapi mpaka wakahofu kuwa huenda
asijitokeze?
4. Wanataka Lowasa aje
alisaidie taifa
hili kufanya nini?
Wanaona taifa halina nini? Wengine
tunaona taifa ni tajiri, Lina raslimali, lina watu wapole
waelekevu. Shida linakosa kiongozi wa
kuukabili ulafi na
kujilimbikiza mali ili
mali iliyopo itumike vizuri. Kweli
mtu
mwenye kashfa ya namna iliyo kwenye ripoti ya Tume ya
Bunge anaweza kupendekezwa na viongozi wa
dini? Hii balaa.
Viongozi hao ambao ni
waombezi wa Taifa hili kweli wana
dhamira
njema?
Siwaelewi. Viongozi hawa wamejua
jinsi ambavyo Lowasa
ameleta mgogoro
katika viongozi wa kimila wa kimasai? Na
kuwa mgogoro huo ni uimla wa kutaka kuwabambikizia
wanaMonduli mtu anayetaka amrithi ubunge
yeye atakapo kuwa
rais? Ndiye wanayetaka
aongoze taifa hili?
Lowasa anaweza kuwa rais lakini nafikiri viongozi wa dini
wasingependa kuwa sehemu ya waliomsaidia.
Lowasa amesemwa
sana. Kwa hiyo anaweza
kuwa rais na akawa mzuri sana hivyo
kutukomesha tunaomsema. Lakini akiwa mbaya kuna
atakayeshangaa?
Rais Kikwete alipoupata urais wakati watu
wakitabiri nani
atakuwa waziri Mkuu wapo
waliomtaja Lowasa. Wako waliosema
haiwezekani akawa Lowasa. Sababu zilikuwa kwa sababu ni
rafiki wa JK basi (JK) atashindwa
kumdhibiti. Waliosema
anaweza kuwa Lowasa
walisema atajitahidi kutomudhalilisha
rafiki yake? Nini kilitokea? Unawezaje kumwamini Lowasa?
Mimi nawashangaa viongozi wa dini . si
viongozi wa siasa
wa
chama chake. Hayo tumeyazoea. Mitandao ilikotufikisha ni
wao
hakuna zaidi.
Siwashangai wanafunzi. Wao ndivyo
wameelekezwa
na wanamtandao na ni haki
yao. Wanakomea hapo. Siwashangai
vijana
wa bodaboda. Hao tumewazoea. Tunawakuta
wakishajaziwa
mafuta ya pikipiki zao
basi. Nini zaidi. Lakini viongozi
wa
dini???? Nitaendelea kuwashangaa.
Elisa Muhingo
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any
legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements
and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts
must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to
the
Google
Groups "Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.a
hivyo kwa Uhuru
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment