Saturday, 28 March 2015

Re: [wanabidii] Fw: Boko Haram Headquarters in Gwoza, Nigeria, ‘retaken’

Dini zote ni za uwongo. Dini ni uasi dhidi ya Mungu. Mungu sio dini na wala hana dini. Mungu ni mtakatifu. Dini ni uvumbuzi wa mwanadamu wa kumtenganisha mtu na Mungu kwa kufanya komedi mambo ya Mungu. Dini zote zitawapeleka watu motoni. Ni watu wa dini waliomwua Yesu. Yesu aliwaita ni wa baba yao ibilisi pamoja na madai yao kuwa ni uzao wa Ibrahimu. Yohana Mbatizaji aliwaita ni kizazi cha nyoka. Mungu anawachukia watu wa dini, na anawapenda wenye haki. Tupa dini yako pembeni na achana nayo kama unataka kuuona Ufalme wa Mungu. Dini ni mapepo.Yesu ndiye njia pekee ya kweli na uzima. Mtu haendi kwa Mungu bila ya kupitia njia ya Yesu. Yoh. 14.6 Wala hakuna wokovu kwa mwingine awaye yote, kwa maana hakuna jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo. Matendo 4:12. Yesu hakuja kuanzisha dini. Alileta wokovu kwa wanadamu wote na kwa mfano karibu 98% ya wanaojiita Wakristo wataishia motoni kwa sababu ya kukataa kuishi kama Yesu na mitume wake walivyoishi na kuonyesha kielelezo kwenye Biblia. Ni wanafiki wakubwa na wanapenda dunia na yaliyomo ndani ya dunia kuliko kumpenda Mungu. Adhabu yao itazidi ya wapagani na ya watu wa dini nyingine. Mungu amekasirika kwa sababu ya dhambi za wanadamu. Ghadhabu ya Mungu inakuja.Tuko sasa katika MAPINDUZI YA TOBA. Kwa sasa Mungu anaagiza watu wote wa kila mahali watubu, la sivyo wataangamia. Matendo 17:30. Join the REPENTANCE REVOLUTION!
Many have failed to build the very foundation of true repentance and what they have built is vanity before God. When a man will build his house on shifting sands, the same shall crumble, before his eyes. He has not indeed established his house upon the rock of repentance, but rather he has built upon lies.



Please visit us and let us hear from you. With much love and prayers, Materu
 



From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, March 28, 2015 12:00 PM
Subject: Re: [wanabidii] Fw: Boko Haram Headquarters in Gwoza, Nigeria, 'retaken'


Hizi dini nazo zinachanganya watu. Ipi ni ya kweli ya kukusaidia ufike kwa Mungu? Kwa nini huyu Mungu anajificha asije kuondoa utata huu kusema wazi ipi ni sahihi?
Jee, sahihi na ya ukweli aliyotuwekea ni hii ya kuvamia, kuua, kukata vicha, kuoa wanawake na wasichana mnakoteka utawala na kuwaua hao mliooa kwa nguvu mnapoamua kuondoka kuzidiwa na majeshi ya uoinzani; kuua vizee kufika peponi mapema!? Mungu yupo hapa?

Au sahihi ni ile ya kutaka utoe SADAKA kwanza ndio uombewe na mchungaji anaombea mke wa mtu kumtoa pepo wakiwa wote lodging wamevua nguo na wapo kitandani (Tunaona magazetini).

Au hizi za  maandamano ya Kisiasa, kushutumiana kupitia kanda katika mitandao au zile za kiongozi kushikima kuvaa  account ya hekalu na kuiandikisha bank kwa jina lake huku akiwa na mali na magari ya kifahari kuliko waumini wake na akisafiri kwenda ulaya kama aendavyo manzese!? Kisha kugombania matumizi ya account ya kanisa/hekalu na viongozi wake!? Au dini ya yule aliyepaa angani akijiita Yesu wa mwisho na kanisani lazima kuvaa sare na mahekalu wengine ya sare hadi vilemba.

Au, kulea kwa kulisha watu ubwabwa, chai, kahawa na biskuti kwa mamilioni lakini sio kuweka mazingira ya kuondoa umasikini kwa hao wanaolishwa mwaka mara moja huo mlo na raslimali zipo kibao na uwezo wanao hata wa kugharimia ujenzi wa mahekalu kuanzia Chalinze hadi Tukutu na hadi Segera na pangani lakini sio kuchukua mashamba kuweka kilimo kwa ajili ya waumini na extension services, cold storage facilities for export of products for poverty alleviation ili wamuamini Mungu vibaya sana kuwa amewasaidia. Mla mla leo kesho kala nini na ubwabwa once per year?

Kipima Joto: Dini ipi ina Mungu wa kweli hapa-ya kuua na kuchinja hadi vitoto na watu wazima  (  ); ya malumbano ya viongozi wa dini mitandaoni (  ) ya Sare na kutoa hela ndio uombewe (  ) ya kuzalisha mali, mashamba ambayo serikali inataka kuyapora kama yale ya Ephata (  ) ya kusali sana kutwa kucha kuomba Mungu shetani ashindwe lakini  kazini huendi na ukienda unaaga (  ) ya ubwabwa na kahawa kutwa barazani kucheza bao hakuna kujituma (  )  ile ya kiongozi anaongoza kwa utajiri na kuoa wake wa waumini anakutwa nao mpaka lodging akiwatoa pepo (  ) ile ya babu zetu  ya kuabudu mizimu na kulinda mazingira hadi misitu na mito (  )  au ile inayoamini na kutangaza pesa za kipato za majini, chuma ulete, kufuta kesi na kupata ajira na kupata kuwa kiongozi/Rais kama utapeleka kigozi cha mtu wenye ualbino ila usikose kutoa misaada mingi katika mahekalu tofauti (  ). Ninashindwa kuamua niifuate ipi!!
--------------------------------------------
On Sat, 28/3/15, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Fw: Boko Haram Headquarters in Gwoza, Nigeria, 'retaken'
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, 28 March, 2015, 8:13

-----
Forwarded Message -----

  From: Assist News
<assistnews.aol.com@mail.mailchimpapp.com>
  To:
materufrank@yahoo.com
  Sent:
Saturday, March 28, 2015 3:05 AM
  Subject: Boko
Haram Headquarters in Gwoza, Nigeria, 'retaken'
   

Boko Haram Headquarters in Gwoza, Nigeria,
'retaken'


   
       
#yiv6287103303  .yiv6287103303headerTop
{background-color:#ffffff;border-top:0px solid
#000000;text-align:center;}
#yiv6287103303  .yiv6287103303adminText
{font-size:14px;color:#efefef;line-height:200%;font-family:verdana;text-decoration:none;}
#yiv6287103303  .yiv6287103303headerBar
{background-color:#FFFFFF;border-top:0px solid #333333;}
#yiv6287103303  .yiv6287103303title
{font-size:20px;font-weight:bold;color:#640000;font-family:arial;line-height:110%;}
#yiv6287103303  .yiv6287103303subTitle
{font-size:14px;font-weight:normal;color:#777777;font-style:italic;font-family:arial;}
#yiv6287103303  .yiv6287103303defaultText
{font-size:18px;color:#000000;line-height:150%;font-family:trebuchet
ms;}
#yiv6287103303  .yiv6287103303footerRow
{background-color:#e8e8e8;font-size:10px;color:#000000;line-height:100%;font-family:verdana;}
#yiv6287103303  a {color:#FF6600;}




       
           
               
                   
                       
                            Email
not displaying correctly? View
it in your browser.
                       
                       
                           
                               
                           
                       
                   
                   
                       
                           





                               

                               
                                    Boko Haram Headquarters in Gwoza,
Nigeria, 'retaken'
                               
                                By
ANS Founder, Dan Wooding, who was born in Nigeria (Breaking
News)
GWOZA, NIGERIA
(ANS – March 27, 2015) – Finally there is some
good news from Nigeria, where its army says it has retaken
the north-eastern town of Gwoza, believed to be the
headquarters of militant Islamist group Boko Haram.
The insurgents had now been driven from virtually all
the territory they had held, it said.
Some militants were now fleeing towards border areas,
the military said.
"News of Gwoza's recapture comes a day before
presidential elections, which were postponed by six weeks
because of the offensive against Boko Haram," said the
BBC. "Meanwhile, the president of Chad, which is helping
Nigeria fight Boko Haram, has strongly criticized
Nigeria's military."
Thousands of people have been killed since 2009, when
the group, which has since pledged allegiance to Islamic
State, began its insurgency to create an Islamic
state.
An estimated three million people have
fled their homes because of the unrest, and many may be
unable to vote in the Nigerian elections.
"Gwoza's location made an ideal base,"
continued the BBC. "The nearby Mandara Mountains offered
protection and the jihadists could flee into Cameroon until
the military there stepped up patrols. There is a complex
system of caves and tunnels, some of which burrow hundreds
of meters into the mountainside.
Recent rumors suggest the Boko Haram leader may have
been hiding there.
"When Gwoza was captured by the jihadists last August
thousands of residents were trapped and terrified on the
mountain slopes with no food. They were badly let down - the
military fled, leaving the jihadists to help themselves to
the armory.
"Now on the eve of a pivotal election there is at
last some good news for those who survived. The cost was
high though."
One resident told a BBC reporter on the ground that
the jihadists recently assembled all the elderly residents
and informed them that, as they were unable to defend
themselves from a military attack, they would be hhelped on
their way to paradise. They were slaughtered in Gwoza's
abattoir.
Eyewitnesses say that after the military assault,
people could be seen heading over the mountain by torchlight
- Boko Haram fighters on the run.
BBC Africa security correspondent Tomi Oladipo says
Gwoza's capture is a "major milestone" for the
Nigerian army. The town is not far from Chibok, where Boko
Haram kidnapped more than 200 schoolgirls from a boarding
school last April.
The BBC reporter says that Gwoza was one of the places
where the militants were rumored to be hiding the girls, who
are yet to be found.
Boko Haram had declared a caliphate

After his fighters captured Gwoza in August 2014, the
Boko Haram leader declared a caliphate in areas under his
control. (A caliphate is a form of Islamic government led by
a caliph –a person considered a political and religious
successor to the prophet Muhammad and a leader of the entire
Muslim community.
The militants have been pushed back since Nigeria's
neighbors, Cameroon, Chad and Niger sent troops to help it
earlier this year.
"These successful operations have culminated in the
dislodgment of terrorists from towns and communities in
Adamawa, Yobe and Borno states," military spokesman Chris
Olukolade said. 
A lot of arms and ammunition were recovered and "a
massive cordon and search has commenced to locate any of the
fleeing terrorists or hostages in their custody", he
said.
Maj-Gen. Olukolade also thanked Nigeria's regional
partners for their encouragement during the recent
operations.
But Chad's President Idriss Deby has been fiercely
critical of Nigeria's response, saying the Nigerian
military had been uncooperative. He told French magazine Le
Point that Chadian troops have had to retake towns twice
from Boko Haram because Nigeria's forces had failed to
secure them.
He estimated Boko Haram had 20,000 young fighters, some
of whom had been trained by Islamic State in Libya, the AFP
news agency reports.
Boko Haram, which means "Western education is
forbidden" in the Hausa language, was founded in 2002, and
initially focused on opposing Western-style education. This
terror group has killed thousands, mostly in north-eastern
Nigeria.
Note from Dan Wooding. This is the best news that has
come out of the land of my birth for some time. The tide is
finally turning against this terrible group that has caused
such havoc in Nigeria, and has savagely killed many
Christians, as well as many other Nigerian. Please continue
to pray that they will be driven completely from Nigeria,
Africa's largest country with a population of
approximately 174 million inhabitants, and is inhabited by
over 500 ethnic groups, of which the three largest are the
Hausa, Igbo and Yoruba.
Photo captions: 1) Nigerian troops celebrate after
taking control of Bama from Boko Haram militants earlier
this week (AFP/Getty Images). 2) On the run: Civilians who
fled the fighting in Bama and the surrounding areas in
recent days gather a makeshift camp for displaced people on
the outskirts of Maiduguri (Photo: AFP/Getty Images).
3) Brutal: Boko Haram chief Abubakar Shekau (pictured)
declared the northeast Nigerian city to be the capital of a
new Islamic caliphate after he seized the town in August
(AFP/Getty Images). 4) Nigerian forces on he offensive
against Boko Haram.
Note: You may republish any of our ANS stories
with proper attribution to the ASSIST News Service (www.assistnews.net
). Read more
                               











                           
                       
                       
                           
                                You are receiving this email
because you opted in at our website.

                               

                                Unsubscribe materufrank@yahoo.com
from this list.

                               

                                Our mailing address is:

                                ASSIST News Service
PO Box 609
Lake Forest, Ca 92609
USA

                               

                                Our telephone:

                               

                               

                                Copyright (C) 2015 ASSIST
News Service All rights reserved.

                               

                                Forward this email to a friend

                           
                       
                   
               
           
       
   


   



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment