Wednesday, 27 November 2013

Re: [wanabidii] Kamata Fursa Twenzetu ni Utapeli au ?

Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba 'kamata fursa twen'zetu' ni utapeli. Clouds FM na jitihada zake zinafanyika katika uwezo wao ambao kama wasingethubutu kuanzisha, bila shaka hata mjadala huu usingekuwapo.

Wao wanafanya kwa nafasi yao iliyo na ushiriki mpana wa kada tofauti, na kila mtu anapaswa kutekeleza kwa nafasi na uwezo wake ili kwa pamoja, twen zetu.

Mashaka Mgeta

On Thursday, November 28, 2013 7:04 AM, GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com> wrote:
Fursa bila mtaji bado upo palepale
Je hii Program inayoendelea kuhamasishwa na Clouds Media Company LtD ya 'Kamata Fursa Twenzetu' iko kwa maslahi ya kuwasaidia vijana kama ambavyo imekuwa ikisemwa au ndiyo mwendelezo ule ule wa kuwatumia vijana kama daraja la kukusanya pesa na kujinufaisha kwa baadhi ya watu?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment