Wednesday, 27 November 2013

RE: [wanabidii] CHADEMA MKOA WA GEITA WAMUUNGA MKONO ZITTO

Huyu anayedaiwa kuwa katibu wa chadema Geita ajitokeze waziwazi kujustify haya maelezo ya hapa chini. Maana kwa sasa usanii ni mwingi kuliko ukweli na waTZ wamejikita katika kuumani uongo zaidi ya ukweli. Swali! Hivi waTZ ni nani aliyewaroga hata hamtaki kuchunguza mambo kabla ya kutoa judgement???? Vibaraka kibaooooooo kwa sasa kuliko wakati wowote! hivi watu wanaopotosha walikuwa wapi mwanzo au ndio wamesubili wakati huu kuelekea uchaguzi ili wapambane kwa mtindo huu??? Du tutafika japo kwa changamoto lakini inabidi ziwepo ili kuimarisha CDM chama cha ukweli bila double standards kama Magamba.

 

 

Always darkness will never comprehend light


From: wanabidii@googlegroups.com [wanabidii@googlegroups.com] on behalf of Magiri paul [kiganyi@gmail.com]
Sent: Wednesday, November 27, 2013 6:25 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA MKOA WA GEITA WAMUUNGA MKONO ZITTO

Adalah,
Mbona hilo tamko ni kama maoni ya mtu binafsi?

Magiri.

On Nov 27, 2013 4:50 PM, "Abdalah Hamis" <hamisznz@gmail.com> wrote:
NIkiwa kama Katibu wa CHadema, Mkoa wa Geita nasema na wenzangu pia wote ndani ya mkoa wetu tutakuwa nyuma ya Mhe. Zito Zuberi Kabwe.

Nyakati za uonezi, manung'uniko na kubaguliwa sababu tuu za ueneo, ukanda, udini na kuchaguliana marafiki zimekwisha. 

Tundu Lissu badala ya kujibu hoja kwa hoja yeye anaenda kurudia hadithi zile zile?

Kwanini Tundu Lisu hakujibu Tuhuma za Mzee Arf kuwa ameachia umakamu kwa sababu ya kuchaguliwa viongozi na mtei na pia kuchaguliwa marafiki?

Kwa nini Tundu Lisu hakujibu shutuma za Mabilioni ya USwisi kuwa hata Mwenyekiti wetu Bwana Mbowe yumo nae...Rejenin taarifa mbali mbali mojawapo ni Gazeti la Kiingereza la The African katika makala iliyoandikwa na Prince Bagenda, la tarehe 25 November 2013 akitumia maneno haya....

"....The Parliamentary caucuses might join hands to clip Zitto's wings. In the same manner the communication reported between CCM and CHADEMA over the Swiss banks are said to include CCM, government officials and leader of the Opposition party (Mbowe)..."

Wakati wa watanzania kujua kuwa Mbowe anamiliki mabilioni huku Uswis Umefika na wakati wowote Zitoo atayatoa majina hayo na A?c Zao... na hili ndilo jambo la pili kumfukuza Zito Chamani likianza lile la kuogopa Zito kushinda Uenyekiti wa Chama. SIsi Tulijua Uchaguzi wa Chadema kamwe usingefanyika Zito angeendelea kuwa Mwanachama wa Chadema. Kamwe Uchaguzi Usingefanyika.! Bahati Mbaya watu wenye akili kama Lisu wamekubali kutumikishwa na Mjinga mjinga kama Mwenye kiti wetu. 

Huu ni wakati wa kueleza Ukweli na liwalo na liwe lakini Maslahi ya Nchi yetu kwanza DAima.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
*************************************************************************************** *************************************************************************************** This e-mail and any attachments are proprietary to NMB PLC. Any unauthorized use or interception is illegal. The views and opinions expressed are those of the sender, unless clearly stated as being those of NMB PLC. This e-mail is only addressed to the addressee and NMB PLC shall not be responsible for any further publication of the contents of this e-mail. If this e-mail is not addressed to you, you may not copy, distribute or disclose the contents to anyone nor act on its contents. If you received this in error, please inform the sender and delete this e-mail from your computer.

0 comments:

Post a Comment