Tuesday 16 August 2016

[wanabidii] Mafunzo ya biashara ya ufugaji wa kuku kwa email au kwa posta


Jee ulikosa Mafunzo ya biashara ya Ufugaji wa kuku wa kienyeji na chotara yaliyofanyika siku jumamosi tarehe 13/8/2016 ?
Kampuni ya CPM Business Consultants inakuletea mafunzo hayo kwa email au kwa nja ya posta. Sasa tunaendesha mafunzo ya biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji na chotara kwa email au kwa posta.Mafunzo haya tutakutumia kwenye email yako au kwa posta.Unachotakiwa kufanya ni kutuma sh.10,000 kwa M PESA kwenye simu namba 0755394701 pia nitumie ujumbe wenye jina na email yako au jina lako na sanduku lako kla posta nami nitakutumia mafunzio yako.
Mada zitakazowasilishwa ni;

1.Umuhimu wa ufugaji wa kuku na faida zake.
2.Maandalizi ya ufugaji wa kuku
3.Jinsi ya kulisha kuku na kutunza vifaranga
4.Magonjwa ya kuku
5.Tiba za kuku za Kisasa na za jadi.
6.Jinsi ya kutunza kumbukumbu kwa ajili ya biashara ya kuku.
7.Jinsi ya kuuza bidhaa za kuku.
Baada ya mafunzo washiriki watakaohitaji vifaranga, kuku, madawa ya mifugo, chakula cha kuku na ushauri, wataunganishwa na duka letu na wataalamu wanaotoa huduma na bidhaa hizo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Charles Nazi Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya CPM Business Consultants kwa simu namba 0755394701. Kama uliyakosa mafunzo haya agiza tukutumie kwa email au kwa posta.Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa marafiki zako.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment