Monday, 8 August 2016

[wanabidii] Legacy Impresion Company

Karibu Legacy tukuhudumie tunatoa huduma kwa aina zote za biashara,zinazotarajia kuanza,zinazoanza zinaendelea na pia zile zilizokomaa kubwa kwa ndogo.

Tunatoa huduma zifuatazo kwa mpangilio ufuatao ambao nitauelezea huko mbele kwanini katika mpangilio huo.

1.Branding
2.Graphics Design
3.Printing
4.Webtech
5.Stationeries
6.ICT

1. Branding
>Elimisha = Tunatoa elimu kuhusu branding.

>Market = tunatengeneza mpango mkakati wa jinsi ya kupeleka brand yako na kuipa nafasi katika soko.

>Usimamizi = Tunasimamia Brand yako ukuaji wake na vitu vinavyotakiwa kufanywa kwa muda sahihi kulingana na soko husika.

2.Graphics Design
Tunadizaini kwa ubunifu na weledi mkubwa bidhaa mbalimbali ambazo zimegawanyika katika makundi 4,..Trademark(A lama)2.Promosheni 3.Vifungashio,4. Kurekebisha picha( photo retouch).baadhi ya vitu hivyo.......

1.Nembo(logo)
2.Businesscards
3.Fliers (Vipeperushi)
4.Posters
5.T-shirt
6.Wheel cover
7.Letterhead
8.Company Profile
9. Stika(label)
10.Folders
11.Mabango/Banners
12.Packaging
13.Kadi
15.Broshua
16.Risiti.......nakadhalika.

3.Printing
Pia kama muendelezo wa Graphics design pia tuna print vote vilivyoainisha hapo juu kwenye kudizaini pia tuna print.tunafanya printing ndogo na kubwa,makaratasi hadi mabango (Canvas).

4.Webtech
Tunatoa huduma ya
1.kutengeneza tovuti (website)
2.Domain na Hosting
3.Kutengeneza Blog
4.Kutengeneza na kuzipa muonekano sahihi page za mitandao ya kijamii(Facebook,twitter,nk.)
5.Kusamimamia kurasa za makampuni katika mitandao ya kijamii.

5.Steshenari
Tunauza na kusambaza vifaa vya maofisini na mashuleni.

6.ICT
1. Kutengeneza Simu na Kompyuta(Software).

2.Kufanya program installations

3.Kufanya Windows/Os installation.

Kama nilivyoelezea mwanzo niliandika tunatoa huduma kwa mpangilio nilimaanisha kama ifuatavyo,huduma zetu ziko katika mpangilio unaofatana tunaanza na elimu ya branding kwanza unaelewa sababu na umuhimu wa kutengeneza nembo na vingine kisha tunakudizainia halafu tunafanya print ya ulivyodizaini,tunakutengenezea tovuti au blogu kisha tunakutengenezea pages kwenye mitandao ya kijamii (Karne ya 21 mitandao ndio inawateja wengi kuliko marketing ya mdomo),pia tunazisimamia,tunakuhudumia vifaa vya steshenari na iwapo litatokea tatizo la kiufundi kwa kompyuta zako tutatengeneza.

Ukiangalia kwa umakini shughuli zote tunazozifanya zinatakiwa katika ofisi au biashara yako.

Usisumbuke kuingia Ofisi nyingi kwa kazi amabazo zinaweza kufanywa na Ofisi moja....Karibu Legacy maendeleo yako ndio biashara yetu.

Mawasiliano.
Kijitonyama Dsm (Hata nje ya Mkoa wa DSM pia unapata huduma).
Simu: 0713603699
Email:info@legacytz.com
Facebook:www.facebook.com/legacy244
Instagram: Legacycotz
Twitter: Legacy244
Google+: Legacy Impresion Company.
Pinterest: Legacy244
Jamii Forum: Legacy Impresion Company
Blog: www.legacycompany.blogspot.com.
Website:www.legacytz.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment