Kuna dalili za wazi kuwa CHADEMA haina wapangaji wanaoweza kupanga kitendo, kupia nini matokeo hasi na chaya na kufanya maamuzi muhimu. Mfano wa wazi ni huo-Mama analalamika kwa aliyoyapata na kumshuri mumewe aachane na maandamano, na mtu asiyetarajiwa kubwatuka maneno anakurupuka na kumshambulia muathirika wa mambo yaliyopita na yanayofanana na yanayopangwa. maana yake hata yalipotokea hawakutathmini. Uweli tua hasar. Kuona taasisi uhimu wa maendeleo ya Taifa hili kama CHADEMA inaongozwa na watu wanaochkulia siasa kama timuya mpira.
--------------------------------------------
On Mon, 8/8/16, fadhil.fadhil96 <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonya mume wake kutoshiriki UKUTA
To: "'misangocharles' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 8, 2016, 12:55 PM
Ngurumo
anasema kiria ana matatizo lkn mi naona chadema wanaf
matatizo zaidi.
Kiria anapigania familia ambayo yeye ni mlinzi
wake. Kiria amesema mengi sana na shida alizopata wakati
mumewe alipowekwa ndani nilimsoma sehemu sio humu akiilaum
chadema walivyomtekeleza na famia.
Sehemu yeyote yanapotokea matatizo kama hayo ya
ukuta wanawake ndio waathirika wakubwa, angalia
yanayotokea.
Nampongeza kiria kwa uthubutu aliouonyesha kwa
jamii inapaswa wanawake wengine nao wasema na waume zao kuwa
chadema watafute njia nyingine lkn UKUTA hapa kwa kuwa Wao
ndio waathirika wakati kina Mbowe wanakula bata tujiulize
chadema inawasaidiaje wahanga wa harakati zao kisiasa tuanze
na yule kijana muuza magazeti wa morogoro.
On Aug 8, 2016 9:53 AM,
'misangocharles' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ngurumo, andiko la Joyce liko sawa
kabisa. Anayo haki ya kutetea uhai na afya ya mumewe. Ndiye
mlinzi wa mume na familia. Anayo haki ya kumpigania ktka
jambo analoona ni hatari kwake.
Kumbe
badala ya kumbeza, tumtie moyo na NAMSHAURI mume wake,
atumie busara kumsikiliza mkewe na watoto
Sent from my Huawei Mobile
'Ngurumo' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Joyce Kiria ana
matatizo makubwa. Hii ni dalili tu!
On Aug 7, 2016 3:22 PM,
'mpombe mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
HAYA NDO MANENO
ALIYO ANDIKA MWANA DADA JOYCE KIRIA
Yes sikulilia ndani alipoingia matatizoni….. Niligangamala
nikapaza
sauti na wanangu mchana kweupeee… Haikuwa rahisi hata
kidogo lakini
ilinibidi kujitoa fahamu kwa ajili ya kuokoa familia
yangu.
Leo napoona dalili nyingine za kuingia kwenye matatizo
makubwa zaidi ya
haya, kamwe siwezi kukaa kimya…. Yes sintakaa kimya
nimwache aende
kutumbukia shimoni nitamwambia bila aibu kama
nilivyompigania bila aibu .
.
Dear love, umenikasirikia sana kwa kitendo hiki
ninachofanya… Lakini
naomba ukumbuke wakati unapitia matatizo, ni Mimi nilikuwepo
na wewe
wakati wote mpz wanmtoto nililazimika kumwachisha ziwa akiwa
mdogo sana
akalia sana akazoea nikamwacha na Dada kila ilipokuwa tarehe
ya kesi
nikaja kukutia moyo mpz wangu Tabora mbali kote…
Nikajikaza sanaaaa,
kukuonyesha tabasamu ili kukupa Amani japo njia nzima
nililia sana kwa
uchungu ulilia kila uliponionamimi nilijikaza sikulia mbele
yako ili
nisikuache na mawazooooo….
Kila nilipokuja Gerezani kukuona uliwaulizia rafiki zako
ulokuwa
unawaamini sana, tena uliamini wangekuja kesho yake,
hukuwaona mpaka
ukatoka…ulikuwa unawaulizia kama wamenitafuta, nilikujibu
hakuna
aliyenitafuta mpz ukaumia sana mpz wangu… Kuna wengine
hukutaka hata
kuongea nao baada ya kutoka ndani na kurudi uraiani….
My love, Siko tayari kupitia mateso niliyopata love, siko
tayari kukuona
katika mazingira magumu kama yale mbaya zaidi ni ya
KULAZIMISHA… Labda
yatokee bahati mbaya… Lakini ya kwenda kuyatafuta hapana
baba….. Najua
tena nauhakika hauko tayari kuniona tena katika mateso kama
Yale…hilo
nauhakika nalo….Nimewaambia watoto wanisamehe kama
nitakuwa nimekosea,
lakini naimani hata wao cha moto walikiona, wasingependa
baba yao aingie
tena kwenye shida kama ile au zaidi ya ile Popote ulipo jua
nakupenda
sana ndo maana nakulinda mume wangu kwa garama yeyote
.Kwangu Mimi
Familia kwanza, Taifa kwanza, chama baadae…..
TAFADHALINI UKUTA WEKENI KANDO MFANYE MAZUNGUMZO MEZANI…
MSIFANYE UBABE TULIZENI JAZBA KWA FAIDA YA FAMILIA ZENU NA
TAIFA ZIMA….
Chanzo Jf
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

To unsubscribe from this group and

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment