Monday 8 August 2016

Re: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonya mume wake kutoshiriki UKUTA

Wana CHADEMA wako hivyo! Ngurumo anajua vema namna CHADEMA ilivyomtelekeza Kilewo na mke wake wakati wa kesi yake Igunga!
Leo wanataka tena arudi kule kule! Ama wanataka jambo!?

On 8 Aug 2016 12:55, "fadhil.fadhil96" <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Ngurumo anasema kiria ana matatizo lkn mi naona chadema wanaf matatizo zaidi.

Kiria anapigania familia ambayo yeye ni mlinzi wake. Kiria amesema mengi sana na shida alizopata wakati mumewe alipowekwa ndani nilimsoma sehemu sio humu akiilaum chadema walivyomtekeleza na famia.

Sehemu yeyote yanapotokea matatizo kama hayo ya ukuta wanawake ndio waathirika wakubwa, angalia yanayotokea.

Nampongeza kiria kwa uthubutu aliouonyesha kwa jamii inapaswa wanawake wengine nao wasema na waume zao kuwa chadema watafute njia nyingine lkn UKUTA hapa kwa kuwa Wao ndio waathirika wakati kina Mbowe wanakula bata tujiulize chadema inawasaidiaje wahanga wa harakati zao kisiasa tuanze na yule kijana muuza magazeti wa morogoro.

On Aug 8, 2016 9:53 AM, 'misangocharles' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ngurumo, andiko la Joyce liko sawa kabisa. Anayo haki ya kutetea uhai na afya ya mumewe. Ndiye mlinzi wa mume na familia. Anayo haki ya kumpigania ktka jambo analoona ni hatari kwake.
Kumbe badala ya kumbeza, tumtie moyo na NAMSHAURI mume wake, atumie busara kumsikiliza mkewe na watoto

Sent from my Huawei Mobile

'Ngurumo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Joyce Kiria ana matatizo makubwa. Hii ni dalili tu!

On Aug 7, 2016 3:22 PM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
HAYA NDO MANENO ALIYO ANDIKA MWANA DADA JOYCE KIRIA
Yes sikulilia ndani alipoingia matatizoni….. Niligangamala nikapaza sauti na wanangu mchana kweupeee… Haikuwa rahisi hata kidogo lakini ilinibidi kujitoa fahamu kwa ajili ya kuokoa familia yangu.

Leo napoona dalili nyingine za kuingia kwenye matatizo makubwa zaidi ya haya, kamwe siwezi kukaa kimya…. Yes sintakaa kimya nimwache aende kutumbukia shimoni nitamwambia bila aibu kama nilivyompigania bila aibu .
.
Dear love, umenikasirikia sana kwa kitendo hiki ninachofanya… Lakini naomba ukumbuke wakati unapitia matatizo, ni Mimi nilikuwepo na wewe wakati wote mpz wanmtoto nililazimika kumwachisha ziwa akiwa mdogo sana akalia sana akazoea nikamwacha na Dada kila ilipokuwa tarehe ya kesi nikaja kukutia moyo mpz wangu Tabora mbali kote… Nikajikaza sanaaaa, kukuonyesha tabasamu ili kukupa Amani japo njia nzima nililia sana kwa uchungu ulilia kila uliponionamimi nilijikaza sikulia mbele yako ili nisikuache na mawazooooo….

Kila nilipokuja Gerezani kukuona uliwaulizia rafiki zako ulokuwa unawaamini sana, tena uliamini wangekuja kesho yake, hukuwaona mpaka ukatoka…ulikuwa unawaulizia kama wamenitafuta, nilikujibu hakuna aliyenitafuta mpz ukaumia sana mpz wangu… Kuna wengine hukutaka hata kuongea nao baada ya kutoka ndani na kurudi uraiani….

My love, Siko tayari kupitia mateso niliyopata love, siko tayari kukuona katika mazingira magumu kama yale mbaya zaidi ni ya KULAZIMISHA… Labda yatokee bahati mbaya… Lakini ya kwenda kuyatafuta hapana baba….. Najua tena nauhakika hauko tayari kuniona tena katika mateso kama Yale…hilo nauhakika nalo….Nimewaambia watoto wanisamehe kama nitakuwa nimekosea, lakini naimani hata wao cha moto walikiona, wasingependa baba yao aingie tena kwenye shida kama ile au zaidi ya ile Popote ulipo jua nakupenda sana ndo maana nakulinda mume wangu kwa garama yeyote .Kwangu Mimi Familia kwanza, Taifa kwanza, chama baadae…..

TAFADHALINI UKUTA WEKENI KANDO MFANYE MAZUNGUMZO MEZANI… MSIFANYE UBABE TULIZENI JAZBA KWA FAIDA YA FAMILIA ZENU NA TAIFA ZIMA….

Chanzo Jf

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

To unsubscribe from this group and

0 comments:

Post a Comment