Monday, 1 August 2016

Re: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???

Mnyika hamjampata juziiiii......muwe mnafuatilia shida mnashabikia tu vitu nyie kina reuben na mwenzio elisa...
Mnaomba usiku na mchana muon cdm imekufa, bila kujua kua all t positive changes inayofanyiwa kaz sana ni kaz nz r ya cdm.....
Muwege mnafikiri...msiwe mnashabikia ccm udc na u ded ushaisjpha simamia facts wazeee..ccm na serika li hii ya maagizo siji itatufikisha wapi, naona giza....ww unakataza siasa kin ww unaitisha mikutano ya unayoita kuongelea maendeleo but on it unzungumzia almost half of the meeting siasa tena kuwabeza wapinzani..kama si uoga ni nini.....tarehe moja lazima tuwaoneshe hawa jama kua nchi ni yetu na si mali ya mtu...akitaka atuuuwe wote make hata yeye siku moja atakua mfu kama aliotuua, hatutanyamaza
Nchi ni yetu sote...unampeleka dc, lakin dc anageuka mbunge...kuna miujuza sana hii serikali ya awam ya tano

'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kim;
I like your comment on that issue.
Nazani tusiwe na haraka,time is a good Don,lets give time forit to mature.
Hawa jamaa wanazani bado Watz ni bumbaf na tupo kama kuku au wanyama,kwamba dakika mbili maumivu yakipoa anarudi palepale aripopigwa mwanzo.

ReubenOn Sunday, July 31, 2016 6:24 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Reuben,
"....kuna watu wapo kimya kabisa tangu gia ilipobadilishwa angani km
kina Mnyika sijui sababu ni nini?......"
Umeona mbali sana!! Hili swali ukiwapa wataalamu wa utafiti wataleta
majibu ya ajabu yatakayopelekea CDM kusambaratika kabla ya muda wake.
Kuna watu pale ndani wanajua kila kinachoendelea but they are waiting
for whats next, na wanakaa kimya kujisafisha kisiasa maana wanajua
kuna kesho.

Mnyika is here, na nadhani anayasoma haya but i know he is willing to
say something but not willing to expose it well enough, na ntamnshauri
asijarubu kulijibu hilo swali kwa namna yoyote, tena akae kimya
kabisaaa kama hajaliona. even a single ALPHABETIC LETTER will expose
everything in inteligence way of thinking.

you rock it Brother Reuben.
I miss Ireneus, Happyness and Hildegarda Kiwasila.....

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment