Sunday 25 October 2015

[wanabidii] Re: BREAKING NEWS YA HABARI NJEMA KUTOKA KWA RAIS WA AWAMU YA TANO MH :JOHN POMBE MAGUFULI.

Mmmhhh! Hiyo siyo sababu ya msingi; kuhusu ufisadi hakuna kiongozi yeyote aliepo CCM au aliyetoka CCM anayeweza kukemea na kupambana na tatizo hilo kwa dhamira ya dhati. Labda vyama vingine ndiyo wanaweza kutuambia lolote kuhusu ufisadi.
CCM ni maneno mengi vitendo kiduuuuuchu.

On Thursday, October 22, 2015 at 9:08:52 PM UTC+3, mpombe mtalika wrote:
BREAKING NEWS YA HABARI NJEMA KUTOKA KWA RAIS WA AWAMU YA TANO MH :JOHN POMBE MAGUFULI.

Baada ya Mgombea urais kupitia Chadema Mh Edward Lowassa a.k.a Mzee mamvi kushindwa kujieleza na kukiri kushindwa rasmi katika uchaguzi na kuahidi kurudi Monduli ili kuchunga ng'ombe zake na si kubaki kukijenga CHADEMA baadhi ya wanachama wa chama hiko wamakasirishwa na kauli hiyo hivyo wameanza kurudisha kadi na kutangaza kutompigia kura mgombea huyo.

Aidha, mahojiano hayo yalifanyika jana katika station ya BBC DIRA, kilichoongozwa NA mwanadada machachari ZUHURA YUNUS ambaye alimbana mzee mamvi mpaka akaomba poo kuwa asionewe kwa kuwa maswali yalikuwa magumu na yalikuwa nje ya uwezo wake wa kufikiri.

Vilevile katika hatua nyingine leo saa 3 usiku mara baada ya taarifa ya habari katka kituo bora cha Matangazo cha STAR TV kipindi cha BBC DIRA YA DUNIA atahojiwa tena Rais anayesubiri kuapishwa mh JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI akielezea namna atakavyotekeleza sera zake na kuipeleka Tanzania inayohitajika. Aidha, watanzania tulio wengi tutafahamu jinsi gani mh Rais MAGUFULI alivyokuwa Mtendaji na mwenye dhamira ya dhati na Taifa hili ukilinganisha na wagombea waliobaki.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment