kingunge amechanganyikiwa baada ya familia kunyang'anya ubungo terminal na kurudishwa kuwa chini ya manispaa ya kinindoni
On Oct 7, 2015 10:47 AM, "'Godfrey Obonyo' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- --Asanteni sana wanabidii kwa mijadala yenu mizuri, mimi nauliza tu, hivi huyu kingunge yeye anaamini kanuni ni Lowassa tu, au kanuni zote zinasema ni sharti apitishwe Lowassa tu ?
From: "'mnzava2@yahoo.com' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, October 4, 2015 8:12 PM
Subject: Re: [wanabidii] Swali kwa Kikunge: Labda kanuni hazikufuatwa CCM kumpitisha Lowassa: CHADEMA walifuata
--HongeraSent from my LG Mobile------ Original message------From: 'lang'itomoni lokomoi' via WanabidiiDate: Sun, 4 Oct 2015 5:13 PMTo: ELISA MUHINGO' via Wanabidii;Subject:[wanabidii] Swali kwa Kikunge: Labda kanuni hazikufuatwa CCM kumpitisha Lowassa: CHADEMA walifuata
Madai ya kingunge kwamba CCM ili violate kanuni kumpitisha mgombea urais yamekua ya mda mrefu sasa na amekua akiyarudia mara kwa mara. CCM tuliona kikifanya mikutano yake mbali mbali kuhakikisha kinapata mgombea bora mwenye sifa na aliechunguzwa atasimamia maslahi ya taifa. Taarifa zinasema Lowassa alikatwa kwa sababu ya "fail lake kujaa uchafu".Kila nchi lazima iwachunguze wagombea wake na kama taarifa hizo zinavyosemekana Lowassa alikosa vigezo na si kila taarifa itawekwa wazi for public consumption.
Mi naamini Lowassa Kama wagombea wengine wengi waliojitokeza kupitishwa na chama cha mapinduzi walikua na haki sawa na hakukatwa mwenyewe, hata makamu wa rais alikatwa, waziri mkuu alikatwa, kwanini Lowassa aonekane ana haki kuliko wagombea wengine? Kwanini lazima awe yeye?
CCM ilimpata mgombea wake kupitia vikao mbalimbali kuanzia kikao cha kamati ya wazee, maadili mpaka mkutano mkuu. Tujiulize CHADEMA walifanya kikao gani kumptisha Lowassa? Inamaana u dictator uliofanywa na mbowe ni SAWA? Lowassa alipitishwa na vikao gani? Hichi ndio chama makini kinachotaka tukikabidhi nchi>? KAMA TUNAONGELEA KUVUNJWA KANUNI BASI KANUNI ZILIVUNJWA NA UDIKTETA WA HALI YA JUU ULIONYESHWA KUMPITISHA LOWASSA KUA MGOMBEA CHADEMA.
Lowassa angetakiwa ahimize demokrasia ifanyike Chadema ili aonyeshe jinsi alivyochukizwa na yaliyotokea ndani ya mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama cha mapinduzi. CCM walivunja kanuni kwasababu tu jina la Lowassa Halikurudi, Je nani hata alipata fursa ya kuchukua form CHADEMA?TAFAKARI.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment