Fatma
Watawala wanazidi kutibua nyongo za Wazanzibari na hilo halikubaliki. Tuendelee kuomba Mungu kwani mtifuano huu ndio mwisho wa matatizo yaliyopo na piga ua lazima yapatiwe suluhu ya kudumu.
Hii ni dalili nzuri na fursa ya kutatua tatizo na tusijisikie vibaya na tungewaomba Wazanzibari wasiwe na hasira wala kuharibu amani yao. Ninaamini kuwa hili litawaweka Wazanzibari karibu zaidi, pamoja, kupendana kutafuta suluhu ya tatizo hilo kwa pamoja bila kujali uchama wa CCM au CUF.
Kumbuka kila jambo likitokea lina pande mbili chanya na hasi tofauti ni muhusika na hilo jambo analiangalia je, anaangalia upande upi. Akiangalia upande wa chanya hilo jabo litakuwa chanya na akiangalia kwenye upande hasi hilo jambo litakuwa hasi
Cheers
Herment A. Mrema
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: [TPN] UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
To: wanabidii@googlegroups.com
From: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 28 Oct 2015 14:05:05 +0000
Ni kweli unayosema Herment
Nasikia Shein alishayakubali matokeo na alikuwa yuko tayari kusaini lakini shinikizo limetoka kwa Mkapa
Sina uhakika na hilo lakini kama ni kweli basi wanadhihirisha kauli ya Wazanzibar wengi wanaosema Zanzibar ni koloni la Tanganyika iliyojivika koti la Tanzania. Hilo litazidi kuwatia hasira Wazanzibar wengi hivyo tutegemee zaidi ya haya baada ya kurudia Uchaguzi
Fatma
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
From: Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 28 Oct 2015 13:51:42 +0000
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: [TPN] UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
Kufutwa kwa uchaguzi sio suluhisho kamili ya matatizo yaliyopo kwenye Muungano na kati ya CCM na CUF. Ingefaa serikali zote ziweke maslahi ya Tanzania kwanza na kuyaangalia haya matatizo kwa jicho la Kitanzania na sio la kichama au maslahi binafsi. Zanzibar ilikwisha anza vizuri kwa kuwa na Serikali ya Mseto hivyo lilobaki ni kuheshimu makubaliano kwa nia njema na sio kwa unafiki.
Kwa maono yangu hata wakirudia huu uchaguzi mara ingine matokeo yatakuwa yale yale kwani ukweli umekuwa upo lakini watawala wanaukataa. Ukweli utaendelea kuwa Ukweli na hautakuwa Uongo hata siku moja.
Unaweza kumlazimisha ngombe mpaka akafika kwenye bwawa la maji lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji kama hataki.
Tutafakari
Herment A. Mrema
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: [TPN] UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
To: wanabidii@googlegroups.com
From: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 28 Oct 2015 13:42:13 +0000
Kama nimewaelewa vizuri uchaguzi wote uliofanyika Zanzibar umefutwa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Kwa maono yangu hata wakirudia huu uchaguzi mara ingine matokeo yatakuwa yale yale kwani ukweli umekuwa upo lakini watawala wanaukataa. Ukweli utaendelea kuwa Ukweli na hautakuwa Uongo hata siku moja.
Unaweza kumlazimisha ngombe mpaka akafika kwenye bwawa la maji lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji kama hataki.
Tutafakari
Herment A. Mrema
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: [TPN] UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
To: wanabidii@googlegroups.com
From: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 28 Oct 2015 13:42:13 +0000
Kama nimewaelewa vizuri uchaguzi wote uliofanyika Zanzibar umefutwa
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
From: Elias Mhegera <mhegera@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 28 Oct 2015 15:57:35 +0300
To: Wanazuoni<Wanazuoni@yahoogroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Cc: wanataaluma@googlegroups.com<wanataaluma@googlegroups.com>; wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Re: [TPN] UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR KURUDIWA
Implicitly ni kwamba uchaguzi wote wa urais unarudiwa ikiwemo ule wa rais wa Jamhuri ya Tanzania kwa sababu kama umevurugwa kwa rais wa Zanzibar tutaaminije kwa ule wa Rais wa Muugano?
Elias Mhegera
Pan African Human Rights Defender
Director of Research and Investigations
Tanzania Journalists for Human Rights (Journorights)
Journalist & Counselor
255-(0) 754-826272
255-(0) 715-076272
On Wed, Oct 28, 2015 at 3:49 PM, Camillus Kassala cdnkassala2002@yahoo.co.uk [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:
The more interesting question is: Suppose Lowasa's votes from Zanzibari electorate more than compensate the deficit he has from Mainland electorate compared to Magufuli's votes, what will beoth NEC and ZEC do?CDNKassalaOn Wednesday, 28 October 2015, 15:21, Emmanuel Mmari <emmammari@gmail.com> wrote:
Tusubiri wataalum watutafsirie sheria ya uchaguzi kama itakua na effects gani na matokeo ya Tanzania Bara, Je nayo itabidi yasitishwe ama kusubiri mpaka ya zanzibar yatoke ndio aapishwe au gap litakalokuwepo kati ya mshindi wa kiti cha uraisi na anaemfuata litakua less than idadi ya watu waliojiandikisha Zanzibar? Najaribu kufikiria kwa mapana yake lakini kimsingi nasubiria wanaotafsiri sheria.--On Wed, Oct 28, 2015 at 2:01 PM, Mowo, Jeremias (ICRAF) <j.mowo@cgiar.org> wrote:And why should ZEC members be paid for shoddy work.
Sent from my iPhoneMATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR YAMEFUTWA KWAHIYO UCHAGUZI UTARUDIWA--
--
Yona Fares Maro
Institut d'études de sécurité - SA
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanataaluma wa Tanzania" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanataaluma+unsubscribe@googlegroups.com.

__._,_.___
Reply via web post • Reply to sender • Reply to group • Start a New Topic • Messages in this topic (1)
.![]()
__,_._,___
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment