Monday, 12 October 2015

Re: [wanabidii] Mtu aweza kutoka na siku hiyo akawa mchungaji au Mwislam kuwa Shere kwa siku moja

Fatma kuhusu maelezo kwa Ananelia huo ndio ukweli. Huwezi kugeralize mambo wakati kama msomi inakupasa kutoa data ambazo ni proved. Suala la demokrasia kuminywa huo ndio ukweli, labda ibakie mahaba ya watu na mgombea wanaomtaka hata wasiwe na fursa ya kuona sawawasa kwa ajili ya mapenzi kwa mtu huyo.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment