Kwani muda huo hata ulikuwepo?
Dada Nkya Mara hii umeona haki haiwezi kutendeka japo sijui haki kwako ni ipi na unaipimaje?
Huu sio uchaguzi Wa kwanza Wa vyama vingi dada.
Kwanini sasa? Wakati huo uozo Wa CCM ni zaidi ya miaka 50?
Walewale.
On Oct 11, 2015 11:57 PM, "'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- Kwani huko UKAWA nani alichukua fomu akaachwa kushindanishwa na Lowassa? Kule CCM walitoka watu 38--yaani hadi mwenye elimu ya darasa la saba (kinyuime na sheria ya uchaguzi) lengo Watanzania wadanganywe CCM ina demokrasia ya ndani. Lakini mbona ubakaji wa demokrasia na uvunjifu wa Katiba ya chama hicho ulikuwa wazi tu kama anavyoeleza Mzee Kingunge? Je kwa hali hii demokrasia kwenye sanduku la kura itakuwepo kweli kama shughuli za uchaguzi zinasimamiwa na serikali ya chama ambacho ndani ndani ya chama chao kumpata mgombea Urais demokrasia ilibakwa?
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, franciskasili4@gmail.com <franciskasili4@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Mtu aweza kutoka na siku hiyo akawa mchungaji au Mwislam kuwa Shere kwa siku moja
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, October 11, 2015, 5:06 PM
Kilichofanyika chadema na
ambacho nusura kilete bifu baina ya Lipumba na Maalim Seif
ni kumpitisha Lowasa kama surprise maana hakupigiwa kura ya
aina yoyote ili kumpata out of many other contestants. Chama
kama kilivyo kwenye logo yake kikaivunja katiba yake kwa
kuikandamiza demokrasia. Sasa ueleze hapa katiba ya chama
ilikiukwa au business as usual?? Watu wanasema chama kwanza
mtu baadae au nchi kwanza na mtu baadae, sasa hapa kwa tuko
la chadema si ni mtu Kwanza kisha chama baadae!!!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment