Elisha;
Hayo usemayo ni gitaa kwa mbuzi.
Mollel yupo ndani ya mahaba,hata uongee kitu gani humpati
Sent from my Huawei Mobile
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Kuna wakati Mollel unanikumbusha hotuba za Idi amin alipokuwa akijieleza kama kiongozi maarufu Africa. Najua siku inafika Inzi atajipongeza kwa kushirikiana na tembo kulitingisha daraja mpaka likakaribia kuvunjika kwa sababu tu wakati tembo akivuka daraja nzi alikuwa mgongoni mwa tembo. Sina taabu kuelewa maelezo haya chini licha ya kukosa ceherency. Ninaamini unafuatilia kqmpeni zote unasikiliza ya maana na utumbo unaosemwa na viongozi wetu wagombea. Na wapiga kura wengi wanasikiliza na wengi zaidi wanafafanuliana. Hayo najua yanapuuzwa na watakaokuja kusema tumeibiwa kura na kuanza kusaidia ulimwengu kufikiri ulinzi wa taifa hili utapatikana ICC. Ukishindwa kuelewa usipayuke. Nyamaza tu. Hakuna atakayeuelewa mwisho wa uelewa wako.
>--------------------------------------------
>On Wed, 10/7/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>Subject: Re: [wanabidii] MAGUFULI NA UFISADI
>To: "'Leticia Maruma' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>Date: Wednesday, October 7, 2015, 2:44 AM
>
>Mama nkya huyo mzee elisa
>hua nahis anakremu,haelew anaongea nn,yeye ni kTi ya mijitu
>isioona mbele na baht mbaya hata mia hawajampa basi
>anakariri tu,kwake yeye anavokariri mbay tanzania hii ni
>lowasa,wkt cc kaama wananchi tushaaamua baada ya
>kung'amua ukweli kua lowasa si mwizi wala fisadi hata
>kidogo ccm ndo ina majizi na mfisadi papa....
>Cha kumsaidia tu ni kwamba kama alivyo dada
>yake happyness katabaz,wanaoamini kua mungu yupo mtakuja
>kuona trh 25 oct....lowasa ni chaguo la mungu,uyoke mapovu
>utukuane cc na watanzania tushaamua kumpa lowasa....marufuku
>kutoa lugha chafu kwakiongozi wetu mpendwa,kama kina kuuuma
>kaa kimya,shut uuuup..kila siku lowasa lowasa...kakukosea
>nn,mbn hutaji kina jk,kina chenge,kina tibaijuka,kina
>ngeleja na muhonga au kwako hawa ninwaakatifu...kasha ipi
>kubwa'escrow,epA....sukar,kashfa kibao..mbn hao jamaa
>leo ni wagombea ubunge na mmewabriki na kuwaita wabrikiwa na
>mashujaaaaa....mama tibaijuka ashakataliwa live na wananchi
>lakin mmempitish a au hujui ni watuhumiwa wakubwaaa...achana
>na mzee elisa aishie na hoja zako zisizo na mashiko za
>kukariri na chuki binafsi'uzuri yeye si mungu
>Lesian
>
>'Leticia Maruma' via Wanabidii
><wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>
>Sent
>from Yahoo Mail on Android From:"'ananilea
>nkya' via Wanabidii"
><wanabidii@googlegroups.com>
>Date:Wed, 7 Oct, 2015 at 12:56 AM
>Subject:Re: [wanabidii] MAGUFULI NA
>UFISADI
>
> Elisa, fisadi papa ni serikali
>ya CCM yenyewe (rejea EPA na Tegeta Escrow). Hivyo CCM
>ikingolewa madarakani kisha Katiba Mpya inayotokana na
>maoni ya wananchi ikiandika--mazingira yanayofanya serikali
>kuwa fisadi yatakuwa yameondolewa. Unang'ang'ana na
>Lowassa bure unajidanganya wananchi wenyewe
> wanajua mzizi wa ufisadi uko wapi na ndiyo sababu wameamua
>kufanya mabadiliko kwa kuongozwa na Lowassa. Patamu hapo.
>Ananilea Nkya
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>--------------------------------------------
>On Tue, 10/6/15, 'ELISA MUHINGO' via
>Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii]
>MAGUFULI NA UFISADI
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>Date: Tuesday, October 6, 2015, 6:49 PM
>
> Hakuna kilichoisha ili mradi
>
>kinachangia kufanya uamuzi tarehe 25 October. sauli
> alibadilishwa. baada ya kubadilishwa
>hakuendelea kutetea
> msimamo wake wa kuwaua
>wanafunzi wa Yesu. hakuna
> aliyejitokeza
>kuyaanika madhambi yake ili tumlinganishe na
> Sauli
>
> --------------------------------------------
> On Tue, 10/6/15, 'Paschal Leon' via
>Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>Subject: Re: [wanabidii] MAGUFULI NA UFISADI
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, October 6, 2015, 6:13 AM
>
> achana na
> mambo yaliyopita, nani alijua Sauli (Paulo)
>angebadilika
> na
> kuhubiri
>Injili?
>
>
>
> On Monday,
>October
> 5, 2015 10:42 PM, 'ELISA
>MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>
> Mike.
> Wewe naweza kupata pa kuanzia kukujibu.
>Ni
> kweli viongozi wa CCM wameharibu. Njia
>pekee ilikuwa ni
> kuiondoa CCM madarakani
>na kuweka chama kingine makini.
> Baada ya
>mambo mawili kutokea
> 1) Chama
> kilichokuwa kinaonekana kuwa makini
>kushindwa kumpa nafasi
> mtu ambaye
>watanzania walimuona kama mtu makini; badala
> yake
> akachaguliwa mtu
>aliyenyomwa nafasi hiyo toka CCM na huku
>
>akiandamwa na tuhuma lukuki za ufisadi. NA
> 2) baada ya kuona CCM imeanza kusoma alama
>za
> nyakati na kuwanyima nafasi mafisadi
>kugombea urais,
> badala
>
>yake ikamteua mtu anayejitegemea na mwenye rekodi nzuri
> katika uadilifu na utendaji wake tena katika
>mazingira
> magumu-Watanzania wameamua
>kuchagua mabadiliko kupitia
> CCM.
> Ni kweli hii inawafanya watu waliokwisha
>ichukia CCM na
> wale
>
>walio
> na sababu za kutaka kuchagua kwa kutumia misingi
> yajiografia ya nchi kuungana kuendelea
>kuikataa CCM na
> mgombea wake. lakini
>mazingira yanaonyesha magufuli
> atashinda.
>ikiwa hivyo si kuwa CCM itamdhibiti Magufuli
> bali
> Magufuli anaizika CCM
>na kuibuka na CCM nyingine ambayo
>
>ilikuwepo enzi za mwalimu. Tuisubiri. haiepukiki.
> Tutaishuhudia.
>
>--------------------------------------------
> On Mon, 10/5/15, 'Mike Zunzu' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
> Subject: Re:
> [wanabidii] MAGUFULI NA
>UFISADI
> To:
> "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Monday, October 5, 2015, 8:05 PM
>
> Cha
>
>
> kufurahisha kuliko vyote ni kuli CCM
>kujitambua kuwa
> wamenyea kambi, kiasi
>kwamba wanaogopa hata
> kutamka kuwa
> chama hicho kinamtu anaomba
> urais kwa ridhaa ya chama
>
> hicho.Bahati
> mbaya sana watu wetu
>siyo wote wanawezanua
> vitu kama hivyo,
> baada ya kuona wanaogopa
>
>kutumia jina basi wananchi
>
>wangelikuwa
> anajiuliza kulikoni? Mbona
>safari hii haiombi
> kuchaguliwa,
>wamejificha chini ya mgogo wa
> mgombea
> wao.Kama
> unataka
> kufahamu CCM wapo puta, acha Mgufuli
>ashinde,
> watamwambie wewe kazi yako ni
>kukaa mlangoni,
> wenye funguo
> ni sisi. Hao aliodhani
>
>atawadhiti, yeye ndiye
>
>watakayemdhibiti.
> Tuombee
> isije ikatokea
> mbahati
>mbaya
> kama hiyo.
>
>
>
> On
> Monday, 5 October
> 2015,
>17:55,
> 'ananilea nkya' via
>Wanabidii
>
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
> MAGUFULI AKICHAGULIWA
>
>UFIDADI NA UMASKINI VITAONGEZEKA
>
> Ananilea Nkya
>
> Watu wanaokampeni kushawishi
> Watanzania
> wamchague
>John Magufuli kuwa
> Rais wa tano wa
>Tanzania
> kwa kutumia
> kigezo cha uadilifu wanadhani ataweza
>kuzuia
> serikali ya CCM kuwa fisadi na
>hivyo umaskini
> wa wananchi
> kupungua.
>
> Kimsingi
>
>wanajidanganya
> maana Magufuli
>akichaguliwa ufisadi wa
> kimfumo
>unaofanywa na serikali ya CCM ili
> chama
>hicho
> kibaki madarakani
> utaendelea
> kwa kasi na hivyo pengo
>kati
> ya watawala
>
>wachache kutajirika kufuru na mamilioni ya
> wananchi maskini wa kutupa litaongezeka
>mara
> dufu.
>
> Nchi yetu ilipopata
>
>uhuru
> maadui wa ustawi wa wananchi
>walikuwa
> ni watatu—adui mkuu
> ujinga— na adui
>
>wengine wawili wanaotokana na
>
> ujinga---adui umaskini na adui maradhi.
>
>
>
>Lakini katika zama hizi za
>
>utandawazi na demokrasia ya vyama vingi vya
> siasa
> ameongezeka adui
>mwingine hatari
> nchini kwetu--adui
> ufisadi. Ufisadi
>
>ameshamiri nchini baada ya mfumo wa vyama
>
>
> vingi vya siasa kuanza mwaka 1992.
>
> Chanzo cha ufisadi
>nchini ni CCM
> kung'ang'ania
>madaraka kwa kutumia nguvu
> ya fedha
>na
> hivyo serikali yake kila
>
> inapochaguliwa hugeuka kuwa
> fisadi
>na
> kuiba fedha na mali za umma.
>
> Hivyo, ikitokea
>Magufuli akichaguliwa
> wananchi wengi
>wataendelea kuwa maskini kwa
> sababu
> inaelekea Magufuli mwenyewe au
> hajui au aamini kwamba
>
>chanzo cha
> umaskini nchini ni
>serikali ya CCM kuwa
> fisadi na
>kuendekeza rushwa, ubabe, giliba,
> uongo
>na siasa
> za maji taka kushinda
> uchaguzi.
>
> Inaelekea
> Magufuli
>hajatambua kuwa kuzuia
> ufisadi
> unaozaa mafuriko ya wananchi maskini
>Tanzania
> kunahitaji nchi iweke misingi
>ya kikatiba,
> lakini CCM
>
> kwa kukataa Katiba Mpya
> inayotokana
>na maoni ya wananchi
>
> isiandikwe 2014 iliikataa misingi hiyo
>kwa sababu
> kinajua kinanufaika
>kubaki madarakani
> kutokana na
> udhaifu wa kikatiba
> uliopo
> sasa.
>
> CCM inachofanya
> sasa ni
>Magufuli kuwapumbaza
> wananchi
> kwamba eti baada ya yeye kuteuliwa
>kugombea Urais
> kwa tiketi ya CCM,
>mafisadi wameanza
> kuikimbia CCM.
>
> Magufuli
> anataka
> kuwaaminisha
>Watanzania kuwa
> umaskini unakabili
> mamilioni ya
>
>Watanzania umesababishwa na wanaCCM
>
> walioondoka kwenye chama hicho baada ya yeye
>kuteuliwa
> kugombea Urais!
>
> Pengine
> ndiyo sababu
> Magufuli
>anaahidi kwenye kampeni zake kwamba
>
>akichaguliwa Rais ataanzisha mahakama ya
> mafisadi kama
>
>alivyokaririwa kwenye
> mikutano yake ya
>kampeni huko
> Dodoma.
>
>
> Ninanukuu:
>
> ''Baadhi ya mafisadi wezi wameanza
>kukimbia baada ya
> CCM
>
>kuniteua mgombea urais lakini nikiingia
>
> Ikulu, nitawafuata
> huko waliko ili
> niwashughulikie vizuri ndiyo maana
>nimesema
>
> nitaunda
>mahakama ya mafisadi''
>
> Wananchi wanajiuliza kama ufisadi wa
>fedha
> na
> mali za
>nchi unafanywa na serikali
> inayopewa
>dhamana ya
> kuwa mlinzi wa fedha
> na mali za Watanzania endapo Magufuli
>
> atachaguliwa na serikali
>yake kuunda mahakama ya
> mafisadi, je
>majaji wa mahakama hiyo
> watapata
>wapi
> ujasiri wa kumtia hatiani
> fisadi mkuu (serikali) wakati
> kiongozi
> mkuu wa
>serikali (Magufuli) ndiye atakuwa
>
> amewateua majaji wa mahakama hiyo? Je
>serikali inaweza
> kujihukumu yenyewe?
>
> Aidha
>
> wananchi
> wanajiuliza je
>serikali ya CCM imekuwa
> ikishindwa
>kuchukua hatua za kisheria
> kudhibiti
>ufisadi
> wa fedha na mali
> za
> umma unaofanywa na serikali ya
>kwa
> vile
> nchi haina
>mahakama maalumu ya kushughulikia kesi za
>
> ufisadi au ni kwa vile chama chao ni mnufaika
> wa ufisadi?
>
> Wananchi
> wanauliza swali
>hili
> kwa sababu ipo
> mifano mingi kuonyesha serikali ya
> CCM
> ni fisadi .
>
> Mfano wa
> kwanza: Ufisadi wa EPA kuiba kwenye
>Akaunti
> ya EPA benki
>
>kuu jumla ya shilingi bilioni
> 133 mwaka
>2005/6. Wananchi
> walishangaa
> kuona Rais wa Jamhuri yetu alivyopata
>
> kigugumizi kwenye
>ufisadi huo.
>
>
>Wananchi wanajiuliza ilikuwaje mlinzi
>
>mkuu
> (serikali ya CCM) kama kweli
> haikunufaika na ufisadi wa
> EPA
> haikuchukizwa na
>kitendo hicho cha aibu na kuchukua hatu
>
>za kisheria?
>
>
>Kadhalika
>
> wananchi
> wanajiuliza, kama kweli wizi
>huo wa EPA
>
>
>haukuhusisha serikali yenyewe kunufaisha CCM ni kwa nini
> serikali ya CCM ilisema waliokwapua fedha
>hizo
> wamepewa muda
> wa
>kuzirejesha benki na
> hadi leo (miaka 10
>baadaye)
> haijawatangazia
> Watanzania hatma ya fedha hizo?
>
> Mfano wa pili: Ufisadi
>wa
>
> Richmond. Kukotana
>na ukosefu wa umeme nchini serikali ya
>
>CCM iliingia mkataba na kampuni ya kigeni
>
>Richmond ili nchi
> ipate umeme.
>
> Kabla
>
> kampuni hiyo kuanza
>kuzalisha umeme zilitoka tuhuma
> kwamba
> Richmond ilikuwa ni kampuni feki.
>
>
>
>Wakati huo Edward
> Lowassa alikuwa
>Waziri
> Mkuu, kimamlaka
> hakuwa Waziri wa Nishati, lakini
>
> aliamua kujiuzulu
>kulinda heshima ya serikali.
> Lakini
>cha
> kushangaza baada ya kujiuzulu
> Lowassa
>kampuni ya Dowans iliyoirithi
>
>Richmond
> iliendelea kulipwa fedha
>nyingi
> kila mwezi hadi zikafikia
> bilioni 172.
>
> Wananchi
>
> wanajiuliza kama CCM ilikuwa
>hainufaiki na
> mabilioni
> hayo yaliyokuwa yanalipwa
> Dowans na kwamba mnufaika wa
> ufisadi huo
> alikuwa ni
>Lowassa ni kwa nini Dowans
>
> waliendelea kulipwa baada ya Lowassa kuachia
>ngazi? Ni
> kwa
> nini
>Lowassa hajafikishwa mahakamani
> hadi leo
>kama tuhuma
> dhidi yake zina
> ushahidi?
>
> Mfano wa tatu:
> Ufisadi
>wa kuuza kwa bei
> chee nyumba
> za Watanzania zenye thamani ya mabilioni
>ya
>
> shilingi huku
>leo hii serikali ikitumia fedha nyingi
>
>za
> umma kuwapangishia makazi
>hotelini
>
> watawala.
>
>
>Wananchi
> wanafahamu kuwa
> msimamizi wa
>
>uuzwaji wa nyumba hizo ulifanyika
>
> wakati Magufuli akiwa na Waziri nyumba na
>makazi.
>
> Karibu
>nyumba za umma
> elfu
>
>kumi ziliondoka mikononi mwa umma na
> hadi
>leo Watanzania
> hawajaelezwa
> zilipatikana shilingi ngapi kwenye mauzo
>ya
>
> nyumba hizo na
>zilitumika kufanya jambo gani la
>
>kuwaondolea wananchi umaskini.
>
>Aidha
> katika uuzaji wa nyumba
> za umma Magufuli anatuhumiwa
> kuwauzia
> baadhi ya ndugu
>zake .
> Wananchi
>
>wanajiuliza kama Magufuli na Lowassa wote
>
>walikuwa ni
> watendaji katika serikali
>ya
> CCM, na wote ufisadi
> umefanyika
> kwenye
>maeneo ambayo walikuwa na dhamana, ni
>
>kwa nini leo Magufuli anashabikiwa na
> CCM kuwa ni
>
> mwadilifu ili hali Lowassa
>
>akipakaziwa ufisadi ?
>
>
> Aidha, wananchi
>wanauliza
> ufisadi kwa
> Magufuli katika kusimamia kwa niaba ya
>
> serikali ya CCM uuzaji
>kwa bei poa nyumba za umma
> umetoweka
>kwa vile tu anagombea Urais kwa
> tiketi ya
>CCM na
> tuhuma za ufisadi kwa
> Lowassa mkataba wa Richmond umebaki
> kwa
> sababu tu ameamua
>kuondoka CCM na kugombea Urais kwa
>
>tiketi ya CHADEMA --chama kinachowakilisha
> vyama vinne vya
> upinzani
>vinavyoundwa Umoja
> wa Katiba ya
>Wananchi-UKAWA?
>
>
>Mfano wa Nne: Ufisadi wa
>
> Tegeta escrow 2014, serikali ya CCM
>ilifisadi bilioni
> 306.
>
> Watuhumiwa wa ufisadi huo walienea
>
>ofisi mbali mbali za
> serikali
>hadi
> ofisi kuu ya ya nchi
>--Ikulu
>
> inayopaswa
>kuwa
> mahali patakatifu ilihusishwa na ufisadi
>
> huo!
>
> Tena
> wananchi
> walielezwa
>jinsi mabilioni ya
> fedha hizo
> zilivyokwapuliwa kibabe
> nyingine zikibebwa kwa magunia
> na
> tandarusi mchana
>kweupe.
>
>
> Watawala wa CCM waliopaswa kujiuzulu kama
>
> Lowassa alivyojiuzulu
>na kisha kupakaziwa ufisadi
> tuliona
> jinsi walivyosafishwa na serikali
> ya CCM yenyewe!
>
> Wananchi
> wanajiuliza
>kama
> ufisadi wa Richmond
> haukuwa mkakati wa CCM wa kutumia siasa
> za
> maji taka kumtoa
>Lowassa kafara wa ufisadi kudanganya
>
>wananchi kwamba serikali ya CCM siyo
>
>fisadi bali fisadi
> ni Lowassa ni
>kwa
> nini Magufuli kwa dhamana yake
>kama
>
> Waziri wa
>Nyumba alisimamia ufisadi wa nyumba za
> umma
>
> CCM inamuona mwadilifu na Waziri wa
>
>nishati Muhongo
> aliyekuwa na
>dhamana
> wakati wa ufisadi wa Tegeta
>escrow
>
> alisafishwa
>ili hali Lowassa aliyesimamia ufisadi
>
>wa
> mkataba wa Richmond
>anapakaziwa
> ufisadi?
>
>
> Zaidi wananchi
>
>wanajiuliza
> kama chanzo cha ufisadi
> nchini kama vile Magufuli na CCM
> wanayotaka
> kuaminisha
>umma ni LOwassa na wengine walioondoka
>
>CCM, je ni kwa nini serikali ya CCM
>
>imekumbwa na
> ufisadi wa Tegeta
>escrow
> miaka saba baada ya Lowassa
> kujiuzulu
> uwaziri
>mkuu?
>
> Hakika
>ziko
> fisadi nyingi zilizohusisha
> viongozi wa
> serikali ya
>CCM iwe ni kwenye miradi ya
>
> kitaifa au kwenye halmashauri na
>mikataba ya mali za
> nchi kama vile
>madini kuonyesha kwamba
> umaskini
> wa
> wananchi unasababisha na
> ufisadi wa serikali ya CCM.
>
>
> Ndiyo sababu kwa kutumia
>
> mifano hii minne
>wananchi wanajiuliza ni kwa nini
>
>CCM
> imtoe Edward Lowassa kafara
>wa
> ufisadi ili hali
> serikali ya CCM ndiyo
>
>fisadi?
>
>
>Kadhalika
> wananchi wanajiuliza ni kwa
>nini
> Edward
> Lowassa
>ambaye ameamua kuondoka CCM kutumia haki
>
> yake ya kikatiba kutimiza ndoto yake ya
> kugombea Urais ,
> CCM
>inamuona tishio na
> hafai kuwa Rais?
>
> Kama
> alikuwa hafai kuwa Rais kutokana na
>
> ufisadi ilikuwaje
>alipewa dhamana kubwa ndani ya
>
>serikali
> ya CCM kuanzia uwaziri hadi
>Waziri
> Mkuu na akajiuzulu
> uwaziri mkuu ili kuzuia
>
>serikali ya chama chake isianguke
>
>kutokana
> na ufisadi?
>
>
> Wananchi
>
>wanajiuliza hivi tatizo hapa ni
> ufisadi
>wa
> Lowassa kweli au ni CCM kutaka
>
> kung'ang'ania
>madaraka ya kuongoza hata kama
>
>wananchi
> whawakitaki tena chama hicho
> kiongoze nchi?
>
>
> Wananchi pia wanajiuliza
>hivi
> tatizo ni
>
>Lowassa ambaye anao uzoefu mkubwa wa kuongoza
> serikali na ambaye rekodi yake
>inaonyesha
> kuwa ni mchapa
> kazi au tatizo ni kwa vile
> anagombea Urais kupitia
>
> CHADEM-UKAWA
> na wananchi
>wamemkubali ingawa CCM
>
> ilidhani umma ungemkataa kutokana na
>kuchafuliwa
> kimkakati
> kwa ufisadi?
>
> Wananchi
>
> wanajiuliza kama Magufuli ni
>mwadilifu kuliko
> Lowassa na kwamba
>CCM siyo inayonufaika na
> ufisadi
> unaofanywa na watumishi
> wa
> serikali yake ni kwa nini CCM
> wamekataa
> kuandika
>Katiba Mpya inayotokana na maoni ya
>
>wananchi ili kuweka misingi ya kikatiba
>
>kuziba mianya
> kwa serikali ya
>chama
> chochote kuwa fisadi wa fedha
>na
> mali za
>
>wananchi?
>
>
>Wananchi
> wanajiuliza ni kwa nini CCM
>inahaha
> kumzuia Lowassa
> kuwa Rais wa Jamhuri
>
>kama CCM haiogopi hatari ya
>
>kuachia
> chama kingine kuingia madarakani
>wakati nchi
> haijaweka misingi ya kuzuia
>serikali kuwa
> fisadi na hivyo
> wanaogopa kuwa serikali
> ya CHADEMA na UKAWA nayo itakuwa
> fisadi
> kama ilivyokuwa
>serikali ya CCM?
>
>
>Wananchi wanajiuliza kama Magufuli ni
>
> mwadilifu kuliko Lowassa na kwamba CCM
> siyo
> inayonufaika na
>ufisadi unaofanywa na
> serikali yake ni
>kwa
>
> nini CCM wamekataa
> kuandika Katiba Mpya
>inayotokana na maoni
>
>
>ya wananchi ili kuweka misingi ya kikatiba itakayoziba
> mianya serikali ya chama chochote
>kuwa
> fisadi wa fedha
>
>na mali za wananchi?
>
>
> Vile
> vile
> wananchi
>wanajiuliza, kama Rais Jakaya Kikwete ambaye
> mwaka 2005 alipigiwa kampeni na CCM
>kuwa
> ni mwadilifu,
>
>kama anavyonadiwa Magufuli
> sasa
>lakini kwa miaka 10
> umaskini wa
> wananchi umeongezeka –deni la taifa
>
> limeongezeka kila
>Mtanzania anatakiwa kulipa shilingi
>
>800,000/-—je Magufuli atakuwa na ubavu gani
> wa kuifanya
> CCM na
>serikali yake
> isiendelee kuwa fisadi?
>
>
>
>
>Ni kutokana na hoja hizi ndiyo
> sababu
> wananchi wengi wanaona kumchagua Magufuli
>kuwa Rais
> wa Tanzania ni kuchagua
>ufisadi na
> ni
> kuchagua mamilioni
>
> ya watanzania waendelee
> na umaskini.
>HAIKUBALIKI.
>
>
> Tena wakati mamilioni ya
>
> wananchi
> wanaendelea kuwa maskini
>watawala wa serikali ya
> CCM, familia
>zao, wapambe wao kwenye kampeni
> na
>marafiki
> zao wataendelea
> kujitajirisha kufuru na kwa kujigawia
> fedha
> na mali
>zinazopaswa kunufaisha Watanzania wote.
>
>
> Ndiyo sababu wananchi
> sasa
> wanahamasishana
>kutambua kuwa
> kumchagua Magufuli ni
> kuichagua CCM na ni
>
>kama kumpa tena ya ulinzi mlizi
>
> mwizi!
>
> Wananchi wanaona
> ni
> afadhali kuichagua CHADEMA-UKAWA kwa
> sababu kwanza
> mgombea
>wake wa Urais
> Lowassa huenda
>akaonyesha
> uadilifu na
> uchapakazi wa hali ya juu
>kuwathibitishia
> Watanzania
> kwamba CCM amepakaziwa na kutolewa
>
>kafara ufisadi
> ili CCM iendelee
>kubaki
> madarakani bila kujulikana
>kwamba
> serikali
> yake
>ndiye malkia wa ufisadi nchini.
>
> Wananchi wanatambua kuwa
>
>
> kuirejesha CCM Ikulu kasi ya
>umaskini itaongezeka
> kwa
>
> wananchi wengi kuaendelea kukosa
>
>kipato, kukosa elimu
> bure na bora hadi
>chuo
> kikuu kuondoa adui ujinga na
> wizi,
> biashara chafu,
>uvunjifu wa haki za binadamu na
>
>serikali kuwa mbabe, dikteta mminya
>
>demokrasia
> vitaongezeka na hivyo
>kuvuruga
> amani ya nchi yetu.
>
>
>
>Hivyo ni muhimu serikali ya
> CCM
>ikaacha
> sauti na maamuzi ya wananchi
>isikike katika
>
>
>uchaguzi mkuu tarehe 25 Oktoba 2015 ili endapo
> wananchi wataamua kumchagua Lowassa
>kama
> Rais
> wao
> kupitia CHADEMA inayowakilisha
> vyama vinavyounda Umoja
>
> wa Katiba ya
> Wananchi (UKAWA),
>waandike Katiba Mpya
> inayotokana na
>maoni ya wananchi na
> wasipofanya hivyo
> uchaguzi wa 2010
>
>wananchi wawanyang'anye madaraka.
>
> Katiba mpya siyo tu
>
>
> itampunguza madaraka ya Rais kuhusu
>uteuzi wa watendaji
> ikiwa ni pamoja na
>majaji wa mahakama, bali
> pia itaweka
> misingi ambayo mihimili
> mitatu ya utawala wa nchi
>
> ---Serikali,
> Bunge na Mahakama
>vitakuwa haviingiliani.
>
>
> Kwa hivyo serikali ya
>chama
> chochote ikiiingia madarakani na
>ikafanya
> ufisadi
>
>itawajibishwa na wananchi nao
> wataacha na
>wizi na ujambazi
> wa kutumia
> silaha kujitajirisha kama watawala wao
>wanavyoiba
> fedha za umma kwa kutumia
>ujambazi
> wa
> kalamu.
>
> Katiba Mpya ya
>
>wananchi
> ikiandikwa, serikali
>ikifisadi
> fedha na mali za wananchi
> itashtakiwa
> na
>majaji hawataogopa kuihukumu serikali
>
>bila kuipendelea kwa sababu hawatakuwa na
> woga wa
> kupoteza
>ajira.
>
>
> Hayo ndiyo
>
>mabadiliko
> wanayotaka wananchi wa
>Tanzania katika
>
>
>kukomesha ufisadi wa kimfumo ili kuepusha ongezeko la
> wananchi masikini wa kutupa
>kunakohatarisha
> amani na umoja
> wa kweli katika nchi
>
>yetu.
>
> Lakini CCM
>na
> serikali yake vikitumia rushwa,
> ubabe na
> uchakachuaji
>katika uchaguzi wa tarehe 25 na
>
>kushinda uchaguzi, tuendako serikali ya CCM
> itafanya
> ufisadi
>mkubwa zaidi, tena
> ikitumia ubabe,
>udikteta na
> dharau kubwa
>
> kwa vyama vya upinzani na wananchi kwa
>
>
> ujumla. Mungu ibariki Tanzania.
>
> Note: Ninaruhusu
>yeyote anayetaka kutumia
> ,
> kuchapisha au kusambaza andiko hili
> afanye hivyo.
>
>
> Ananilea
> Nkya
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
> --
>
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
> Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
> this Forum bears the
>
>sole responsibility for any legal
>
> consequences of his or her
> postings, and hence statements
> and
>facts must be presented responsibly. Your
>
>continued
> membership signifies that
>you
> agree to this disclaimer and
> pledge to
> abide by our
>Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
>
> because you are
>subscribed to the Google Groups
>
>"Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe
> from this
>group and stop
> receiving emails from it,
>send an
> email to
>
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
>
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>--
>
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
> Kujiondoa
> Tuma Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>
>kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>Disclaimer:
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the
>sole
> responsibility
>
>for any legal consequences
> of his or her
>postings, and hence
>
>
>statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you
>agree
> to this
>
>disclaimer and pledge to abide by
> our
>Rules and
> Guidelines.
>
>
>
> ---
>
>
> You
>received this message because you are subscribed to
> the
> Google Groups
>"Wanabidii"
> group.
>
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails
>
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
>visit
>
>https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
>
>Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
>kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this
>Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and
>hence statements
> and facts must be
>presented responsibly. Your continued
>
>membership signifies that you agree to this disclaimer
> and
> pledge to abide by our Rules and
>Guidelines.
> ---
> You
>received this message
> because you are
>subscribed to the Google Groups
>
>"Wanabidii" group.
> To
>unsubscribe
> from this group and stop
>receiving emails from it, send an
> email
>to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
>
>https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>
>kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this
>Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences of his or her
>postings, and
> hence
>
>statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you
>agree to this
> disclaimer and pledge to
>abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
>
> You received this message because you
>are subscribed to
> the
>
>Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this
>group and stop receiving emails
> from it,
>send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
>visit
>
>https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send
>Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
>
>Everyone posting to this Forum bears the sole
>responsibility
> for any legal consequences
>of his or her postings, and hence
>
>statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree
>to this
> disclaimer and pledge to abide by
>our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are
>subscribed to the
> Google Groups
>"Wanabidii" group.
> To unsubscribe
>from this group and stop receiving emails
>
>from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For
> more options, visit
>
>https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata
>Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to
>this Forum bears the sole responsibility for any legal
>consequences of his or her postings, and hence statements
>and facts must be presented responsibly. Your continued
>membership signifies that you agree to this disclaimer and
>pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message
>because you are subscribed to the Google Groups
>"Wanabidii" group.
>To unsubscribe
>from this group and stop receiving emails from it, send an
>email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
>https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>--
>
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>Disclaimer:
>
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>for any legal consequences of his or her postings, and hence
>statements and facts must be presented responsibly. Your
>continued membership signifies that you agree to this
>disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>Guidelines.
>
>---
>
>You received this message because you are subscribed to the
>Google Groups "Wanabidii" group.
>
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>--
>
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>Disclaimer:
>
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>for any legal consequences of his or her postings, and hence
>statements and facts must be presented responsibly. Your
>continued membership signifies that you agree to this
>disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>Guidelines.
>
>---
>
>You received this message because you are subscribed to the
>Google Groups "Wanabidii" group.
>
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment