Tuesday, 13 October 2015

Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.

Nkya. najua unaamini kuwa mama wa UFISADI ni CCM.
Nina watu wanaoamini tofauti.
CCM kama taasisi ukipitia ahadi zake imani zake na myongozo yake huwezi kuona ufisadi hata kidogo. Ukitaka kuona ufisadi unaukuta kwa viongozi.
Ukikubali tuvinjari wote kuanzia kwa amwamu ya kwanza utakutana na rushwa na wala rushwa walikuwa wanajificha.
Awamu ya pili walianza kuila wazi kinyume na matakwa ya myongozo ya CCM
Ukija awamu ya tatu unaona Rais ananunua Machimbo ya mkaa wa mawe na kuanzisha kampuni inayosemekana kupata tenda akiwa ikuru. unakuta ufisadi unaota mbawa: Waziri Mkuu wa awamu hiyo anaanzisha wilaya ya mvomero ili mkuu wa wilaya asaidie kuendesha mashamba. Unakuta waziri Mkuu kwa kushirikiana na Waziri wa Mifugo na maji wanafilisi rnchi za Taifa na mengine mengi.
Ukija awamu ya nne unakuta ufisadi unaota mizizi na kupaa zaidi. kashfa lukuki iikiwamo richmond zinatikisa taifa. Watoto wa viongozi wanashiriki madawa ya kulevya na kutajirika kiajabu. wananunua majumba ya fahari miji mikubwa dunianni nk. hata hivyo ndani yaserikali hizo wanajitokeza viongozi waliotayari kuukemea ufisadi. Wengine wanaponea chupuchupu kufa vifo zisivyoeleweka.
Wananchi wanachoka na kuamua kutafuta mabadiliko. mabadiliko yanaanza kuasisiwa ndani ya CCM na vyama vingine kama CHADEMA.
Uchaguzi unakaribia na wimbi la mabadiliko linawaengua wahalifu ili mabadiliko hayo yaweze kuwaadibisha kwa chama chochote kitakachoingia madarakani.
Wahalifu hao wanatumia nguvu ya fedha na kukiteka chama kimojawapo kati ya vyama vinavyoleta mabadiliko yaani CHADEMA. Kwa kuonyesha uwezo wao wanaingia kwa masharti makubwa ya kulazimisha wao wateuliwe kugombea. Ukweli unabaki kwa wanaoona kuona mabadiliko ndani ya CCM maana CHADEMA imehujumiwa.
Ananilea naona na nasoma makala zako. najua kuwa unaziandika zijadiliwe na SIO MAAGIZO ili tuseme sawa afande. Mahala pengine tunazijadili kwa njia mbalimbali. Hivyo usifikiri tukizisoma lazima tuzikubali ndiyo maana unashangaa nikisema tofauti. Ninaposema uchaguzi si lazima kubadili chama nina maana moja kubwa: katika uchaguzi unaokaribia chama chochote kinaweza kushinda. Moja ya vyama ambavyo mojawapo inaweza kushinda ni Chama cha Mapinduzi-CCM. Kuna dhana inataka kusambaa kuwa CCM imeondolewa madarakani. Huenda kura haitaziondoa.
Nawe unajua wanaosema huenda Tanzania ikaenda ICC wana maana moja CCM ishinde isishinde lazima iondoke. Kwa historia yako haistahili ukawa mmoja wao. Sipendi kufikiri kuwa unaposema ''We Elisa husomi makala zangu au vipi au ndo hayo mahaba ya chama? Nimeandika mara nyingi humu kuonyesha mama wa ufisadi ni serikali ya CCM na mifano nimetoa mbana unaguwa mgumu kuelewa?''
Nina\mini CCM ikishinda utasikitika na kukubali. Inaweza kushinda bila kuiba kura. Iliwahi kuiba. haina nafasi ya kuiba mwaka huu. ina nafasi ya kushinda bila kuiba. Hii inakubalika. SIOTI
Elisa Muhingo
--------------------------------------------
On Tue, 10/13/15, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, October 13, 2015, 1:06 AM

We Elisa husomi makala
zangu au vipi au ndo hayo mahaba ya chama? Nimeandika mara
nyingi humu kuonyesha mama wa ufisadi ni serikali ya CCM na
mifano nimetoa mbana unaguwa mgumu kuelewa? Pili unasema
uchaguzi wa vyama vingi siyo lazima chama kuondoka
madarakani. Yaani wewe uko mbali sana tena unaota. Unataka
kuwaambia Watanzania kwamba  serikal ya chama kilichopewa
ridha akuongoza nchi ikiwa mwizi isiondolewe madarakani?
HAIKUBALIKI.
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini
ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.

To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, October 11, 2015, 11:03 PM

Nkya
Mfumo
wa vyama vingi si chama tawala kuondoka

madarakani. Kwa hiyo tusijesema Tanzania haina mfumo wa
vyama vingi kwa sababu wananchi wameichagua
(na
wataichagua). Neno mabadiliko
limekuwepo muda sasa. Lakini
mabadiliko
ninayoyazungumzia sio ya neno ila ya tendo. Tendo
linalotendwa na CCM kama nilivyoeleza pale
chini. 2005
Mtandao ulishindikana
kung'olewa. 2015 Mtandao
ukazuiliwa
licha ya shinikizo lililotokana na kuteka akili
zawatu ambao huku wakikusanyika kama marefa
walianza
kushangilia timu m ojawapo. Hilo
ndilo lililotia upofu CDM
ikatelekez
ataratibi zake na kupewa sharti la 'Mimi
mbomgea pekee'. Mabadiliko yanakuja na
ufisadi
utamalizika kwasababu mafisadi
wanatengenezewa mkakati.

--------------------------------------------
On Mon, 10/12/15, 'ananilea nkya'
via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 
Subject: Re:
[wanabidii] Mabadiliko
tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini

ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.


To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Monday, October 12, 2015, 12:03 AM
 
  Elisa,

Hili neno mabadiliko CCM
imelisikia baada ya
  kampeni kuanza siyo
agenda yao. Kama CCM
ilikuwa inataka
  mabadiliko ya kukomesha

ufisadi, uzembe, rushwa, ubabe na
 
mengineyo
yanayozalisha mamilioni ya watu
maskini

Tanzania,  basi
kisingeizika ile Rasimu ya Katiba ya

Mpya
  iliyotokana na maoni ya wananchi.
CCM
haitaki mabadiliko
 
nchini na ndiyo sababu
kinafanya kila
juhudi mfumo wa vyama
  vingi
vya siasa usifanye kazi nchini--CCM iendelee
kuwa
  madarakani--watawala wachache
waendelee
kutajirika kufuru
  kwa fedha na mali za

Tanzania huku mamilioni ya Watanzania

wakiendelea kuwa mafukara..
 

  Ananilea Nkya
 
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
 


--------------------------------------------
  On Sun, 10/11/15, 'ELISA MUHINGO'
via
  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 

 
Subject: Re:
 
[wanabidii] Mabadiliko
tuliyokuwa
tunayahitaji siyo ya udini

ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.


  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Sunday, October 11, 2015, 9:46 PM
 
  Fatma.


 
haikuwezekana kucukua hatua zaidi kwa

sababu
  ambaye angechukua hatua naye
ni
mhalifu. Ndiyo
  maana
CCM
 
ikaasisi
mabadiliko. Kwa sababu
  kesi ya
jinai haifi subiri
  uone

kitakachotokea. La msingi
msimpeleke mhalifu Ikulu
 


--------------------------------------------
  On Sun, 10/11/15, fatma_elia via
Wanabidii
  <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 

 
 
Subject: Re:
 

[wanabidii] Mabadiliko
  tuliyokuwa
tunayahitaji siyo ya udini
 

  ukanda na ukabila..ni ya kupinga
ufisadi.
 
 
  To: wanabidii@googlegroups.com
    Date: Sunday, October 11, 2015, 4:14
PM
   
    Sasa kama
ushahidi
    ulikuwa ni kujiuzulu mlifanya
nini?
Hatua
  gani
   
zilichukuliwa?
   
    Sent
from my
    BlackBerry®
 
smartphone
  provided by Airtel Tanzania.
   
    -----Original
Message-----
 
 
  From: franciskasili4@gmail.com
    Sender: wanabidii@googlegroups.com
    Date: Sun, 11 Oct 2015 05:55:51
    To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
    Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
    Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko
  tuliyokuwa
   
tunayahitaji
  siyo ya
udini
    ukanda na
   
ukabila..ni
ya
 
kupinga
  ufisadi.
   

    Suala la
  ushahidi
mezani halina mashiko kwa
    sasa
  kwani kujihudhuru
kwa
  Lowasa pasipo ubishi ni ushahidi
    tosha na
  watanzania
ndipo
wanaposimamia kwa
 
sasa.

Misemo na
    vijimaneno a.k.a vijembe

  havitamsafisha Lowasa au kumfanya
 
  mtakatifu. Tarehe 25

siyo
  mbali itatambulika nyeupe ni
  ipi
    na nyeusi ni
ipi
wakati watanzania
 
wanafanya maamuzi
    muhimu 
  sana kwa
future
  ya taifa lao.
   

    --
 
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
   
    Kujiondoa Tuma
Email
  kwenda
   
   
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
    Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
   
   
Disclaimer:
 
 
Everyone posting to
    this Forum bears
the
 
sole
  responsibility for any legal
 
  consequences of his
or
her postings, and hence
  statements
    and facts
must be presented
  responsibly. Your
 
continued
    membership signifies that
you
  agree to this
disclaimer and
    pledge to
  abide by
our
  Rules and Guidelines.

  ---
    You received
this message
 
 
  because
you are subscribed
to the Google
  Groups
 
  "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe
    from
this group and stop


  receiving emails from it, send an
    email
  to
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
    For more options, visit

 

 
https://groups.google.com/d/optout.

 
 
   
--
    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
   
    Kujiondoa Tuma
Email
  kwenda
   
   
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
    Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
   
   
Disclaimer:
 
 
Everyone posting to
    this Forum bears
the
 
sole
  responsibility for any legal
 
  consequences of his
or
her postings, and hence
  statements
    and facts
must be presented
  responsibly. Your
 
continued
    membership signifies that
you
  agree to this
disclaimer and
    pledge to
  abide by
our
  Rules and Guidelines.

  ---
    You received
this message
 
 
  because
you are subscribed
to the Google
  Groups
 
  "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe
    from
this group and stop


  receiving emails from it, send an
    email
  to
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
    For more options, visit

 

 
https://groups.google.com/d/optout.
 
  --
 

Send
  Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma
Email
  kwenda
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to
  this Forum bears the
 
sole
responsibility for any legal
 
  consequences of his or
her postings, and hence
statements
  and facts must be presented
responsibly. Your
 
continued
  membership signifies that
you
  agree to this disclaimer and
  pledge to
  abide by
our
Rules and Guidelines.

  ---
  You received this message


  because
you are subscribed to the Google
Groups
  "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe
  from this group and stop


receiving emails from it, send an
  email
to
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit
 

  https://groups.google.com/d/optout.
 
  --
 
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:

Everyone posting to
  this Forum bears the
sole
responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence
statements
  and facts must be presented
responsibly. Your
continued
  membership signifies that you
agree to this disclaimer and
  pledge to
abide by our
Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message


because you are subscribed to the Google
Groups
  "Wanabidii" group.

To unsubscribe
  from this group and stop

receiving emails from it, send an
  email
to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email
kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment