Lesian
Shida ya hiyo barabara ni upana wake. Garama ya kufidia majengo ni kubwa sana. Magufuri mlimlaumu alipokuwa anabomoa Nyumba kuongeza barabara umesahau?
Hata juzi wakati anaweka mipaka ya barabara na kutaks waliojenga humor watoke mmemlaumu na kumuita majina ya kibabe.
Unasema habari ya Kenya ni kweli lakini nako kuna wapinzani na wanasrma serikali haijafanya chochote.
Shida yetu ni historia ya Hugo MTU wenu. Ina kiza kinene na hao waliompokea wamegeuka mno mpaka inatisha.
Leo nae anahaidi kila sehemu bila kutwambia chanzo cha mapato.
Akisema yeye sawa. Akisema Pombe in mwongo na haiwezekani.
Huo ni UBALAKALA.
Leo Sumaye nae analaumu? Na Sie tunashangilia?
Tumelishwa nini au ni nguvu za giza?
Leo Kingunge nae analaumu?
Mungu atuepushe mbali na hili genge.
Walewale.
--Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment