Elisa, kwani nchi ni ya Kikwete au chama chake na si ya Watanzania wote? Kubaka maamuzi ya Watanzania watakayoyafanya kwenye sanduku huru la kura tarehe 25 Oktoba 2015 ni sawa na kubaka demokrasia; na kubaka demokrasia ni kuichimbia nchi kwenye umaskini wa kutisha miaka mitano ijayo---na ni kuhatarisha amani ya nchi yetu. Je ni afadhali amani ya nchi iparaganyike ili mradi tu CCM ibaki madarakani? Kama ndivyo kulikuwa na umuhimu gani kwa nchi yetu kuamua kuwa na vyama vingi vya siasa kama ilikuwa ni danganya toto? Ni kwa nini hatukuamua kuwa na mfumo wa chama kimoja kuliko kujidanganya nchi ni ya vyama vingi kumbe ni kuidanganya dunia?
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, October 11, 2015, 9:11 PM
Muganda
Are you honestly confortable with Lowasa being the president
of this country or you are jocking?
--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji
siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, October 11, 2015, 2:26 PM
De
kleison,Yote hayo unayosema mbona yamefanyika? Kikwete
anasema ndani ya Ikulu kuwa hawezi kumwachia Lowassa
madaraka. Sasa tunaangalia atatumia mbinu gani za kuhujumu
demokrasia tumtayarishie mashtaka The Hague. Pia ajue kuwa
si yeye anayeamua amwachie nani madaraka. Alijaribu
kufanya
hivyo ndani ya CCM akaleta mpasuko unaomuumiza kichwa
mpaka
leo. Acha raia waamue. CCM wanajitahidi kutumia media,
Polepole na propaganda za akina January Makamba lakini
moto wa mabadiliko uko pale pale. Let the chips fall where
they may. Hata kwenye Biblia tunaambiwa wananchi
walimchagua
Barabas lakini maisha
yakaendelea.em
2015-10-11 5:21 GMT-04:00
De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>:
Enough is enough. State house will never be life
opportunity to few by just collecting from majority who
contribute in term of capital while they have power of
control, never again in Tanzania.
Mchakato wa kutetea nchi utengenezwe na
kufanyiwa kazi instantly kabla ya Madhara makubwa.
1. Mkapa amkamate Kikwete, wafanye mbinu
yoyote, kwa nguvu yoyote utawala usipotee. Kwa miaka 10
tunakuwa ndani ya mkakati mwingine mpya wa kutusogeza
mbele
kwenye mategemeo mengine mazuri sana.
Hilo wajue ni jukumu lao na wakishindwa tutawalaumu kwa
kutupoteza njia.
We need Mkapa's brain here.
2. Kikwete, ni jukumu lako kusimama na kupiga
kampeni ukimwelezea Lowassa na unafiki wa CDM kumsafisha,
Fika kule CCM inapokubalika na upaze sauti, then habari
zako
ziwafikie pale usipokubalika kwa media maana ukienda
utapigwa mawe bure. Kuna sehem watu hawakupendi kabisa.
Huyu
mtu alikuwa kwenye utawala wako na kafanya madudu
akajiuzulu
ukakubali. Onyesha innocence yako kwa kusema ubaya wa EDO.
Toka nje tetea na rudisha nchi pale ulipoikuta. Okoa hatma
ya nchi yako kwa maneno tu kutoka mdomoni. Kukaa kwako
kimya
kutakuletea laana ya watanzania katika kila hatua
tutakayokuwa tunazidi kuumia. Umemaliza muda wako, lazima
utupe mwelekeo mzuri wa kwenda!!! Simama mwongelee Lowassa
yule uliyekubali ajiuzulu kwa kashfa nzito kuliko zote
nchi
hii. Tulikuamini tukakupa nchi yetu, tuambie umeifikisha
wapi, na pale tulipoona kwa macho yetu ulikosea, tuelezee
ulikwamishwa na nani? Ukweli utakuweka huru!
Gharamia ujinga uliojitokeza ndani ya kipindi
cha utawala wako Mkuu.
As simple as that.
Thank you
Period
3. CCM waanze kuwekeza nguvu kwenye media haswa
zinazofika vijijini. Kikiwa kama chama kilichosajiliwa,
sidhani kama kuna sheria inawakataza kudhamimi vipindi vya
televisheni na radio.vinavyoendelea kwa bei chee.
Ila wasiongee neno CCM kwa sauti. Magufuli awe ngao, kila
kinachofanyika kiwe kwa jina la Magufuli. Kila matumaini
tumwangushie yeye. Tukisikia neno CCM tulikatae kabisa,
sababu kubwa ni:
CCM inaongozwa na mtu, ndio maana ya Nyerere, Mwinyi,
Mkapa
na Kikwete hazifanani. Na hii ya Magufuli haitafanana na
hizo. Chama hakina tamaduni ila viongozi ndio huambukiza
watendaji na wanachama. haswa kwa nchi maskini kama yetu.
Mfano mzuri ni Lowassa alivyoingia UKAWA bila taratibu na
bado akapata haki zote as if amekulia pale maisha!!!!
Neno CCM lisahaulike vichwani mwa watu,
wabakiwe na picha ya Magufuli mchapa kazi na Lowassa
fisadi.
4. Waandae vipindi vyenye mijadala tija ya
kuongelea hatma ya nchi, wagusie uzuri wa Magufuli tu,
utendaji wake na ku-revise maneno yale yale yaliyoongelewa
na UKAWA majukwaani kumhusu Lowassa. (Hapa kuna tatizo
maana
CCM wamekaa kama wanamwogopa EDO, hakuna anaeongelea
mabaya
ya Lowassa!!! Wajitambue hawapigani na UKAWA, wanapigana
na
EDO akikingiwa kifua na CDM, watu hawaijui UKAWA wanamjua
Mbowe na CDM. na huu muda wanaaminishwa EDO ni mtu wao
alionewa tu sema hakujua. CCM wapambane kumharibia EDO.
Inaonyesha kila mmoja anaogopa kuyasema haya. Mbinu ya
kuyaelezea ni namba 5)
5. EDO anaogopwa na CCM sio kwa sababu yeye
binafsi ana miguvu ya kupiga watu 100 kwa sekunde. Kuna
uhusiano kati ya kujiamini kwa EDO na kudhoofika kwa CCM
kumsema. Uhusiano wao ni daraja flani la watumishi wa umma
ndani ya mfumo wetu wa utawala tulio nao, watu wenye
nafasi
nyeti na zilizoshika hatma ya nchi yetu kwa namna
nyingine.
Wanategemeana na EDO. Wako upande wake. Wanaweza kufanya
chochote kwa maslahi ya EDO. Mfano mzuri ni kuondoka kwa
KINGUNGE CCM. Ni nini unachoenda kukitafuta nje ambacho
hukukipata toka TANU mpaka umri huo? Hii ndio ishara kuna
watu wa ndani wako upande wa EDO.
Kingunge ni mtu nyeti sana tukiongelea mustakabali
wa
Taifa. Ana historia yetu na angetakiwa kuwa Mzee wa Busara
mmojawapo ndani ya jopo la wazee wazalendo na Taifa. Wazee
ni hazina. Yule ni mtu ambaye angetakiwa kushauri taifa
kwa
uzoefu wake ndani ya mipaka yetu na mambo maovu au mazuri
ya
majirani! Wafanyakazi wa Mwalimu hawa!!!
Hawa wenye kumpa EDO nguvu ya kusema ndio wa
kukaa nao, waelezwe hatma yetu, nini malengo kama taifa na
kwa nini ni muhimu kumweka Magufuli kama nahodha wetu kwa
miaka 10. Wakikataa nguvu itumike tu.
Lowassa kama anaogopa mahakama, asijali, awekewe
mkataba wa
kumwacha huru na kusamehewa kesi zote. Tunajua yeye ni
mtuhumiwa hata sasa hivi, lakini haitoshi, bado tunaelewa
yeye alikuwa mmoja kati yao na si yeye peke yake. By the
way, hata tukishitaki bado hatutaweza kwenda jino kwa jino
tupate hiyo pesa in one installment. ( the Court has never
been right place in term of my right on everything!!
mostly
its a total wastage of time!!!! Asamehewe maana wengine
walioshiriki tumewakalia kimya na bado wapo Magogoni na
kwingineko!!! Tusimbebeshe EDO mzigo wote.
Ubishi wa EDO wa kutaka kuwaonyesha wenzake mimi ndio mimi
unasababishwa na Lowassa kuzidi kuchukulia mchakato huu
kama
wa UHURUTO Kenya, zinafanana kwa muonekano wa macho ya
kawaida katika siasa. ila kimuundo ni vitu 2 tofauti. He
have to give up no matter what!!!
6. Kila mmoja wetu anaeujua ukweli atafute
mbinu ya kufikisha ujumbe, katika fani au kazi yoyote. 50
mil population ni ndogo sana kama una vitu 2
vilivyokuzunguka, Familia, Kazi na Marafiki + wale
unaowaendea kwa shida ndogo ndogo kama dukani, sokoni,
kanisani, misikitini n.k. ni watu wachache sana, ni ndogo
haswa kwetu ambapo level ya wanaotegemea ni kubwa kuliko
wanaotegemewa. Watafutaji ni wachache maana yake.
Tunahitaji mabadiliko, lakini lazima tujue
tunayapataje, na yepi kati ya mazuri na mabaya. Lazima pia
tujue hapa tulipo tunaondoka katika mazingira ya amani
kiasi
gani.
Advance the plan by changing missions in both
two sides.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment