Saizi Kuna frustrations nyingi sana. Ni ishara kuwa mambo mengi hayaendi vyema.
Hii ukuti ukuti tunayopewa na wanasiasa ni vile tumekubali kuwa matatizo yetu yameletwa na wanasiasa na yatamalizwa na wanasiasa.
Kama kweli mwanasiasa atamaliza matatizo yetu basi ni heri tuwe na balanced members of Parliament. Mtu wa upinzani angetamani wabunge zaidi maana hata kama una Rais na huna wasimamia serikali toka timu yako utapata vikwazo vingi.
Kwa jamii ya wasomi hii frustration inabidi kuichukulia tofauti na mtanzania ambae ni wa kawaida katika sense ya kawaida. Tukiwaza na kujadili kama average tanzania nini faida ya kwenda shule, if we can't make and see difference nini faida ya kuwa na wasomi.
Ni ubatili hata kuongelea mabadiliko wakati tunategemea kakundi kadogo tu wabadilike ahali tunaishi hivyo hivyo tunatenda na kuwaza hivyo hivyo.
Lessian,
Tusifikie kudharauliana kwa kejeli na maneno ya kukera kiasi hicho. Kama unadhani wewe peke yako ndio mwenye haki ya kusema, sema wengine wakupishe!!! Watakaa kimya tu.
Sio ugomvi huu. Kama kuna ulichoona hakiendani na upande wako na unaujua ukweli, just prove him wrong!!!! Ukiona huwez kabisa sema tukae kimya tuendelee na maisha mengine au wewe ukae kimya na sisi tuendelee na maisha.
Life is a two way traffic jam buddy!!!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment