Mama Kiwasila,
Baaa!!
Uchitutiche, chie twanchubili Laich mpya anakuja na katiba na chelia mpya, atabadilisha kila kitu mpaka kufikiria tutafikiria upya. Tunamwamini. Tulimwandaa toka zamani. Ni mtu wa kujituma sana.
Nakuapia akiingia haya yoote yataisha. Hizi shida tunazipata kwa sababu ya serikali hii mbovu tu. Serikali haina mikakati kabisa ya kutusaidia wananchi tunaosumbuliwa na uchafu wetu wenyewe. Nashangaa sana.
Tuiondoe madarakani kabisa, tumweke mtu atakaeleta magari ya kunyonya vyoo vyetu, kusafisha barabara zetu, atakuja kusimamia vyakula vipikwe mazingira mazuri pia. Atakuja afanye usafi nyumbani kwetu, kutufundisha kufanya kazi kwa bidii na kujituma.
(Hata akitumwa Malaika tutamchosha tu maana wenyewe hatubadiliki!!!)
Cam'n Tanzania!!! Tuanze kushikana mikono tuamke. Tuna kila kitu, hebu fikiria, utajiri, AMANI, UPENDO, eneo, watu wazuri, wanaume & wanawake wastaarabu than anywhere. Nenda kwa majirani zetu muone maisha ya jinsia 2 yalivyo tofauti na kwetu. We even have GOD, am telling you !! Nenda Uganda kashangae usiku kunavyokuwa, better bongo tunayafanya kwa kujificha ficha. Bar 24/7 ziko wazi vijana wameharibika na kamari & bettin.
Kenya utasikia bill za ndoa nazo bungeni. Angalia lini tumepata general problems ndani ya ndoa mpaka tufikie bill.... Sio kwamba hayatokei, yanatokea ila huko yamezidi.
WE LOVE EACH OTHER, No one can do it!! Congo, Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya.... We must be proud guys!!!
We are unique, very unique!! Mwalimu bado alitujengea jina zuri sana kimataifa, We must be proud and I can feel it right in my heart!! We are one ndugu zangu, tumeoleana na hatuulizani makabila. Huko mbeleni watoto wetu watasahau mothertoung zao wajikute lugha ni kiswahili tu!! Tena its like imeshaanza.
Tutengeneze nchi tofauti, nchi ambayo watu wanaiona nzuri wakiwa nje. Sasa tuifanye nzuri waione nzuri zaidi hata wakiwa ndani.
Bado tuna ardhi kubwa. Few to say..
But I love TANZANIA, Tusielekee huko tunapotaka kwenda. Lets stay strong and hug each other. Tuamke tuanze kujenga nchi yetu kwa vitendo. Anza mabadiliko ndani mwako na ndani ya nyumba yako. Hata kujali muda ni moja ya mabadiliko.
Nawapenda sana waTanzania wenzangu and i will always feel you.
Ha ha haaaa
Akhsante Mama.
Siku njema.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment