Sunday, 11 October 2015

Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.

Elisa,
Hili neno mabadiliko CCM imelisikia baada ya kampeni kuanza siyo agenda yao. Kama CCM ilikuwa inataka mabadiliko ya kukomesha ufisadi, uzembe, rushwa, ubabe na mengineyo yanayozalisha mamilioni ya watu maskini Tanzania, basi kisingeizika ile Rasimu ya Katiba ya Mpya iliyotokana na maoni ya wananchi. CCM haitaki mabadiliko nchini na ndiyo sababu kinafanya kila juhudi mfumo wa vyama vingi vya siasa usifanye kazi nchini--CCM iendelee kuwa madarakani--watawala wachache waendelee kutajirika kufuru kwa fedha na mali za Tanzania huku mamilioni ya Watanzania wakiendelea kuwa mafukara..

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, October 11, 2015, 9:46 PM

Fatma.
haikuwezekana kucukua hatua zaidi kwa sababu
ambaye angechukua hatua naye ni mhalifu. Ndiyo maana CCM
ikaasisi mabadiliko. Kwa sababu kesi ya jinai haifi subiri
uone kitakachotokea. La msingi msimpeleke mhalifu Ikulu
--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, fatma_elia via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini
ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.

To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, October 11, 2015, 4:14 PM

Sasa kama ushahidi
ulikuwa ni kujiuzulu mlifanya nini? Hatua
gani
zilichukuliwa?

Sent from my
BlackBerry®
smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----

From: franciskasili4@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 11 Oct 2015 05:55:51
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko
tuliyokuwa
tunayahitaji siyo ya udini
  ukanda na
ukabila..ni ya
kupinga ufisadi.

Suala la
ushahidi mezani halina mashiko kwa
sasa
kwani kujihudhuru kwa Lowasa pasipo ubishi ni ushahidi
tosha na watanzania ndipo wanaposimamia kwa
sasa. Misemo na
vijimaneno a.k.a vijembe
havitamsafisha Lowasa au kumfanya

mtakatifu. Tarehe 25 siyo mbali itatambulika nyeupe ni
ipi
na nyeusi ni ipi wakati watanzania
wanafanya maamuzi
muhimu  sana kwa future
ya taifa lao.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email
kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email
kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment