We Elisa husomi makala zangu au vipi au ndo hayo mahaba ya chama? Nimeandika mara nyingi humu kuonyesha mama wa ufisadi ni serikali ya CCM na mifano nimetoa mbana unaguwa mgumu kuelewa? Pili unasema uchaguzi wa vyama vingi siyo lazima chama kuondoka madarakani. Yaani wewe uko mbali sana tena unaota. Unataka kuwaambia Watanzania kwamba serikal ya chama kilichopewa ridha akuongoza nchi ikiwa mwizi isiondolewe madarakani? HAIKUBALIKI.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, October 11, 2015, 11:03 PM
Nkya
Mfumo wa vyama vingi si chama tawala kuondoka
madarakani. Kwa hiyo tusijesema Tanzania haina mfumo wa
vyama vingi kwa sababu wananchi wameichagua (na
wataichagua). Neno mabadiliko limekuwepo muda sasa. Lakini
mabadiliko ninayoyazungumzia sio ya neno ila ya tendo. Tendo
linalotendwa na CCM kama nilivyoeleza pale chini. 2005
Mtandao ulishindikana kung'olewa. 2015 Mtandao
ukazuiliwa licha ya shinikizo lililotokana na kuteka akili
zawatu ambao huku wakikusanyika kama marefa walianza
kushangilia timu m ojawapo. Hilo ndilo lililotia upofu CDM
ikatelekez ataratibi zake na kupewa sharti la 'Mimi
mbomgea pekee'. Mabadiliko yanakuja na ufisadi
utamalizika kwasababu mafisadi wanatengenezewa mkakati.
--------------------------------------------
On Mon, 10/12/15, 'ananilea nkya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini
ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 12, 2015, 12:03 AM
Elisa,
Hili neno mabadiliko CCM imelisikia baada ya
kampeni kuanza siyo agenda yao. Kama CCM
ilikuwa inataka
mabadiliko ya kukomesha
ufisadi, uzembe, rushwa, ubabe na
mengineyo
yanayozalisha mamilioni ya watu maskini
Tanzania, basi kisingeizika ile Rasimu ya Katiba ya
Mpya
iliyotokana na maoni ya wananchi. CCM
haitaki mabadiliko
nchini na ndiyo sababu
kinafanya kila juhudi mfumo wa vyama
vingi
vya siasa usifanye kazi nchini--CCM iendelee kuwa
madarakani--watawala wachache waendelee
kutajirika kufuru
kwa fedha na mali za
Tanzania huku mamilioni ya Watanzania
wakiendelea kuwa mafukara..
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, 'ELISA MUHINGO'
via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] Mabadiliko
tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini
ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, October 11, 2015, 9:46 PM
Fatma.
haikuwezekana kucukua hatua zaidi kwa
sababu
ambaye angechukua hatua naye ni
mhalifu. Ndiyo
maana CCM
ikaasisi mabadiliko. Kwa sababu
kesi ya
jinai haifi subiri
uone
kitakachotokea. La msingi msimpeleke mhalifu Ikulu
--------------------------------------------
On Sun, 10/11/15, fatma_elia via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] Mabadiliko
tuliyokuwa
tunayahitaji siyo ya udini
ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, October 11, 2015, 4:14 PM
Sasa kama ushahidi
ulikuwa ni kujiuzulu mlifanya nini?
Hatua
gani
zilichukuliwa?
Sent
from my
BlackBerry®
smartphone
provided by Airtel Tanzania.
-----Original
Message-----
From: franciskasili4@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 11 Oct 2015 05:55:51
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko
tuliyokuwa
tunayahitaji
siyo ya udini
ukanda na
ukabila..ni
ya
kupinga
ufisadi.
Suala la
ushahidi mezani halina mashiko kwa
sasa
kwani kujihudhuru
kwa
Lowasa pasipo ubishi ni ushahidi
tosha na
watanzania ndipo
wanaposimamia kwa
sasa.
Misemo na
vijimaneno a.k.a vijembe
havitamsafisha Lowasa au kumfanya
mtakatifu. Tarehe 25
siyo
mbali itatambulika nyeupe ni
ipi
na nyeusi ni ipi
wakati watanzania
wanafanya maamuzi
muhimu
sana kwa
future
ya taifa lao.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole
responsibility for any legal
consequences of his or
her postings, and hence
statements
and facts must be presented
responsibly. Your
continued
membership signifies that
you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by
our
Rules and Guidelines.
---
You received this message
because
you are subscribed to the Google
Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email
to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole
responsibility for any legal
consequences of his or
her postings, and hence
statements
and facts must be presented
responsibly. Your
continued
membership signifies that
you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by
our
Rules and Guidelines.
---
You received this message
because
you are subscribed to the Google
Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email
to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole
responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements
and facts must be presented
responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our
Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google
Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email
to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment