Nimekuelewa
--------------------------------------------
On Tue, 10/13/15, 'jozackys' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MABADILIKO SAHIHI
To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, October 13, 2015, 7:48 PM
Mmechelewa,anafumua mfumo gani mbona
hauelezwi bayana watu wakaujua hiyo ni danganya
toto,mabadiliko hayataletwa nawapiga kampeni zakutukana watu
matusi,uamuzi wa marofa kumwingiza ikulu rofa mwenzao Lowasa
hautabadilishwa na matusi ya Bulembo na nape wala mkapa
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
>Tunapenda kuwataarifu wanachama wetu na umma wa
Watanzania kuhusu masuala yafuatayo:
>Mwenendo wa Kampeni za CCM
>Mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, na
Mgombea Mwenza, Ndugu Samia Hassan Suluhu, wameendelea
kufanya kampeni katika maeneo mbalimbali nchini..
>Hadi jana, tarehe 10.10.2015, Dkt. Magufuli alikuwa
amekwishatembelea Mikoa 22 na Majimbo 203. Amekwishafanya
mikutano mikubwa rasmi 240 na mikutano 865 ya kusimamishwa
na wananchi njiani, hasa wananchi wa vijijini. Dkt. Magufuli
amekuwa akitumia usafiri wa barabarani, ambapo hadi sasa
ametembea kilomita 31,467 kwa barabara kuu, barabara za
mikoa, barabara za wilaya, barabara za mlisho (feeder
roads), na barabara za mijini na vijijini.
>Watu wengi wamekuwa wanajitokeza kwenye mikutano yetu.
Lakini la muhimu zaidi ni hamasa na matumaini wanayopata
baada ya kumuona jukwaani na kumsikiliza Dkt. Magufuli.
Wananchi wanapoondoka kwenye mikutano yetu ya kampeni
wanakuwa wamepata fursa ya kumsikia mgombea wetu kwa kitambo
kinachotosheleza, wamemuelewa, wameelewa sera za CCM na
wameshawishika kukipigia kura Chama Cha Mapinduzi.
>Tunaingia katika ngwe ya mwisho ya kampeni zetu. Tangu
kampeni zianze hadi sasa, ushindi wa CCM unajidhihirisha.
Hata hivyo, katika kujihakikishia ushindi na kuongeza
kiwango cha ushindi, katika ngwe hii ya mwisho, tumeanza
kampeni nzito.
>Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana, ameanza
ziara ya kampeni katika majimbo 64. Vilevile, viongozi
wengine wa CCM, akiwemo Rais na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu
Mzee Benjamin William Mkapa, nao wataanza safari za
kuzunguka nchi nzima kumuongezea kura Dkt. Magufuli na
wagombea wetu wa Ubunge na Udiwani.
>Tutatumia helikopta nne kwa ajili ya shughuli hii. Dkt.
Magufuli na Ndugu Suluhu wataendelea kutumia usafiri wa gari
hadi mwisho wa kampeni, isipokuwa pale tu itakapokuwa hakuna
budi.
>Maandalizi ya Kuleta Mabadiliko ya Haraka na ya Kweli
>Pia, tunapenda kutoa taarifa kwamba, mgombea wetu, Dkt.
John Pombe Magufuli, ameunda jopo la wanataaluma na
wataalamu huru magwiji wazalendo wa uchumi, biashara,
utawala na sheria, kutoka kwenye taasisi za elimu ya juu,
asasi zisizo za kiraia, na sekta binafsi, kwa ajili ya
maandalizi ya kufanya mabadiliko makubwa Serikalini kuanzia
siku ya kwanza atakayokuwa madarakani.
>Dkt. Magufuli amelipa jopo hili majukumu yafuatayo:
>1. Kuchunguza na kupendekeza maeneo ambayo Serikali
itabana matumizi, ikiwemo manunuzi ya umma, posho za vikao
na matumizi ya magari, ili atoe maamuzi kuanzia siku ya
kwanza atakapoapishwa;
>2. Kuchunguza na kupendekeza maeneo ambayo Serikali
itaongeza mapato mara moja bila hatua za kibajeti kuanzia
siku ya kwanza atakapoapishwa;
>3. Kuchunguza na kupendekeza maboresho makubwa katika
mfumo wa utendaji na utumishi na ufanisi katika Serikali;
>4. Kupitia kodi na ushuru wenye usumbufu kwa
wafanyabiashara wa ngazi zote, wakulima, wafugaji na wavuvi
iwapo unaweza kurekebishwa bila kuathiri bajeti ya Serikali
inayotekelezwa sasa.
>5. Kupitia sheria zote za nchi na kuorodhesha Sheria
ambazo zinapaswa kubadilishwa haraka ili kuharakisha
mabadiliko ya kweli na ya haraka ambayo ameyaahidi kwa
Watanzania;
>6. Kupitia na kuorodhesha masuala yote na kero zote
zinazosubiri maamuzi ya Serikali ili atoe maamuzi kuanzia
siku ya kwanza atakapoapishwa.
>7. Kupendekeza miundo na idadi ya Wizara na kutengeneza
rasimu za mikataba ya kazi kwa Mawaziri, Makatibu Wakuu na
watendaji wengine wakuu atakaowateua mara baada ya
kuapishwa.
>8. Kupendekeza njia za haraka za kumaliza kero za
watumishi wa umma, hasa walimu, askari, madaktari na
wauguzi, ili aanze nao kazi wakiwa na ari na morali ya
kusukuma mabadiliko ya kweli.
>9. Kutengeneza rasimu ya mpango-kazi wa utekelezaji wa
Ilani ya CCM na ahadi alizozitoa kwenye kampeni, hasa
upatikanaji wa ajira kwa haraka na umeme wa uhakika;
>10. Kupendekeza muundo wa kitaasisi na utaratibu muafaka
wa kutekeleza ahadi ya kutoa shilingi milioni 50 kwa kila
kijiji na mtaa nchini.
>Dkt. Magufuli ameazimia kuanza kazi mara moja kwa bidii
kubwa na maarifa mapya.
>
>Imetolewa na:-
>January Makamba
>Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa
>Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM
>11 Oktoba 2015
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence
statements
> and facts must be presented responsibly. Your
continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer
and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send
an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment