Mimi ni mmojawapo wa walioshangilia kujiuzuru kwa huyu mkuu 2008. Ila kinachonishangaza ni kwamba hadi hivi leo serikali ipo kimyaaaa zaidi ya kumponda majukwaani tena kipindi hiki cha kampeni.
Serikali yetu nilitegemea kwamba ina uwezo na mamlaka makubwa kwa masilahi ya nchi ila cha ajabu hata baada ya huyu bwana kujiuzuru waliendelea kuilipa Dowarns mabilion wakati matatizo lukuki yakiwatafuna watanzania! What a shame Tz.
Kuonyesha kuwa serikali yetu ni dhaifu mnoo, wanadiriki kuwasimamisha watuhumiwa wa tegeta Escrow na kuwanadi kuwa ni safi. Akina tiba ' kweli jamani bila aibu tena ni mafisadi wa juzi tu hata majeraha hatujapona!
Nimafisadi wangapi wa tegeta Escrow leo wananadiwa eti wasafi! Kama serikali yetu hii inataka kuleta mabadiliko basi ianze kwa kumpeleka kwanza Lowasa mahakamani na watuhumiwa wote wa escrow na epa. Vinginevyo hawana jipya
Ujue kipaji cha upumbavu kibaya sana huyu Ole tumeweke mahala anapostahili.
Mijitu kama hii miaka nenda rudi iko bungeni hafanyi kazi sasa hapa analia nini.
Hakutimiza wajibu miaka yote leo hii huu uchungu unatoka wapiOn Oct 11, 2015 2:41 PM, "fadhil fadhil" <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:--Mpombeumesahau kitu kimoja kuwa china watu hawanunuliki, lkini huku tz walikuw wanamwita fisadi na kusem wana ushahidi ndio hao hao wanaomsafisha leo, kumbuka kuwa siku zote mwenye pesa ndio anayechagua wimbo kwa mpiga zumari--2015-10-08 10:02 GMT+03:00 De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>:" Hv ww nani kati ya lowasa ambaye alishajieleza kua mwiz wa richmond ni boss wake na tunajua hilo na ndio maana aanajiahami asije kufunuliwa uozo alioufanya na ndio maana ana fanya kila hila lowasa asiingie kuku hata kwa kutumia vyombo vya ulinzi na usalama"
Sijakulewa!! Ina maana hakuna namna nyingine yeyote duniani ambayo Edo anaweza kumshughulikia JK zaidi ya yeye kuwa Rais?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment