Thursday, 1 October 2015

Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU

Mama Nkya;
Sidhani kama kuna yeyote anapinga kwamba kura ndizo zitaamua nani Rais,Mbunge na Diwani.
Hapa Ndaro na mimi niliyemuunga mkono tumejaribu kuongelea mantiki halisi ya mabadiliko ikiwa na maana yanatakiwa kukamilika lakini haya yatakuwa nusu.
Maana yake ni watu walewale waliotufikisha hapa tunawapa tena regardless yupo chama gani. Amebadilika lini mpaka tuwe na imani nae kubwa kiasi hiki?Basi hata kungekuwa na transition period ya kumuangalia lakini hii ya miezi miwili tusidanganyane Mama Nkya.
 
Reuben




On Thursday, October 1, 2015 5:55 AM, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Kubali usikubali, wananchi wakishaamua hapo tarehe 25 Oktoba hakuna chombo chenye mamlaka ya kukataa maamuzi ya wananchi. Wanaoumia ni wananchi na watakaoamua hatma ya uongozi wa nchi hii ni wananchi wenyewe kwenye sanduku huru la kura. Hivyo cha msingi sisi wanamabadiliko tupiganie hilo sanduku la kura liwe huru kweli kweli kusiwe giliba, vitisho, uzembe au uchakachuaji utakaofanywa ama na chama cha siasa, serikali iliyoko madarakani au Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Tuwaachie waamuzi---waamuzi ni wananchi wenyewe.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Thu, 10/1/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, October 1, 2015, 1:37 PM

Ndalo;Exactly
there you are.Nimekuelewa
vizuri na hiyo ndio ingekuwa maana halisi ya
mabadiliko.Haya ya
sasa ni kubadili chupa tu. Reuben
 


      On Thursday, October
1, 2015 4:50 AM, mary ndaro <mary.ndaro2@gmail.com>
wrote:
     

  Natamani kungekuwa na
mbadala kwenye haya mabadiliko...Mimi binafsi watu
waliotumua mfumo mbovu kutufikisha hapa haijalishi
wanaahamia wapi...hao sio jibu wala mabadiliko tunayoyataka.
Nakubali wananchi wamechoka na mfumo mbovu Wa ccm lkn majibu
sio cdm chini ya EL
On 10 Sep 2015 15:40,
"'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:


Ndugu Kim,



Neno mabadiliko  katika muktadha wa uchaguzi 
Tanzania mwaka  huu 2015 linatumika kumaanisha wananchi
kuchagua  serikali mpya  tofauti na serikali ya
CCM iliyoko madarakani ambayo ilikataa kuandika Katiba Mpya
inayotokana na maoni ya wananchi.



Katiba Mpya itaweka misingi ya kuzuia serikali kuwa
chanzo  ufisadi wa  fedha za umma, watawala
kujitajirisha na kuwatajirisha  wawekezaji kutoka
nje  kwa kutumia rasilimali za nchi yetu  huku
mamilioni ya wananchi wakibaki masikini wa kutupa.



Mfano ufisadi wa   mwaka jana 2014 wa Tegeta
escrow bilioni 306, ufisadi wa  Richmond bilioni 172
mwaka  2008 na ufisadi wa EPA bilioni 133 mwaka 2005 na
hakuna aliyefikishwa mahakamani.



Mabadiliko ya  kupata serikali  inayoongoza
na  vyama vingine tofauti na CCM  ikiandika Katiba
Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ---Katiba hiyo 
itaweka misingi  ambayo pamoja na mambomengine madaraka
ya Rais yatapunguzwa—kuzuia Rais kuwa Mungu mtu.



Kadhalika madadiliko  yataweka mihimili 
isiyoingiliana  ya utawala—serikali—bunge na
mahakama HIvyo  serikali  ikifanya ufisadi kama
ule wa Tegeta escrow na EPA  watawala hawatakwepa mkono
wa sheria  kama walivyokwepa.



Kadhalika mabadiliko   yatazuia 
 watawala wachache  wakijitajirisha kwa kutumia
fedha za wananchi  kujilipa mishahara mikubwa, mafao na
marupurupu wakati  watumishi wengine wa umma madaktari,
wauguzi, walimu, polisi na wananchi wengi wakibaki
maskikini.



Pia Katiba Mpya  itaweka misingi mizuri  ya kuwepo
usawa wa kijinsia katika uongozi hasa 50 kwa 50 wabunge
wanawake na wanaume  majimboni badala ya hili changa la
macho ambalo baadhi ya vyama vinajidai eti kwa kuweka
wagombea wanawake ni usawa wa jinsia.



Je inawezekana kuwa  na usawa wa jinsia endelevu kama
haijaandikwa kwenye Katiba ya nchi? Kama kweli serikali CCM
walikuwa wanataka nchi iwe na usawa wa jinsia katika uongozi
ni kwa nini waliikataa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya
wananchi ambayo ilikuwa imependekeza utaratibu mzuri kabisa
wa kupata asilimia 50 kwa 50 ya wanawake na wanaume bungeni
kutoka majimboni?



Hivyo mabadiliko  wanayoyataka wananchi wanaosumbuliwa
na umaskini hapa nchini   wao wenyewe
wananchi  wamejipanga kuweka msingi wake hapo hapo
tarehe 25 Oktoba 2015 kwa  kuiondoa CCM
madarakani   na kuweka  serikali ya vyama
vinavyounda UKAWA (CUF, NCCR Mageuzi, CHADEMA  na NLD)
ambavyo  vilipigania  Katiba Mpya inayotokana
na  maoni ya wananchi na vimeahidi  kwamba 
wakichaguliwa Katiba Mpya  ya wananchi itaandikwa.



Hivyo yeyote anatumia neno mabadiliko kwenye kampeni zake
ajuwe  akichaguliwa atatimiza yaliyobebwa katika
tafsiri hii.  Kinyume chake hayo siyo mabadiliko
wanayoyataka wananchi.   Mungu ibariki
Tanzania.





Ananilea Nkya

 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com



--------------------------------------------

On Thu, 9/10/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI
MAGUMU

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Thursday, September 10, 2015, 2:45 PM



 Kwanza

 MABADILIKO ni nini?

  Tukisema TUNATAKA MABADILIKO, maana yake ni

 nini? ya wapi? kwenye nini? yatamgusa nani?
yatatuchukua

 muda gani? yatatokea tokeaje?

 Mabadiliko yaweza kuwa baya kwenda zuri au zuri

 kwenda baya, dogo kuwa kubwa au kubwa kuwa dogo,
nyembamba

 kuwa pana au....



 Its all about "different" "utofauti wa
hiki

 kilichopo". nikikosea nisahihishwe. mie sio
mtaalam wa

 lugha!!

 Mnazi awaye yeyote iwe wa Chama au mtu, aandike

 akituelezea vizuuri na kwa ufasaha jinsi
watakavyoleta

 MABADILIKO nchini. i mean ameshawishikaje kuwa mnazi
wa

 flani/chama flani kuamini watafanya MABADILIKO ndani
ya kila

 mmoja wetu ili tukuamini na kukufuata popote ulipo!!
Wanazi

 wote hapa mkae mkijua nyie ni mawakala wa HAO
mnaowasemea!!

 kwa sababu sie hatumjui yule/wale vizur zaidi yako,
umeamua

 kuwa agent wake/wao ina maana unayajua ya kwake/kwao!
Latin

 proverb "if you host a guest, host his
dog"

 Tukibaki kuainisha MAHITAJI YA NCHI na

 MTU/CHAMA chenye SULUHU yake bila kuijadili, kuchambua
na

 kuitafakari SULUHU yenyewe kwa kina, hatuna tofauti na
mtu

 anaeajiri bila vyeti na interview. Akiulizwa kwa nini?
ati

 " ameahidi ataongezea kampuni faida ndani ya
miaka

 5" ****!!! Its the question of HOW not WHO!!! WHO
will

 come later to filter HOW!!

 Watanzania tumelogewa wapi??? tunashindwa na

 hesabu ndogo ambazo tunazifanya kwenye maisha ya
kila

 siku!!!!!????? Mpaka inakera.







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to
this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed
to the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


     




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment