Kila habari ikitokea, ni rushwa na vurugu za wana CCM wenyewe kwa wenyewe.
Ukweli nakerwa sana , na kujiuliza , ni kwa ajili ya maslahi ya taifa au matumbo yao? Kama ni taifa, kwa nini Hadi rushwa na kupigana? Na wengi wao walikuwa mawaziri! Je, wametekeleza hata ahadi za msimu uliopita?l
Shame on you mnaotoa rushwa na mnaopigana na kuleta vurugu. Tumewachoka! Mnajipanga kufia madarakani! Haikubalikiiiiiii
SB
On Jul 31, 2015 2:57 AM, African Wildlife Foundation <africanwildlife@email.awf.org> wrote:
Mourning the loss of a beloved lion. wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Subscribe to: Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment