ukizungumzia Cuf Tanzania bara huwezi kuacha kumtaja prof. Lipumba, bila Lipumba hakuna Cuf Tanzania bara, mipaka ya Sharif Hamad ni kule kule kisiwani na sio huku Tanzania Bara.

Chadema na Mbowe mlikose sana kumrubuni Sharif Hamad kwa kuona Lipumba si chochote si lolote, tamaa yenu, na uzandiki leo mmeisambaratisha Ukawa.

Namuonea huruma Lowasa bora angetuli ccm lakini amekwenda kuusambaratisha upinzani uliokuwa imara na wenye nguvu, Lowasa huoni aibu unakaribishwa ndani ya nyumba halafu wenye nyumba wanagombana uliona wapi mpangaji akawa na nguvu kuliko mwenye nyumba.

Nampongeza Lipumba kwa uamuzi mgumu wa kukataa kubakwa kwa demokrasia Nchini Kwetu

Lowasa umekosea sana na utajuta maishani mwako watanzania hatutakusamehe kwa kuua upinzani na Ukawa yetu, nakuhakikishia october si mbali utajua na kujua kuwa pesa si kila kitu na Dunia hadaa na ulimwengu Shujaa

tukutane october