Nachoshangaa kila siku nawaona makada wa ccm chama dola wakisambaza pesa,rushwa na kuishia kunaswa na pccb,lakini kinachonishangaza mbkna sisikiii au kuona watu wa upinzani wakikamatwa au wakihisiwa tu kuwa wametoa rushwa ilhali wote uwanjwa wa mpira ni ule uleee
Naanza kupata majibu flani moyoni na pengine hata akilini mwangu kua hiki chama kinatumia pesa kuingia madarakani na hii ni hatari sana.....ikumbukwe kua mtaani hakuna pesa kabisa kama mwananchi ukimpiga khanga na sh 5000 na ughali huuu wa maisha basi ni rahisi sana kumrubuni na nawa
ongeza sana pccb wanajaribu sana kuingikia na kuwanasa, japo nina mashaka makubwa sana na hao wakubwa kwani taarifa hizi huishia kuwahoji tu hakuna muendelezo sana sana baada ya siku mhojiwa huyo utamwona ananendelea na kampeni,sioni kama kuna fairness hapo
Hebu fikiria tu ingekua ni john mnyika kampiga mtu akazimia akiwa ktk kampeni leo hii angekuwa wapi, au iwe ni mh sugu amekamatwa kama alivyokamatwa mh naibu wa:-) iri wa fedhe nchemba ingekuajeeee....kiukweli hii ni aibu kubwa kwa nchi hii
Ndio maana lowasa wamemchezea faulu na sasa amewaacha bila kudhania ni kwa kukataa udhalimu huo,tunachoona kinachoendelea ccm ni dalili mbaya pamoja na kutoa rushwa wananchi wamejipanga vilivyo kuwakataa kwa kua hawawafai......unahonga kuingia madarakani....dalili za kutojiamini na kutoukubalika,natabiri anguko kubwa sana kwa ccm kwa ngazi zote kuanzia udiwaniubu ge na uraisi,hata wahonge vipi hawatakubalikaaaaaaaaa
Lesian
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment