Sunday, 2 August 2015

[wanabidii] Kama wewe ni Fisadi na una uchu wa Madaraka ondoka, kwani CCM si mahala pake

Rai kwa wanachama wa CCM,bado kuna watu hawaamini kama CCM inafanya mapinduzi katika kuwatimua au kuwakata mafisadi wote ambao hawataki kuacha tabia ovu ,ya dhuluma na uchu wa madaraka.

Tukisema no ni big "NO"....ni heri CCM ibaki na wanachama Mil.5.5....kuliko nyie lak5 mnahongwa na kupoteza mweelekeo.

Uzuri CHADEMA ni makazi mapya ya MAFISADI tena huko mtamkuta YUDA wa vipande 30 anawasajili SIKU hiyo hiyo na utapitishwa kugombea Udiwani,Ubunge kasoro URAIS kauza kwa bei chafu...hapo usiguse tutakutimua kama Dr.SLAA

CCM itashinda kwa kishindo kuliko hata mwaka "2010"===well said by Hor.Dr.JP Magufuri,Our next Excellent President of United Republic of Tanzania.

I wish Dr.Slaa angewahi kurudi CCM ili agombee ubunge KARATU ,may be tungemfikiria u-PM coz kaonyesha kuchukia RUSHWA kwa vitendo kama Mwl.Nyerere.(..anyway siyo case just enjoy your good life with no stress)

0 comments:

Post a Comment