Tuesday, 4 August 2015

Re: [wanabidii] wapinzani hawajajipanga tangu 1992, watanzania watawaamini kuwapa dola?

Dear Moderator
Please activate my account for I did unsubscribe thinking that I would avoid receiving messages from U.S.Department but to my surprise all messages were stopped

2015-07-21 16:37 GMT+03:00 mngonge franco <mngonge@gmail.com>:

time will tell, wapinzani wanafanya kazi kwenye mazingira magumu na anayeleta ugumu ndo huyo anayesifiwa. Tuwaache wajipange na siku ikifika dalili zitajionyesha. Uimara na nguzo ya wapinzani ni madhaifu ya ccm, sioni kama ccm imejirekebisha chochote. Kumteua magufuli sawa lakini kujirekebisha ni jambo gumu sana. Ni sawa na mfano ulio kwenye biblia pale Bwana Yesu alipowaambia watu wagawe mali zao na wamfuate ili kwenda mbinguni. Vivyo hivyo ni vigumu sana kuwaambia watu waliotukwapulia mali zetu kuzirudisha na kuacha kabisa kuendelea na utaratibu wa ukwapuaji.

On Jul 21, 2015 3:23 PM, "'mpombe mtalika' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
•  Hadi sasa hawajafanya maandalizi ya kutosha kwa ajili ya viongozi wao kuongoza dola, wamekurupuka na kuacha maswali mengi ikiwa kuwa na wagombea wenye dosari ambazo zinaepukika!

•  Ikulu sio mahala pa mchezo, utani wala pa kuhadaa Watanzania kwa kuuza sera zisizotekelezeka!

•  Halikadhalika wapinzani wameshindwa kujitandaza barabara nchi nzima tokea 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanza!

•  Lakini pia hawajaonyesha ukomavu wakuwa na mtandao wa umoja miongoni mwao dhidi ya CCM!

•  Uchu wa madaraka umezidi uwezo wao wa kudhibiti nchi jambo la hatari sana, hata kama baadhi ya taasisi za habari na wasomi zinajaribu kuwafagilia ili wakamate dola kwa njia za mkato!

•  CCM bado ni chama makini chenye mtandao wa uhakika unaofika vijijini japokuwa kinaendeshwa na binadamu ambao sio malaika!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment