Tuesday, 4 August 2015

Re: [wanabidii] SLAA AWAPIGA BAO CHADEMA, WALITARAJIA ACHUKUE FOMU WAMKATE KAMA ILIVYOKUWA LOWASSA

Aende ccm akamalizie mda wake,maneno meengi ya kudicourage watu huyu mzeee....nenda kajiunge na wenzako wenye mipasho kama waimba taarabu....ooh sorry kweli bana khadija komba ndio kwaya master wao ccm ndio maana hadi wafuasi wao na viongozi wao ni vijembe tu badala ya kuhubiri siasa za kistaarabu.....
Cdm siasa zao ustaarabu na sera'ila mkituzingua tutawazingua kweli...upo mzee elisa
Lesian

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Natarajia UKAWA kulimiliki bunge kwa asilimia 52. Hili silo nililotaka. Nilitaka ushindi ngazi ya urais. Hili limeziikwa. Mbaya sana. Tena mbaya zaidi kuliko lingetokea kwa kupitia wagombea wake kuliko wa kuazima. Lengo langu lilikuwa moja CCM iwe nje ijirekebishie huko na irudi baada ya vipindi viwili. Imeniuma sana CDM kujipotezea muda na sitegemei tofauti na hiki. Ikitokea kinyume nitashangaa. Nitarudi humu kueleza mshangao wangu. Ikitokea ninavyotarajia sitazomea
>--------------------------------------------
>On Tue, 8/4/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] SLAA AWAPIGA BAO CHADEMA, WALITARAJIA ACHUKUE FOMU WAMKATE KAMA ILIVYOKUWA LOWASSA
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, August 4, 2015, 11:51 PM
>
> Elisa,Naona umeshaamua kuwa Chadema hawawezi
> kushinda. Wakishinda utakimbilia wapi? Weka akiba ya
> maneno.em
> 2015-08-04 14:02 GMT-04:00
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Mimi
> nnachokitamani ni hiki: Dr Slaa abaki CHADEMA. Agombee
> ubunge kwa chama hicho jimboni kwake na abaki humo. Kampeni
> zake aendelee kukemea dhuluma ukiwamo ufisadi. Baada ya
> uchaguzi ambao Chadema haiwezi kushinda atakuwa instrumental
> kukikarabati.
>
> --------------------------------------------
>
> On Tue, 8/4/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
>  Subject: [wanabidii] SLAA AWAPIGA BAO CHADEMA, WALITARAJIA
> ACHUKUE FOMU WAMKATE KAMA ILIVYOKUWA LOWASSA
>
>  To: "'Hildegarda Kiwasila' via
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
>  Date: Tuesday, August 4, 2015, 12:01 AM
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>                                        
>         CHADEMA walifungua milango ya
>
>  uchukuaji fomu kwa
>
>  Wanachama wao kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania
> urais
>
>  kupitia chama
>
>  hicho.
>
>
>
>   Huu ni mtego ambao DR. SLAA aliwekewa na endapo
>
>  angejichanganya
>
>  tu na kuchukua fomu ANGEKATWA  kama ilivyokuwa kwa
> LOWASSA
>
>  kule CCM na
>
>  hapo ingemuwia vigumu kujiondoa CHADEMA kwa kuogopa
> kuitwa
>
>  mpenda
>
>  madaraka.
>
>
>
>   MBOWE na kundi lake wakabaki wameduwaa. Magazeti
> yakabaki
>
>  yanaandika "URAIS CHADEMA KAA LA MOTO".
>
>
>
>   Kuondoka kwa SLAA sasa ni mwiba
>
>  kwa MBOWE, LOWASSA na CHADEMA kwa ujumla. Kuna uwezekano
> wa
>
>  kuwa kama
>
>  USAJILI FYONGO KABISA kufanywa na CHADEMA, kumuinga
> LOWASSA
>
>  na kuondoka
>
>  SLAA.
>
>
>
>  Sipati picha SLAA anasimama jukwaa tofauti na la CHADEMA
> kwa
>
>  ajili
>
>   ya kuomba au kumnadi  mgombea asiye wa CHADEMA huku
>
>  akitumia agenda ya
>
>  ufisadi wa Lowassa kama turufu ya kuwauwa wapinzani
> wake.
>
>
>
>   Itakuwa haina
>
>  tofauti na TIMU KAMA REAL MADRID KUMUUZA MCHEZAJI KAMA
>
>  CHRISTIANO
>
>  RONALDO KWA MANU HUKU WAKIMCHUKUA MCHEZAJI KAMA ASHLEY
> YOUNG
>
>  HALAFU TIMU
>
>   HIZO ZIKAKUTANA.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  --
>
>
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>   
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya
>
>  kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>   
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>  for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
>  statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
>  continued membership signifies that you agree to this
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
>
>
>  ---
>
>
>
>  You received this message because you are subscribed to
> the
>
>  Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>  To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>
>  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment