Natarajia UKAWA kulimiliki bunge kwa asilimia 52. Hili silo nililotaka. Nilitaka ushindi ngazi ya urais. Hili limeziikwa. Mbaya sana. Tena mbaya zaidi kuliko lingetokea kwa kupitia wagombea wake kuliko wa kuazima. Lengo langu lilikuwa moja CCM iwe nje ijirekebishie huko na irudi baada ya vipindi viwili. Imeniuma sana CDM kujipotezea muda na sitegemei tofauti na hiki. Ikitokea kinyume nitashangaa. Nitarudi humu kueleza mshangao wangu. Ikitokea ninavyotarajia sitazomea
--------------------------------------------
On Tue, 8/4/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] SLAA AWAPIGA BAO CHADEMA, WALITARAJIA ACHUKUE FOMU WAMKATE KAMA ILIVYOKUWA LOWASSA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, August 4, 2015, 11:51 PM
Elisa,Naona umeshaamua kuwa Chadema hawawezi
kushinda. Wakishinda utakimbilia wapi? Weka akiba ya
maneno.em
2015-08-04 14:02 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mimi
nnachokitamani ni hiki: Dr Slaa abaki CHADEMA. Agombee
ubunge kwa chama hicho jimboni kwake na abaki humo. Kampeni
zake aendelee kukemea dhuluma ukiwamo ufisadi. Baada ya
uchaguzi ambao Chadema haiwezi kushinda atakuwa instrumental
kukikarabati.
--------------------------------------------
On Tue, 8/4/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] SLAA AWAPIGA BAO CHADEMA, WALITARAJIA
ACHUKUE FOMU WAMKATE KAMA ILIVYOKUWA LOWASSA
To: "'Hildegarda Kiwasila' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, August 4, 2015, 12:01 AM
CHADEMA walifungua milango ya
uchukuaji fomu kwa
Wanachama wao kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania
urais
kupitia chama
hicho.
Huu ni mtego ambao DR. SLAA aliwekewa na endapo
angejichanganya
tu na kuchukua fomu ANGEKATWA kama ilivyokuwa kwa
LOWASSA
kule CCM na
hapo ingemuwia vigumu kujiondoa CHADEMA kwa kuogopa
kuitwa
mpenda
madaraka.
MBOWE na kundi lake wakabaki wameduwaa. Magazeti
yakabaki
yanaandika "URAIS CHADEMA KAA LA MOTO".
Kuondoka kwa SLAA sasa ni mwiba
kwa MBOWE, LOWASSA na CHADEMA kwa ujumla. Kuna uwezekano
wa
kuwa kama
USAJILI FYONGO KABISA kufanywa na CHADEMA, kumuinga
LOWASSA
na kuondoka
SLAA.
Sipati picha SLAA anasimama jukwaa tofauti na la CHADEMA
kwa
ajili
ya kuomba au kumnadi mgombea asiye wa CHADEMA huku
akitumia agenda ya
ufisadi wa Lowassa kama turufu ya kuwauwa wapinzani
wake.
Itakuwa haina
tofauti na TIMU KAMA REAL MADRID KUMUUZA MCHEZAJI KAMA
CHRISTIANO
RONALDO KWA MANU HUKU WAKIMCHUKUA MCHEZAJI KAMA ASHLEY
YOUNG
HALAFU TIMU
HIZO ZIKAKUTANA.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment