Sunday, 2 August 2015

Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] NINAMUUNGA MKONO LOWASSA KUGOMBEA URAIS

Mike na wanajamvi wengine,

Nimefuta usemi wa Mkasikazini kwenye comment zangu, nisiwakwaze tafadhali. 

Jumapili Njema.

Omukunirwa Ireneus 


 

2015-08-02 2:53 GMT+03:00 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wewe mtoto unalala saa ngapi, kwingineko bado mapema. kisa ujibu hoja za watu. 
Nakumbuka tukiwa shule ya msingi tulifundishwa sheria za afya, moja wapo, "Lala mapema kwa kadiri ya ushauri wa wataalamu wa afya."



On Sunday, 2 August 2015, 0:44, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Mushongi and muhingo
Sasa kwann slaa hakupeleka ushahud huo mahakamani wazee,it was a fake politics,hakuna kitu hapo acheni kujiondoa ufaham....nendeni ccm kwa wenzenu,nyie hata week 4 hamtaelewa na mtabakiw wenyewe ,mnafirce hoja,mkikosa hili mnakuja na lile 'kwani makanisani wanasali nani si watanzania,umeambiwa ni kosa kufundrise kwa ajili ya kanisa au msikiti mzee,
Mhingo hujui siasa umejaa chuki na fitina za kijinga kabisa,huna hoja
Lesian

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Kama Lowasa akipona la Richmond anaweza kujiosha na fedha alizokuwa akizisambaza makanisani na misikitini na kwingineko?? alipoulizwa akasema anachangiwa na rafiki zake. lakini hakujibu lengo la marafikizake hao ni nini. Bado anaungwa mkono kwa saabu ya kujibu la richmond?
>--------------------------------------------
>On Sat, 8/1/15, Ireneus Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] NINAMUUNGA MKONO LOWASSA KUGOMBEA URAIS
> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> Cc: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Saturday, August 1, 2015, 10:45 AM
>
> Mama
> Nkya
> Haya yote Ni marudio Tu. Tumeshayasikia
> tokea vinywa mbali mbali.
>
> Kwanini mnapindisha ukweli? Huyu huyu Dr Slaa
> alisema kuwa Ana ushahidi kuhusu Richmond Na Yuko tayari
> kuuwasilisha  mahakamani kama tu ENL atapelekwa kwa
> pilato.
>
> Mbona hamuhoji hayo
> tena au siyo ya msingi sababu Mkaskazini huyu keshakuwa
> malaika na automatically msafi kwa kubadili jezi? Hawa jamaa
> ni wajanja wamecheza na nyakati wamehit kwenye msumari wa
> moto ukiwa haujapoa. Watu wamecheza na fursa adimu. Kimsingi
> wana malengo tofauti. Huyu ana hasira ya kuikomoa CCM hawa
> wanacheza na akili hiyo kujijenga kisiasa zaidi kwani
> popularity itaongezeka, status itapanda, watavuna wafuasi
> wengi at ago na si lazima waingie ikulu but watakuwa
> wamegain sana hata kuongeza wabunge 50 from the current
> number.
>
> Next move atakuja
> Chenge. Ukihama CCM si unatakasika automatic? Huyu bwana ana
> team oliyojiuzuru naye. Sijawasikia wao kuhama au wanapima
> upepo bado hadi ufanyike uchaguzi. Hawa wote ndani ya Ukawa
> ni watukufu na wasafi hivi karibuni watajoin majeshi na
> kubadili jezi. Hawa hawa waliokuwa wanawaponda
> watawashangilia sana na kuwaita majembe!
>
> Ninaamini Mbowe, Slaa,
> Lipumba, Mbatia,  na UKAWA top yote hawampendi ENL ila
> wametumia fursa hii kuachieve strategy zao za kisiasa. Time
> will tell. Kumsafisha au kutomsafisha haihusu sana.
> Washasema ilikuwa ni mambo ya kisiasa zaidi so watapima
> matokeo baadaye! Muhimu ni kugain tu kwa sasa kabla ENL
> hajarudi kwenye normal senses.
>
> Tutaona mwisho wa haya... Heri sisi
> tusiofungamana na kipande yoyote.... Tunahitaji mabadiliko
> ya kweli sio ya kinafiki. Msituchanganye! Jana mlikuja
> kivingine, Leo mnakuja hivi kesho hatujui mtakuja na lipi.
> Tuonyeshe dira na dhamira sio mikakati ya fursa za zimamoto.
>
> Umesababisha mke wa mtu aachwe,  alipopewa
> talaka tu, eti ndio na wewe unatangaza ndoa halafu eti
> tukuchangie. Tutafika? Siasa mchezo mchafu!From:
> 'ananilea
> nkya' via Mabadiliko Forum
> Sent:
> ‎01/‎08/‎2015
> 01:21
> To:
> mabadilikotanzania@googlegroups.com
> Cc:
> WANA
> BIDII
> Subject:
> [Mabadiliko] NINAMUUNGA MKONO
> LOWASSA KUGOMBEA URAIS
>
> Mimi Ananilea Nkya tatizo langu kubwa kwa
> Lowassa lilikuwa ni ufisadi wa Richmond uliotafuna zaidi ya
> shilingi bilion 172 za wananchi. Baada ya kusikia kauli yake
> alipohojiwa na wanahabari siku alipojiunga na CHADEMA, na
> baada ya kujiridhisha kuwa kama alikuwa amehusika na ufisadi
> wa Richmond leo angelikuwa jela kama Yona na Mramba,
> namuunga mkono kugombea Urais. Naamini hata Dr Slaa
> amemkubali Lowassa kuwa mgombea Urais wa vyama vinanyounda
> UKAWA baada ya kujiridhisha kuwa mamlaka ya juu ilimbebesha
> Lowassa kashfa ya Richmond ili kunusuru serikali nzima
> kuanguka.
>
> Lakini zaidi
> nimeongeza imani yangu kwa Lowassa baada ya kubaini kuwa
> hata Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere alimuona kama
> kijana makini mwenye maono na dhamira safi ya kuwatumikia
> Watanzania. Mwaka 1995 wakati Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi
> anamaliza muda wake  mwandishi wa habari Mwita Matinyi
> alimuliza Mwalimu Nyerere alikuwa anafikiri ni nani angeweza
> kumrithi Mwinyi kuiongoza Tanzania. Mwalimu alijibu Matinyi
> hivi. Nanukuu:
> Ni kweli Mzee Mwinyi
> anaondoka lakini ndani ya CCM kuna viongozi wengi wenye sifa
> za kuwaongoza Watanzania, kikubwa tu awe na dhamira kwa
> mfano wapo wakina Warioba, Mzee Msuya na Mark Bomani na wapo
> vijana hodari na wenye upeo mkubwa sana kama Mkapa, Kikwete
> na Lowassa ni jambo la heri sana CCM kuwa na watu kama hawa
> (Majira 26/5/1995) ukurasa wa 3; na Nipashe 26/5/95 ukurasa
> wa 3).
>
> Pia nikiwa ripota
> Radio Tanzania Dar es Salaam niliwahi kufanya kazi na
> Lowassa katika miaka ya 90. Nilivyouona utendaji wake wa
> kazi zama hizo nashawishika kwamba anafaa kuwa kiongozi wa
> nchi yetu. Nilishuhudia akijituma kweli kweli kwenye kazi za
> umma zama hizo.
>
> Kadhalika
> namuunga mkono Lowassa kwa sababu hagombei Urais kupitia
> chama cha CCM ambacho kinakumbatia mfumo wa kuwadhawau na
> kuwafukarisha wananchi huku watawala wachache wakineemeka
> kwa kutumia rasilimali za nchi kama vile nchi hii ni mali ya
> watawala, familia zao na marafiki za. Ninaamini kwa kugombea
> Urais kupitia UKAWA, CCM itapunguziwa dharau na jeuri yake
> dhidi ya wananchi ambao ndio wenye mamlaka ya mwisho kuhusu
> hatma ya nchi yetu. Mfano CCM mwaka jana 2014 ilionyesha
> dharau kubwa sana kwa wananchi kwa kuizika Rasimu ya Katiba
> iliyotengenezwa kwa kutumia maoni ya wananchi wakati fedha
> zaidi ya bilioni 130 zilitumika. Kwa kutumia mabilioni hayo
> bila Katiba Mpya kupatikana ni kufisadi mali za wananchi
> mchana kweupe. Haikubaliki.
>
> Vile vile namuunga mkono Lowassa kwa kwa sababu
> anaukataa hadharani umaskini wa kuchongwa ambao watawala
> wanautumia kwa faida yao ili waendelee kuwanunua wananchi
> mafukara wakati wa uchaguzi na wakishapata madaraka
> waendelee kujineemesha na mali za nchi.
>
> Nchi yetu siyo maskini bali watawala
> wanaendekeza matakwa ya wawekezaji (wakoloni wa zama hizi za
> utandawazi wizi) ambao wanaliibia taifa rasilimali nyingi na
> na hatimaye nchi za wawekezaji hao (donors)wanawapoza
> watawala kwa vijimisaadaa uchwara. Ni aibu sana kwa kiongozi
> wa Tanzania kijipitisha nchi moja hadi nyingine Marekani,
> Ulaya, China, India na Ausralia n.k kutembeza bakuli (omba
> omba kama matonya vile) huku nchi yetu ikiwa na rasilimali
> tele. Tena wakati watawala wanakwenda kuomba eti wanapanda
> ndege daraja la kwanza. Huu ni wenda wazimu. Ni kuiaibisha
> Tanzania na Afrika.
>
> Sina
> chama cha siasa ninachofungamana nacho kwa sasa, lakini
> namuunga mkono Lowassa kugombea Urais kupitia UKAWA kwa
> sababu naamini akiwa Rais wa nchi yetu upuuzi huu wa
> kuendekeza umaskini kwa kuomba omba nchi za nje huku tukitoa
> mali za nchi honyo hovyo kwa wageni na kuamini kuwa
> maendeleo ya nchi yetu yataletwa kwa misaada kutoka nje,
> kutakomeshwa. Naamini hata hao wakoloni wa zama hizi za
> utandawazi wizi wanajua Lowassa hatachekacheka nao.
>
> Lakini zaidi namuunga mkono
> Lowassa kwa sababu Watanzania wakiridhia kwenye sanduku huru
> la kura hapo Oktoba awe Rais wa Tanzania, vyama vinavyounda
> UKAWA vitasimamia kuhakikisha kuwa mamlaka ya wanannchi
> hayaporwi hivyo hovyo tena. Kwa hiyo Rasimu ya Katiba ya
> wananchi itaheshimiwa na nchi yetu itapata Katiba Mpya
> inayotokana na maoni ya wananchi. Kwa kufanya hivyo taifa
> hili litaanza kupiga hatua kubwa ya kuondoa ufukarishwaji wa
> wananchi walio wengi unaofanya na watawala wa CCM kwa
> kushirikiana na wakoloni wa zama hizi za utandawazi wizi.
>
> Naridhia andiko langu hili
> lichapishwe na yeyote anayetaka
> Ananilea
> Nkya
>  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
> --
> Unapokea
> Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
> 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye
> Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
>
> For more
> options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forum" group.
> To
> unsubscribe from this group and stop receiving emails from
> it, send an email to
> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to
> mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit
> this group at
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> To view this discussion on the web visit
> https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/1438381307.95951.YahooMailBasic%40web121006.mail.ne1.yahoo.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment