Thursday, 6 August 2015

RE: [wanabidii] Prof Ibrahim Lipumba ajiuzuru CUF

Mapambano yanapokaribia kunoga ukaona makamanda wenzako wanaanza kujadiliana na jeshi la adui lazima ufanye kama Lipumba na Slaa. Wala hiyo sio usaliti bali ni mbinu. Baadaye mnapojikusanya upya mtaamua nani mwenzenu nani simwenzenu.
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: RE: [wanabidii] Prof Ibrahim Lipumba ajiuzuru CUF
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 2:10 PM

Bila shaka wako wengine watajiuzulu
pia kwa sababu mapambano ya kurejesha mamlaka ya wananchi
yaliyoporwa na watalala siyo lelemama.  Mapambano hayo
yanahitaji, ujasiri, kujiamini, kuepuka ubinafsi na dhamira
ya dhati kupigani maslahi ya wananchi. Tusubiri mwaka huu
tutaona na kujifunza mengi kuhusu siasa za Tanzania katika
zama hizi za ukoloni mpya wenye rangi mchanganyiko. 

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:

Subject: RE: [wanabidii] Prof Ibrahim Lipumba ajiuzuru CUF
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 11:51 AM

Hakuna ushujaa
hapo.
Kinachotokea ni mgongano wa kimaslahi. And
nothing else. Woote watakaotoka sasa hivi no unafki wa
maslahi. Kama wangekuwa na lengo zuri kumkataa Edo,
wangeanza kumkataa toka na kabla hajachukua kadi ya CDM.
Juzi tu niliulizia any MOU behind these guys. I
knew what's next. Let's wait and see. Bado mgongano
no mrefu sana. Kumbuka Edo kabla ya kuingia UKAWA tayari
alikuwa na serikali yake mkononi. Na ilikuwa imeshaanza
kumpa support,  na sasa bado amekutana na zulia jipya LA
kutandikwa kwa style mpya wakati bado LA ZAMANI lipo
mkononi!
Ukitatandikaje jipya wakati LA zamani huwez
kuliachia? Na itatandikaje la zamani wakati wenye nyumba
wameshakuandalia jipya??



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment