Thursday, 6 August 2015

Re: [wanabidii] MTAFARUKU NDANI YA UKAWA: NDEGE HAIWEZI KUSUIWA KUPAA???

Mfano uliotoa wala hauna uhusiano wowote na mambo ya siasa.
Labda tu tizama hii misemo miwila ya wanafilosopher, Chinese saying " Thest time for planting a tree wa 20 years ago, the next best time is now" Na huu wa mfilospher kwamba "There is no traffic on mile ahead" Hao wanaopukutika wananapunguza trafiki, kwanza ni hiyari yao kuchukua slip road na kuicha motor way wanapunguza hiyo traffic ya kuanza ku nogotiate nana atangulie, nani apite kulia.

On Thursday, 6 August 2015, 15:03, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Fadhili,
Kama umesikiliza you tube ambayo Lowassa alikuwa anajibu maswali ya wanahabari  siku alipojiunga CHADEMA kuhusu ufisadi aliohusishwa nao--ufisadi wa Richmond-- utabaini Lowassa alibambikizwa. Kibaya zaidi wapinzani kwa kutokujua ukweli wote kama mimi nilivyokuwa siujui ukweli wote hadi miaka minane baadaye,  wapinzani walimuona Lowassa kama fisadi wa Richmond.  Kumbe ufisadi wa Richmond  ulikingiwa kifua na bosi wa  Lowassa na Lowassa  alibeba jukumu la kujiuzulu  kuokoa bosi wake na serikali nzima isianguke na hivyo nchi kuingia gharama kubwa kufanya uchaguzi.  Fadhili bahati nzuri baadhi yetu hupenda kujifunza  baada ya kupata kweli na hivyo tunatumia ukweli kubadilisha misimamo yetu. Maisha ni mabadiliko  na asiyekubali kubadilika mabadiliko yatambadilisha kwa lazima. Lakini zaidi baadhi yetu tunajua fika kuwa CCM inaogopa upinzani wenye nguvu maana inajua fika kuwa upinzani wenye nguvu maan ayake ni umma kushika hatamu-wananchi kuwa na madaraka ya
mwisho. Wananchi wakiwa na madaraka ya mwisho watawala wachache watakosa jinsi ya kujineemesha. Tusubiri.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MTAFARUKU NDANI YA UKAWA: NDEGE HAIWEZI KUSUIWA KUPAA???
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 2:34 PM

Mama nkya ikileta
mambo ya kutumwa utakosea maana kuna watu mimi nikiwemo
tunaamini lowasa katumwa na kuja kuvuruga ndege ya ukawa
ambayo watanzania waliiamini.
Kwanini hamtaki kuukubali ukweli kilichoiua ukawa ni
kuwapokea mafisadi
On Aug 6, 2015 4:30 PM,
"'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Sasa 
ndo upinzani wa kweli unaanza kuonekana Tanzania. Waliokuwa
upinzani kwa agenda zao au za kutumwa, wengi ataanza kubagwa
manyanga. Tusubiri.

Ananilea Nkya

 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------

On Thu, 8/6/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] MTAFARUKU NDANI YA UKAWA: NDEGE
HAIWEZI KUSUIWA KUPAA???

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Thursday, August 6, 2015, 2:11 PM

 Mzee muhingo sikio la

 kufa halisikii dawa wacha wafu wawazike wafu wao

 On Aug 6, 2015 4:03 PM,

 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 Mara ya

 mwisho ndege aina ya Concord iliporuka ilianguka na
kuua

 watu wote.

 Ilikuwa hivi:

 ndege ilianza vizuri kujipanga. Polepole ikaanza
mwendo.

 Mwasiliano na mnara wa kuongozea ndege yalikuwa mazuri.

 ndege ikashika mwendo. ukaongezeka na kufikia hatua
ambayo

 haiwezekani ndege kutoruka ndipo rubani akagundua kuwa
ndege

 ina hitilafu kwenye engine. Akautaarifu mnara wa
kuongezea

 na kuwa takeof was ireversible (huwezi kuizuia tenda
ndege

 kupaa angani) Rubani akaambiwa ajitahidi kutua uwanja
ulio

 karibu maana dege hilo lilikuwa linatimka usiome.
Likaanguka

 kabla ya kuufikia uwanja wa mbele. Iligundua hitilafu
iliwa

 uwanjani lakini kwa vyovyoite vile lazima iinuke.

 Majuzi humu ulianza kutoka ushahidi wa riipoti ya
mwakyembe.

 Nilifikir sasa UKAWA itaitisha vikao vya haraka
kuijadili

 ripoti yote ambayo kwa kutonesha kidogo tulikumbuka
ambayo

 yatatoka baadaye. Huwezi kuendelea na Lowasa ukijua
hayo

 labda akina Mollel ambao walikuwa wananyonya.

 Ha! vikao vikasendelea akakabidhiwa form ya kugombea.

 Sasa Slaa haonekani katika UKAWA. Lipumba kajitoa.

 najiuliza ishara hizi zinaonekana?? bado wanafikiri
hili

 dege litaondoka uwanjani lirue uwanja ufuatao na
hitilafu

 zote hizi??? Kwa sababu bado Tume ya uchaguzi
haijatangaza

 wagombea bado tu UKAWA hakuna mwenye kichwa akawaambia

 wenzake kuwa hatufiki popote??? Au wameishatumia fedha

 walizo naniii?

 I believe the take off is reversible to my thinking
UKAWA

 need to swaloow it

  > --

  >

  > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  >

  >  

  >

  > Kujiondoa Tuma Email kwenda

  >

  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya

  > kudhibitisha ukishatuma

  >

  >  

  >

  > Disclaimer:

  >

  > Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

  > for any legal consequences of his or her
postings,

 and

  hence

  > statements and facts must be presented

 responsibly.

  Your

  > continued membership signifies that you agree to

 this

  > disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  >

  > ---

  >

  > You received this message because you are
subscribed

 to

  the

  > Google Groups "Wanabidii" group.

  >

  > To unsubscribe from this group and stop
receiving

  emails

  > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  >

  > For more options, visit

  https://groups.google.com/d/optout.

  >

  >

  >--

  >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  >

  >Kujiondoa Tuma Email kwenda

  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  >

  >Disclaimer:

  >Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility for any legal consequences of his or
her

  postings, and hence statements and facts must be

 presented

  responsibly. Your continued membership signifies that

 you

  agree to this disclaimer and pledge to abide by our

 Rules

  and Guidelines.

  >---

  >You received this message because you are
subscribed

 to

  the Google Groups "Wanabidii" group.

  >To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  >For more options, visit

  https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence

  statements and facts must be presented responsibly.

 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed
to

 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit

  https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment