Elisa niliwahi kuandika humu kwamba mapambano ya kuwarejeshea wananchi wa Tanzania mamlaka yao yaliyoporwa na CCM siyo lelemama. Nilitoa mfano CCM kupora mamlaka ya wananchi walipozika pale Dodoma mwaka 2014 Rasimu ya Katiba ya wananchi.
Kuleta mabadiliko ya kuwarejeshea wananchi mamlaka yao, kunahitajika nguvu kubwa ya umma na viongozi wenye dhamira na uvumilivu. Kunahitajika uongozi wa upinzani usioyumba na wenye maono. Kunahitajika viongozi wa upinzania wenye dhamira ya dhati, ujasiri, uthubutu na uvumilivu maana ukombozi ni kazi ngumu yenye misukosuko na maumivu sana. Wengine wakitiwa msukosuko kidogo tu wanabwaga manyanga. Hao hawafai kuongoza mapambano ya kurejesha mamlaka ya wananchi. Lakini zaidi wasaliti katika mapambano ya kujeresha mamlaka ya wananchi ni wengi. Waoga nao ni wengi zaidi. Wanaotishwa na kutishika kirahisi nao wamo kibao.
Jambo muhimu katika UKAWA ni je viongozi wa vyama vyote vilivyounda umoja huo wana dhamira ya dhati—kuweka maslahi ya wananchi mbele? Je wote wana dhamira ya kweli na maamuzi yasiyoyumba? Ni aibu kubwa sana kwa mtu aliyejinasibu kuwa mpigania maslahi ya wananchi kusaliti mapambano ya ukombozi wa wananchi. Anajilaani mwenyewe. Mpigaji wa kweli anayeweka maslahi ya umma mbele hata akijeruhiwa kiasi gani-hawezi kubaga manyanga—maana kubaga manyanga ni kuwaaambia unaowapigania kuwa umechoka.
Lakini ninachoamini mimi ni kwamba kwa ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA, kwa vile alikuwa upande wa watawala, umma utawafahamu viongozi na baadhi ya wanachama wa vyama vya upinzani ambao walikuwa wanafanya kazi ya kusaliti mapambano ya ukombozi wa wananchi.
Pengine chaguzi wa mwaka huu utatuonyesha mengi ambayo yalikuwa yanakwamishwa jitihada ukombozi wa pili wa kuhakikisha wananchi wa taifa hili ndio wenye mamlaka ya mwisho . Tusubiri.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI TU?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 1:49 PM
Ndani ya mtandau huu toka
tumeuanza matusi yanakemewa, na hayaruhusiwe. niliwahi
kufungiwa na nikarudi kwa neema tu.
Lakini
hata kwa wanaonijua si mtu wa matamshi ya ajabu. Nina
heshima zangu.
Kichwa cha mjaddala
hakinistaki na dhamiri hainihukumu. nimetumia maneno makali
tu lakini ni ya kiswahili cha kawaida.
Tanzania imetoka mbali na humu sijadili safari
yetu lakini ukweli watanzania Tumeichoka CCm na yenyewe
(kama ipo) inajua kuwa tumeichoka
Watu
wanaiba wanatoa rushwa. Rushwa imekua sasa inaitwa ufisadi.
Mtu anaweza kuunguza benki kuu ili kuficha wizi. Viongozi
wamejirundikia marupurupu yaliyokuwa haramu yakawa
halali.
Toka lini sitting alowance ikawa
laki tano na mtu anaweza kukaa vikao vitatu kwa siku.
Sijawahi kukutana nayo nami nimetembea kidogo
Watanzania polepole wakajikusanya nguvu kupitia
taasisi zake moja wapo ikiwa vyama vya siasa. NCCR
ilinyongwa ikaumia inafufufa. CUF nayo ilifurukuta TLP ah
usiseme
CHADEMA ikafanikiwa kuwakusanya
watanzania na wakaitumaini. CCM ilipolinyonga tumaini lao la
kupata Katiba mpya tumaini la watanzania ilikuwa CHADEMA Ni
kupitia hiyo tukaipata UKAWA
Siku zote
tunajua watanzania maamuzi magumu tutayafanya kupitia
uchaguzi mkuu 2015. Tumeishachungulia na kuiona serikali
ndani ya ukawa. Fulani rais, Fulani PM fulani vile
Gnafla tunasikia Lowasa
anahamia CHADEMA tukacheka. apite wapi?
Mara
tukasikia CHADEMA imenunuliwa kama timu ya Manchester Mara
ah! nani alisema Lowasa fisadi? leta ushahidi
Mwisho tukasikia yamekuwa> Wenye akili
tukasema basi sisi na CCM yetu na madhambi yake. UKAWA basi.
Ghafla tunasikia Slaa na wengine hawamo ila ni Mbowe
kalazimisha. Slaa haonekani kwenye vikao na sasa Lipumba
kajitoa. Mbatioa achana naye. Yuko kazini.
Sasa kama Mbowe anasema walikubaliana katika
kamati kuu iweje katibu mkuu wake hayupo? kama huu ni uamuzi
wa UKAWA mbona wenzake wanajitoa? UKAWA ni Mbowe kwongeza
Mbowe??????
Kama kweli kaahidiwa fedha basi
ni fisadi nambari wani. Kawasaliti watanzania kwa manufaa
yake. la sivyo basi ni kaburu tu. Mpaka awe mweupe ndiyo
tuseme ni kaburu. kuwabagua wote hao bado unaweza kusema
nimetukana????????????? Sikubali --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment