Kwenye siasa na zaidi kampeni haijalishi unafanya usanii au nini kama watu wanakubali usanii wako lengo ni kushinda na siasa za Tanzania yule ambaye ni mkweli na mwaminifu hapati kitu mimi nilijaribu nimeshindwa watu wanataka mkono uende kinywzni kwa hiyo kama unaye mwona ni msanii nadhani ni staili yake kwani wako mtaani wanapita nyumba kwa nyumba wakihonga na ukiwauliza wanaosimamia uchaguzi wanakuambia hakuna mtu asiyehonga bali wanazidiana mimi nilienda kumwona katibu wa chama wa mkoa Kilimanjaro ndugu Deogratius Rutta kumweleza malalamiko yangu dhidi ya rushwa ilivyotembea katika wilaya Mwanga na mwenzangu ambaye anaitwa Enea Mruttu na kulazimisha kutokufanya kampeni na kuwekwa kwamigambo kila kona kutulinda tusifanye kampeni kabisa na kutupilia pingamizi langu la kabla na baada ya uchaguzi.akanijibu kuwa alitumia ujanja lakini sio sheria na hadi sasa hajanijibu kwani rushwa imewapofusha wote mkoani kwa maana hiyo nasema kama kila kiongozi anaamini kwamba kila mtu anatoa rushwa inafikiria nini mfumo ni mbovu sana kwa hiyo kama Lowasa anaona ili apenye atumie usanii mwache kwani CCM wamekataa watu wachafu lakini hakuna pia mwema kwao kila mtu ananuka rushwa tena rushwa ya waziwazi wale wema ambao tunakipenda chama chetu wametiona hatufai bali wala rushwa na watoa rushwa ndio wema kwao mwacheni mgombea yoyote afanye atakayo kwani hakuna haki hakuna itikadi hakuna fairness bali ni jinsi gani mtu anaweza akatoboza hata kama ni kwa kuiba kura tena huyu kiongozi alienda mbali na kusema tukimwacha huyu hawa watu wake watakwenda upinzani nikamwambia hizi kura zimeibiwa sio watu lakini sikio la kufa halisikii dawa sasa nani msanii zaidi hawa ambao wananuka rushwa kila jina na vitisho na ubabe nchi nzima au huyu anayepita kutazama wanyonge
Fatma
Magufuli peke yake hawezi.
1) Magufuli anazo element za kuweza kuthubutu kusema hili ni koleo sio kijiko kikubwa. magufuli anahitaji kuungwa mkono
na watanzania. isingekuwa sasa tunabishania mambo cosmetics tunataka kuanza kumwambia Magufuli makosa yaliyotendeka
mpaka tukafika hapa. nadhani tunayoandika humu na kwingine yanainfluence. Sitarajii Magufuli aunde baraza la Mawaziri la watu 60.
Sitarajii aongeze wilaya na mikoa. Si ajabu akatumia madaraka yake kuzipunguza.
2)Magufuli anahitaji CCM inayobadilika. mazingira yanaanza kuishawishi CCM kubadilika. Usidhani CCM haikujua kuwa
kuondoka kwa Lowasa kungekuwa pigo. Kitendo cha kumtosa Lowasa pamoja na 'upumbavu' wa waliofikiri watampitisha 'mtu
wao' lakini na kelele zetu zimesaidia kuishawishi CCM kukubali kuwa Lowasa hataweza kuivusha. Kwa hiyo CCM sasa
imeamini kuwa nchi inaweza kwenda. hatuhitaji kuwaacha wakapumua. Unafikiri yale aliyobwatuka baba yako nambari 3
ni bure? Kwa hiyo CCM inayobadilika tunayo. Angalia kampein alizozianza Kinana na Magufuli anaziendeleza. Za kuisema
Serikali. Umemsikia kule Katavi na Rukwa. Utafikiri ni mgombea kutoka upinzani. Hii ni dalili nzuri. mabadiliko
ndani ya CCM yalishindikana wakati wa JK kwa sababu alikuwa na mtandao mkubwa. Sasa haikuogopa mtandao wa Lowasa ambao
ni mkubwa zaidi. Naamini CCM inayotingishwa na wahamiaji halali kuikimbia kuhamia kwingine haiwezi kuendelea kuwa ile
ya wahafidhina. Mafisadi waliopitishwa na CCM kuendelea kugombea ni kwa sababu CCM ilihofu watakimbia kuwafuata wenzao. CCM imewabakiza makusudi. kwenye Biblia Mungu alimwambia Musa kuwa WAyebusi, waHivi na makabila mengine usiwaue wote ngedele wasije wakala mashamba yenu.
Mafisadi waliobaki watakosa raha. Si ajabu hutamuona Magufuli kwenye majimbo yao au hata akipita atapiga kampeni
zake na kuwaacha wananchi waamue. Magufuli angalau hawezi kufanya alichokifanya JK kwa Mramba.
3) Magufuli anahitaji Bunge la wapinzani. Naamini kama Magufulli angekuwa na Bunge kama alilokiwa nalo JK leo hii tusingekuwa na UKAWA. Tungekuwa na Katiba ya wananchi. Namuamini katica Reasoning capacity. Hawezi kupeperushwa kama bendera. Anajenga hoja kwenye hoja. Bunge likiwa na
idadi ya kutosha ya wabunge hatakubaliana na ushindi wa kura bali wa hoja. Lakini najua bunge lijalo litakuwa na kura za kutosha kutoka pande zote mbili. Anahitaji Speaker wa Bunge ambaye hatakaa kwenye vikao vya CCM maana atakuwa anatoka ng'ambo nyingine.
3) Magufuli anhitaji wananchi. Wananchi ambao watatumia fursa zilizopo kujiendeleza. Watanzania wanafikiri kuletewa chakula na serikali. Unafikiri kwa nini wanamshabikia mtoa rushwa awe mbunge, diwani au rais? Wapate Kofia Tshirt kitambaa na sahani ya pilau. Jinsi unavyoona viongozi wao walikuwa ombaomba kwa Bush na Obama. wawawabembeleza wawapatie chanjo za ugonjwa usiokuwepo kwa kubadilishana na dhahabu. ndivyo na waTZ wako wanavyobadilishana kura kwa wali. NGO zinatakiwa kuendelea kutoa elimu hapa. Wakati mzuri ni baada ya uchaguzi si kabla ya uchaguzi
4) naomba soda nikwambie mengine. (I am kiding).
Sasa nakuuliza Fatma: Kura yako ya urais utampa nani? Mimi ninazo kura 300 za uhakika kwa ajili ya rais na mbunge ninayemtakaq. hawatoki chama kimoja. Yako ni ya 301 au?
--------------------------------------------
On Wed, 8/26/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, August 26, 2015, 12:34 PM
Elisa
Bado nataka unishawishi jinsi Magufuli atakavyoweza
kuuvunja
mfumo huu ambao umeshajengwa na watu ambao wamekufikisha
hapo ulipo
Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.
-----Original Message-----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 26 Aug 2015 00:43:29
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
Naam Kuwasila. Mpe darasa huyu kijana.
Jingine nililolisahau ni ukubwa wa Serikali. Nyerere na
Mwwinyi waliongoza nchi kwa mawaziri 24. Mkapa na JK
walikuwa nao 60 kasoro. Mikoa na wilaya zimeongezeka kila
wiki. marupurupu ya viongozi yamepaNDA kupita maelezo hii
lichoa ya kuongeza matumizi katika uendeshaji na kupunguza
katika miradi ya huduma na maendeleo lakini imefanya watu
kukosa morale wa kazi kila mtu akitafuta namna ya kupata
fedha anazopata waziri, mbunge etc. Hili nasubiri kulileta
kama mada japo hoja zinazojadili maswala hazijadiliwi humu
ila wewe mtukane magufuri au Lowasa uone watu
wanavyochangia. Lakini nitaileta maana ujumbe unakuwa
umefika kwa wahusika.
--------------------------------------------
On Wed, 8/26/15, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, August 26, 2015, 8:00 AM
Kinachobakia Lesian ni kumuona mgombea wako akilala
mtaani ubungo mataa au manzese uwanja wa fisi ili
kuonja raha ya kulala barabarani kwenye kunuka, vumbi
na
mainzi. Huku ni kujidanganya. Awe kiongozi wa
Chadema,
Ukawa au CCM-wala si mkakati wa kumpima kiongozi
bora,
mweredi, mtendakazi kwani mipango hupangwa kupitia
mipango
shirikishi kuanzia chini kwenda juu (O&OD)
inapitishwa
WDC, Full Council, kuunganishwa mawizarani na
kuingia
Bungeni ambako wapo. Wanayaona mainzi na kinyesi
mtaani na
makwao kwenye mazizi ya mifugo ya watu wao mpaka
serikali
inagawa madawa ya trachoma, usubi kila mwaka na
kugawa
madawa ya minyoo mashuleni. Leo iwe issue; wanaona
mto
ubungo unavyochimbwa mchanga na majumba 10 kwa mwaka
kuanguka na wanawaona hao wa jangwani na mamantilie
barabarani, parking ya hovyo na malori mfano mwenge
yanapakua mbao barabarani soon mbao zitazika watu
wapitao
zitakapomwagika kutoka juu ya lori na kuangukia
wapita
njia
au gari ndogo. Leo ndio
akalale mwenge sokoni???
Muhigo Kanena ya ukweli hasa Namba nne
nimeipenda-UVIVU au
Laziness. Tuache Laziness ndugu yangu Lesian.Uvivu
kupenda
vishuke kama mvua, kupenda kuletewa. Kula darasa
alilokupa
Muhigo na hili hapa ubadilike.
Muhigo angeongeza-kwa sasa-desturi za
VISASI-kulipizia,
kukomoana. Hii huwafanya hasa viongozi vijijini na
watumishi
wa ugani wasitekeleze vizuri majukumu yao hasa
kuzingatia
sheria kwa kuogopa kufa. Hata kiongozi apande
daladala,
atembee kwa mguu kuonyesha anajali, apande gari ya
abiria
badala ya chopa hiyo yote ni geresha tu. Siku zote
anayaona
makorongo akitoka Mbuyuni kwenda Mswakini;
anaomemifugo
kwa
mamilioni beyond land's carrying capacitu kuwa
inaharibu
mazingira na maji; anaona foleni mijini hasa Dar
waishipo
ambako hawaruki na chopa kwenda kazi. Anaona abiria
waking'inia ktk daladala, anawaona wapiga debe na
biashara
barabarani watu wakiuza ktk mazingira ya uchafu.
Anaona
mapigano ya machinga na mgambo; anaona mafuriko ya
jangwani
na anajua hata mkoloni hapo hakukujengwa nyumba.
Kiongozi aliyekuwa madarakani anayegombea sasa baada
ya
kustaafu au bado - Anaelewa mabadiliko ya uchumi
duniani
na
sera za privatization na public, private partnership
(PPP)
za bank ya dunia na wahisani wetu ambao wameunda
umoja wao
wa nchi za ulaya etc. Anajua polluter pay principle
and
pay
for health and educational services badala ya
Russia,
China,
USA, Scandinavian countries kutulipia vyote kwa kodi
zao.
Hii ya huduma za bure za GVt kulipiwa na kodi za
wananchi
wa
ulaya haipo tena. Sasa ni-Vuna raslimali zako,
kusanya
kodi
zako efficiently na tumia effectively na efficiently
mapato
kwa ufanisi unaotakiwa.
Pamoja na effectiveness yako Uangalie na kulinda
mazingira
sekta zote na mchafuaji mazingira alipe kwa sawa
kupitia
Mkuhumi (mafao kwa wanaoathirika na uchafuzi kwa
hewa
ukaa).Karne zile tulisomeshwa bure, kukanyaga nchi
za
ulaya
bure kwa kodi zao. Tulikuwa watiifu kwa Baba wa taifa
mzee
Nyerere. tukapitia mgambo vijijini, magwaride ya
vijana
mashuleni na JKT ilikuwa lazima; shule za kijeshi
mipakani
na maeneo mengine wanafunzi kujifunza silaha kali
kuilinda
nchi. sasa hivi vijana vi vibaka, mijibaba vifua
vibana
kutwa vijiweni madalali wa tiketi za bus na mtu
unalijua
basi lako uendako yeye anapata hela bure. Mwizi wa
mkulima
ni mtoto wa mkulima mwenyewe anayedalalia mazao
anapata
hela
yeye nyingi sio mkulima. dalali kila kona-ununuzi wa
mchanga, kokoto, chakula sokoni etc. Na bado madalali
hao
wanawafundisha wakulima kuchanganya kahawa safi na
fifi na
pamba safi na chafu, mchele kuongeza kokoto na
mchanga pia
maharage na kokoto na mkaa kufunga kishungi
cha juu ama sivyo anakataza wanunuzi wasije kwenu. na
kila
kilo ya juu ya kishungi kila kunia ni yake. Ni huyo
mwanao
anayetembea na gari ya kusotasota, kaanza kazi wizara
ya
ardhi leo na kila valuation ya kujenzi wa barabara
au
uhamishaji watu yeye anachukua mihela, viwanja
kujigawia
anamlalia anayetakiwa kulipwa kiuhalali.
Akikamatwa-ni
wewe
unayemuwekea mawakili, kuhonga umtoe mwizi wa mali
za
binadamu wengine.
Ni mtanzania tajiri aliyetakiwa kuchukua viwanda vya
serikali kupunguza mzigo kwa serikali. PPP yeye
anaweza
kushirikiana na makampuni ya uwekezaji nje. Lakini
mbongo
anashirikiana na mgeni kuiibia nchi. Wamepewa viwanda
vipo
Dar na miji mingine, wamepewa maeneo ya kujenga
viwanda na
kuwekeza (Mwenge kuelekea Msasani, Kawe, Africana,
Mtoni-Mbagala etc) wamejenga? Wamefufua vya
serikali?
Wamepata hati miliki, mikopo wameviacha havifanyi
kazi ila
wamejenga maghorofa na kupangisha kwa $. Wamegeuza
yard za
magari na halls za arusi. hawa wabongo wafirisiwe
walipe
na
faida yote toka alipotakiwa kuanza kulipa baada ya
grace
period. Waliyejipa mashamba makubwa
wanyang'anyweita
wapewe wakulima na wafugaji kwa lazima ya kilimo na
ufugaji
kiendelevu sio kulimbikiza mifugo na kuhamahama na
kulima
kiuharibifu wa ardhi na mazingira.
Tatizo si sera au IMF na World Bank-tatizo ni akili
zetu
finyu na kukosa muono wa mbali, kulalamika na
kupenda
malumbano, kubweteka bila kutenda. Nchi ndogo
tulizosaidia
kukomboa, zinazopigana daima zitatupita kimaendeleo
kwa
wao
kuwa na uthubutu. Kwani nani anaizuia Private Sector
Foundation kuisaidia serikali kupita kiwanda hadi
kiwanda
kuona kulikoni na wanahela za auditing and
evaluation
kisha
kuamua matajiri hao kuvichukua na kuviendesha?
waache
story.
Mawaziri walipopewa nyumza za Msaijiri wa majengo na
za
NHC
na magari ya GVT ili kupunguza gharama waliowengi
wamefanya
nini? Mh Mkapa aliona kuwa kama nyumba inakarabatiwa
kwa
mil
20 kwa mwaka, gari ya kumbeba daima foleni ndefu na
kumuhudumia-tumuuzie hiyo nyumba akae iwe yake
mipango ya
wizi ya ukarabati iishe ila GVT imlipe 10% ya
mshahara
wake
kama kodi ya nyumba ambayo ingempangia na sasa
anaishi ni
yake. Gari itampa lita kadhaa za mafuta ila akijwa
kazini
atatumia tu ile ofisini kwa safari zote
kupunguza gharama ya kutumia gari ya GVT kwa shughuli
zote
za familia. Kilichotokea majumba wamejenga viwanja
100%
kuweka international school; hotels (sio 40 au 60%)
wameongeza mzigo wa maji safi, machafu na umeme
200%+
DAWASA
na DAWASCO, Tanesco zinahaha. Maji hakuna WAMASAI
wafugaji
akina Mollel, Lesian na Wasukuma wapo mpaka Mgeta
juu,
Mkulazi, Mvuha na mifugo wakiisafirisha usiku na
wamenunua
ardhi, wana hati miliki na maelfu ya mifugo
milimani.
Wamekuwa waluguru juu milimani ambako mfugo ni mbuzi
wawili
wa maziwa leo mbuzi, kondoo, ng'ombe milioni 2?!
Pamoja na mawazo mazuri ya hao wezi wa mashirika ya
kitaifa
lakini tusisingizie wazungu wa IMF, World Bank kila
wakati
ambapo sisi hatubadiliki. Ni PUMBA zetu wenyewe na
tunashirikiana sana na wawekezaji wenye nia nzuri
kuwafundisha jinsi ya kuiibia serikali na wananchi
wetu
wewe
ukiwa partner wa nchini, unampangisha mpaka mchina
nyumbani
kwako unakula kodi kisiri na unamuuzia mchina PUNDA
na
MBWA
ambao anachinja nyama na upo kibarua unaweka nyama
kusafirisha nchi za nje au nchini kama beef. Mbwa
unazipeleka wewe na kipato unalewea chakari daily! Ni
wewe
unayevua samaki kwa sumu ya panya unawauzia waannchi
wenzako; kuua tembo na kuuzia wenzako nyanya
ulizookota
dampo na kuongeza kipindupindu. Ukipewa ardhi
mabwepande-unauza unarudi tena pale pachafu. Eneo
linapimwa
kupanua barabara unalipwa mafao-huhami au unamuuzia
mwingine
kwa mamilioni kumtapeli na kiongozi wa eneo anagonga
mihuri
kama ni mauzo rasmi. Ikija serikali
kubomoa-maandamano.
Ulilipwa
hujahama karne; ulipimiwa ukazidisha eneo ukajenga;
ukivunjiwa-unapiga kura ya chuki kwa chama tawala
eti
hutaki
sheria ichukue mkondo. Halafu unataka serikali yako
ifanye
nini kama hutaki kubadilika, kuzingatia sheria,
usafi,
utendaji kazi bora, kuacha wizi NYERERE kajihidi
sana
imeshindikana-ni mental revolution kwa nguvu kiboko
matakoni, kutumia police, sheria kali za mahakama
bila
rushwa; kuzoa watu kuwapeleka kwenye mashamba,
viwanda,
bomoa bomoa mijini kote walikoziba barabara na
kuvamia
public places; ondoa ruksa kwa watu kutembea kutwa
na
mizigo
ya nguo, midoli-hii inaruhusu uzembe. Wamejaa vituo
vua
basi
kibao inaruhusu uzembe. Pool table kijijini saa 2
watoto
hawaendi shule, vilabu vya pombe kibao kijijini na
bar
mijini kila baada ya nyumba 3 na wanakunywa
kutwa-unategemea
nchi itakuwa na maendeleo? Kutakuwa na taifa la
nidhamu na
maadili. Nyumba ya makazi ina watoto ndani, wazee na
wagonjwa nje ni moshi wa mafuta, garage, mapishi ya
chips,
makelele ya music na chuma inayosagwa kwenye
welding-hayo
ndio maisha yetu kisha-IMF, World Bank, CCM an
Kikwete!?
Ni
sisi sote.
Hata ukienda machimboni kote unakuta ulevi, umalaya
na
pesa
inayopatikana na matumizi ya anasa lakini mazingira
yanaachwa hoi na tunaishia kuambukizana ukimwi na
kufa.
Africa nzima ina matatizo kasoro nchi chache tu. Bara
Arab
ndio usiseme ISIS inamaliza binadamu na majengo ya
historia
kisha wanakimbilia ULAYA na USA na nchi nyingine
wkutafuta
maisha bora na wanaona wanaonewa wakikataliwa au
kufukuzwa.
Wakiwa ugenini walikokimbilia-wanataka kuishi
watakavyo
wao
kama ilivyokuwa kwao sio wakae kwao wabadilike
kiakili
waishi kwa amani. Mungu gani unayempigania wakati
unabaka
na
kuvunja majengo kutafuta kuiba mali ya thamani ya
karne
before Christ na Mohamad? Ndio watanzania hao-kutaka
maendeleo bila sisi wenyewe kukubali kubadilika
kiakili
kwanza pili kimatendo-positively!! kiongozi wa juu
atafanikiwa tu ktk utawala wake kama wote kule chini
na
wananchi watawajibika ipasavyo. Kama si
hivi-maendeleo ni
biashara kichaa kama haya tuliyonayo. Mlo mooja
kula,
kunywa, oa kila baada ya mavuno, kuwa na wake kumi
watoto
60; lala barabarani, uza ardhi, fanya uchumi chafuzi
kwa
kujimaliza mwenyewe mtanzania!!
--------------------------------------------
On Wed, 26/8/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 26 August, 2015, 3:47
Muhingo hata mkatembee nchi nzima ww
na mwenzako pole pole muongee na mapovu
yawatoke,'lowasa ni rais wako,'kila anachokifanya
ww hutaki kukikubali
Mtakaukaa koo na saana mtapigwa macho
Lesian
wasitara@gmail.com
wrote:
@Elisa
Hongera kwa majibu yako.
Mbona hutumi a/c yako ya Twitter?
----- Reply message -----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
Date: Tue, Aug 25, 2015 22:25
Fatma,
Nchi yako ni changa kwa sababu mbalimbali. Ziko za
nje na
za
ndani. Ziko za uzembe wa viongozi na zipo za
mazingira
tuliyomo. Nitaeleza kwa ufupi ninavyoamini kwa nini
nchi
yetu ni changa
1) Mwanzaoni mwa uhuru wetu tulikuwa tunakabiliwa na
tatizo
la majirani zetu kuwa chini ya utawala ambao tuliona
tusipowasaidia nasi hatutakuwa huru. Hivyo tukatumia
nyenzo
zetu nyingi kuzisaidia nchi jirani zipate uhuru.
Katika kipindi hicho Tuliamua kuwa na mwelekeo wa
uujamaa
na
kujitegemea. Bahati mbaya watekelezaji wake
wakakazania
ujamaa na kusahau kipengele cha kujitegemea.
Tulizidisha
demokrasia katika hili hivyo uchumi wetu ukakosa
kukua
kama
tulivyotegemea. Ni kipindi hicho kutokana ujirani
mbaya
tuliamua kutwangana na jirani yetu ili kuhakikisha
tuna
jirani mzuri. Kipindi hicho tukakopa hela tukajenga
miundo
mbinu kadhaa ikiwa ni viwanda vya nguo, nyama,
baranara,
reli etc.
2) Kipindi hicho wakati tunabadilisha uongozi
tukakabiliwa
na shinikizo kutoka nje WB na IMF. Tukalazimika
kubadilisha
mwelekeo kutoka ujamaa na kuingia unyang'au.
Ynyang'au tukauingia bila mwelekeo. Tukauza viwanda,
tukaondoa ruzuku kwa wakulima, kilimo kikadorora.
Tukiwa
tumekabiliwa na madeni makubwa uchumi wetu
ukashindikana
kukua.
3) Tukiwa awamu ya pili na ya tatu uchumi ukiyumba
watu
fulani wenzetu wakaamua kujiangalia wao badala ya
kuangaliana. Huku watu tukisema tu maskini baadhi
yetu
wakawa wanajilimbizia mali. Ni kipindi hicho cha
awamu ya
tatu tukaamua kulipa madeni ili tuweze kukopesheka.
madeni
yakalipwa na uchumi mkubwa ukajengwa. Uchumi mkubwa
ukijengwa ule wa chini unaomgusa mwananchi ukawa
haukui.
Matumaini yetu yakawa ni kuwa kwa sababu tumelipa
madeni
basi ngazi ya nne uchumi utakuwa mzuri na wananchi
watanufaika. Ndiyo maana ikaja kauli mbiu ya Ari
mpya,
nguvu
mpya na Kasi mpya tanzania yenye neema inawezekana.
lakini
awamu hii nayo ikakabiliwa na uongozi mbovu kufuatana
na
upeo wa ma'dereva'.
4) Uvivu umekuwa ni utamaduni wetu. hatua ya nne
ikaingia
kwa matumaini hayo. Huku uvivu ukistawi miongoni mwa
watu
wetu matumaini kuwa wanasiasa watatulisha yakastawi.
Huku
hayo yakijili Ubinafsi ukastawi na kufikia kubatizwa
ufisadi. watu wachache walioko madarakani
wakajiangalia
wao.
Watanzania wavivu wakasubiri kupewa kila kitu na
serikali
iliyojaa ubadhilifu. Makubwa.
Tatizo jingine nchi yetu ikawa na raslimali nyingi.
Tukazubaishwa na wahuni toka nje kuwa watatufadhili
kumbe
wanatuibia. Jinsi unavyoona tunabebwa kwenda kwenye
mikutano
kuwashangi;ia wezi wanaotaka kuwa viongozi ndivyo na
wahuni
wanavyotuletea vyandarua na 'soks' za kueneza ukimwi
wakaondoka na dhahabu.
Ni kutokana na hayo watu tunaoona haya tunataka kuwa
waangalifu wa watu wanaotudanganya. wako kila mahala.
wako
CCM wako Chadema.
kabla ya chadema kuwa contaminated tulikuwa
tunaitumaini.
tunaposema tusiitumaini tena wengine wanafikiri ni
ushabiki
na ushambenga wa kisiasa. Sio
Tunaeleza tunachokijua. Tumedanganywa mara nyingi
tunajua
tunavyodanganywa. Tusikilizeni.
Nyerere alisema Watanzania wanataka mabadiliko.
Wasipoyapata
ndani ya CCM watayapata nje. Uwezekano wa kuyapata
nje
ulikuwa kabla wakimbizi au wahamiaji halali
kuiingilia
kuivamia CHADEMA. Tulisema hivyo kwa uhakika nasasa
tunasema
kwa uhakika kuwa Heri kuikumbatia CCM ili a)
Tusubiri
tuiunde upya CHADEMA au
b) Tunaweza kuyapata ndani ya CCM na dalili hizi
tuzione
Kujaribu kwenda nje sasa hivi kutafuta mabadiliko
tutakuja
kulia kwa kukosa hata tulichokuwa nacho.
Fatma Mwanangu/mdogo wangu (chagua moja, nilizaliwa
1952)
niliyoyaandika sikuyapangilia lakini yakipangiliwa
yanakosa
vitu vichache kukamilisha jibu la swali lako.
Elisa Muhingo
--------------------------------------------
On Tue, 8/25/15, fatma_elia via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA
SANAA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, August 25, 2015, 8:58 PM
Elisa
Naomba uniambie kwanini nchi yangu bado ni changa
ilihali
imepata uhuru wake miezi sita kabla sijazaliwa.
Nakaribia
kustaafu kwa hiari wakati nchi yangu bado ni
changa.
Kinachosababisha hadi leo tudumae tusikue ni kitu
gani? Kama ni ahadi tu kila aliekuja alikuja na
kibwagizo kizuuuri ambacho kama kingetimia basi
tungekuwa
mbali. Maradhi yaliyoidumaza nchi yangu siyo ya
individuals
bali ni ya mfumo wa chama. Binafsi namkubali sana
Magufuli
kama nilivyokuwa nawakubali wenzake waliopita.
But
look
where are we? Bado wachanga.... Hadi lini ndugu
yangu?
Naungana na wenzangu kuyakubali mabadiliko kwa
sababu
Mazoea
yamewafanya wapofu hadi wanafikia kutuita
wapumbavu
na sisi
tunashangilia. Wakikaa pembeni japo miaka mitano
watazindukana na tutapata maendeleo tunayoyataka
Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by
Airtel
Tanzania.
-----Original Message-----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 25 Aug 2015 09:18:14
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA
SANAA
Marekani inaweza kutawaliwa hata na Shosnega
(SP).
Kama ni
ndege tunaweza kusema abiria wamefungua mikanda.
na
rubani
anaweza kutoka kwenye cockpit. Sio tanzania ndugu
Emmanuel.
Tanzania sio ya kuendeshwa kichekibob. Ni changa
mno
bado
--------------------------------------------
On Tue, 8/25/15, Emmanuel Muganda
<emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE
YA SANAA
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, August 25, 2015, 6:58 PM
Hata Ronald Reagan
alikuwa mwanasanaa, cowboy, radio
broadcaster, etc. etc.
Leo
kuna baadhi ya Wamarekani wanamwona bado
kuwa
alikuwaone of the best presidents of this
nation.em
2015-08-25 10:29
GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
Kwani hiyo miaka iliyopita
unayosema lowasa alikuwa wapi?
On Aug 25, 2015 4:52
PM, "John Lemomo" <johnlemomo@gmail.com>
wrote:
Huna jipya Elisa..
unaeleweka.
Na wanaoahidi mambo ambayo yalipaswa kuwa
yamefanyika
tangu miaka 40 iliyopita unawaweka fungu
gani?
2015-08-25 14:35
GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>:
--
Niliwahi kusoma mahala kuwa Digree ya
kwanza ya Edward
Lowasa, Mgombea urais kwa tiketi ya
CHADEMA, ni ya sanaa.
Jana 24 August 2015 yeye na mgombea mwenza
walijitokeza
stand ya daladala Gongo la mboto na
wakapanda daladala na
kulipa nauli.
Ikatafsiriwa na watu kuwa hiyo ni
kuonyesha kuwa yeye ni
mtu
wa watu maana amepanda daladala. Mimi
sikuona hivyo.
Nilitaka kufikiri kuwa anataka kuyaelewa
matatizo ya watu.
Nikasita kuamini hivyo. Ingekuwa hivyo
kama angekwenda
huko
kabla ya kugombea ili tufikiri kuwa
alipoyaona matatizo
ndipo akaamua kugombea. Wakati
nikitafakari nikasikia kuwa
leo ameibukia sokoni Tandale. Nimeona
picha akinywa chai
(kama alikuwa haigizi).
Nimeyajumlisha nikashindwa kukubali kuwa
hiyo ni dalili ya
kuonyesha kuwa huyu ni kiongozi bora.
jambo ambalo wengi
tunaweza kukubaliana ni kuwa anafanya
maigizo.
Dr Mwakyembe wakati anajaribu treni za dar
Es salaam
aliwahi
kusafiri nayo. Rais wa Zanzibar wakati ule
Aboud Jumbe
aliwahi kusafiri na train nadhani kutoka
Dar mpaka tabora.
Alikuwa na sababu. alikuwa kazini.
Hii ya Lowasa sio. Na kama kuna mtu
akivutwa na hilo
akaamua
kumpa kura huyo mtu ana matatizo makubwa.
Sitarajii kusikia kuwa sasa anachangamana
na watu kwa hiyo
anafaa. najua wasanii wengi wamejaribu
kuingia siasa.
Wamegombea wengi . Wengine wamekosa nafasi
za kuendelea
mbele. Kwa nafasi za ubunge na udiwani
twaweza kuwajaribu
wakachangamshe mijadala bungeni na
mabaraza wa madiwani.
Elisa
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings,
and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you
agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you
are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings,
and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you
agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you
are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings,
and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you
agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you
are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings,
and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings,
and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment