Elisa na mpombe Mtalika mlishawahi kusoma somo la business strategy au marketing course yeyote ile?
Inaweza kuwasaidia kuelewa vitu vingi zaidi.
I hope you will take it posively.
Asante
Regards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481
Fax2Email: 0736605633
Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
"Poverty is a result of attitude ..."
On Sunday, 2 August 2015, 21:32, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Lowassa kashaibadilisha Chadema.
1. Kabadilisha ratiba yao ya uchaguzi.
2. Kabadilisha mgombea wao. Dr. Slaa anakatwa kwa sababu ya Lowassa.
3. Kabadilisha bajeti yao ya uchaguzi.
4. Kabadilisha kauli zao kuhusu ufisadi.
5. Kabadilisha ilani yao ya uchaguzi.
Sasa tujiulize, nani anayebadili mwenzie? Chadema itambadili Lowassa au Lowassa anaibadili Chadema?
Lowassa yuko kwenye siasa muda mrefu kuliko umri wa Chadema. Kuamini kuwa Lowassa atabadilika ghafla ni kujidanganya kulikopitiliza.
Mpaka sasa Chadema haijabadili chochote kwa Lowassa, yeye ndio anawabadili.
Chadema badala ya kuleta mabadiliko, yenyewe ndio inabadilishwa...
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment