Watanzania utata mtupu. Mtu ukikosa kupata kura za ubunge hata miaka 5 au mara tano za kugombea kila uchaguzi-unahamia udiwani. Ukikosa huko-unahama chama. Huko nako unakosa unahama-hueleweki. Sasa imeingia kwenye Urais. Waliopo CUF, Chadema viongozi wa juu ni wasomi watupu kama Prof Lipumba, Baregu, wanasheria akina Lissu na wengineo. Kweli mnakubali mchezo mchafu huu wa watu kuhamia kwenu nanyi muwaachie kugombania madaraka. Darasani Lipumba na Baregu watafundisha nini katika Political Science , Democracy, lust for power and corruption. Ni bora committing suicide uache chama urudi darasani, kanisani au ujifungie nyumbani usipatikane kuliko hicho unacholazimishwa kukikubali mradi tu muiue CCM hata kama ni kinyume na maadili ya chama na mfundishayo darasani. Mtagawanaje madaraka? yaani mgeni kahamia leo ndio awe kiongozi kuliko hao waliokianzisha na kukilea chama. Kanda zao za kumtukana zimesambaa kila kona-AIBU. Mke humtaki unampiga mbele za watu,
unamtukana na kumvua nguo unamuacha utupu kila mpita njia anamuona. Hujali kama ana watoto, ndugu, jirani na jamaa na ni classmate wako, jirani au mtanzania mwenzio-unamuadhiri nawe msomi wa kutambulika duniani na mahekaluni. Eti kesho unaonekana umeongozana naye mmekumbatiana kama wapenzi!???! Nyuso zenu Mollel mnaziweka wapi?
--------------------------------------------
On Wed, 5/8/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] LIPUMBA; UMECHELEWA JAPO SIO SANA
To: wanabidii@googlegroups.comy,
Date: Wednesday, 5 August, 2015, 23:35
Mhingo the discourager ever seen
Hv wee baba kwann kila jambo hukubaliana with your poor
logic....kenya imewezeakana why not tz.....mifano kibao ya
nchi za kiafrika lakin wewe hutaki tu huu muungan uwepo kwa
sababu zako,nshakuomba hamia ccm ukakae na wenzako myopiad
wanaodhania ushindi wao ni BAU...business as usual
Lesian
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>Unajua baada ya ushindi kutii makubaliano ni fadhila. Ni
vigumu kupata makubaliano ambayo ni binding katika mazingira
ya Tanzania. hakuna msingi wa kisheria vyama hivyo
kukubaliana hivyo mshindi akishaingia Ikulu anao uwezo wa
kufanya lolote hasa mwanachama mgeni kama Lowasa ambaye
anahitaji kujielewesha na kukubali mambo yaliyomo ndani ya
'makubaliano'
>--------------------------------------------
>On Wed, 8/5/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] LIPUMBA; UMECHELEWA JAPO SIO
SANA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, August 5, 2015, 3:41 PM
>
> Am just
> curious,
> Kama ilatokea (Kama) Edo akashinda, mgawanyo wa
> madaraka unakuwaje? Kwa mawaziri na mikoani.
> Au tayari MOU imeshaweka kumbukumbu? Na kama
> tayari, natamani kujua yanasemaje?
> Tusije tukasikia MgM hall ya Maq na Maywe...
> Ikahamia ikulu.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment