Dada Hilda,
Siasa za majukwaani siyo lelemama. Bila shaka wenye uzoefu wanajua fika wanachokifanya. Muhimu tuwe na subira. Tuheshimu wanachokifanya hasa kama tunawaamini kuwa siyo wasaliti wa wananchi. Tunachohitaji kwa sasa ni nguvu ya pamoja kuleta mabadiliko yatakayowarejeshea wananchi mamlaka waliyoporwa na CCM. Nilishatoa mfano wa CCM kupora mamlaka ya wananchi--kuzika pale Dodoma 2014 Rasimu ya Katiba ya wananchi. Hivyo haijalishi anayeongoza mabadiliko kayingia kwenye kundi la kusukuma mabadiliko juzi, jana, leo au ataingia kesho. Sisi wananhi tunachohitaji ni kazi iliyotukuka--kurejesha mamlaka kwa umma.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] LIPUMBA; UMECHELEWA JAPO SIO SANA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 7:20 AM
Watanzania utata mtupu. Mtu ukikosa kupata kura
za ubunge hata miaka 5 au mara tano za kugombea kila
uchaguzi-unahamia udiwani. Ukikosa huko-unahama chama. Huko
nako unakosa unahama-hueleweki. Sasa imeingia kwenye Urais.
Waliopo CUF, Chadema viongozi wa juu ni wasomi watupu kama
Prof Lipumba, Baregu, wanasheria akina Lissu na wengineo.
Kweli mnakubali mchezo mchafu huu wa watu kuhamia kwenu
nanyi muwaachie kugombania madaraka. Darasani Lipumba na
Baregu watafundisha nini katika Political Science ,
Democracy, lust for power and corruption. Ni bora committing
suicide uache chama urudi darasani, kanisani au ujifungie
nyumbani usipatikane kuliko hicho unacholazimishwa
kukikubali mradi tu muiue CCM hata kama ni kinyume na
maadili ya chama na mfundishayo darasani. Mtagawanaje
madaraka? yaani mgeni kahamia leo ndio awe kiongozi kuliko
hao waliokianzisha na kukilea chama. Kanda zao za kumtukana
zimesambaa kila kona-AIBU. Mke humtaki unampiga mbele za
watu,
unamtukana na kumvua nguo unamuacha
utupu kila mpita njia anamuona. Hujali kama ana watoto,
ndugu, jirani na jamaa na ni classmate wako, jirani au
mtanzania mwenzio-unamuadhiri nawe msomi wa kutambulika
duniani na mahekaluni. Eti kesho unaonekana umeongozana naye
mmekumbatiana kama wapenzi!???! Nyuso zenu Mollel mnaziweka
wapi?
--------------------------------------------
On Wed, 5/8/15, 'Lesian Mollel' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] LIPUMBA; UMECHELEWA JAPO SIO SANA
To: wanabidii@googlegroups.comy,
Date: Wednesday, 5 August, 2015, 23:35
Mhingo the discourager ever
seen
Hv wee baba kwann kila jambo
hukubaliana with your poor
logic....kenya
imewezeakana why not tz.....mifano kibao ya
nchi za kiafrika lakin wewe hutaki tu huu muungan uwepo
kwa
sababu zako,nshakuomba hamia ccm ukakae
na wenzako myopiad
wanaodhania ushindi wao
ni BAU...business as usual
Lesian
'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>Unajua baada ya ushindi kutii makubaliano ni fadhila.
Ni
vigumu kupata makubaliano ambayo ni
binding katika mazingira
ya Tanzania.
hakuna msingi wa kisheria vyama hivyo
kukubaliana hivyo mshindi akishaingia Ikulu anao uwezo wa
kufanya lolote hasa mwanachama mgeni kama
Lowasa ambaye
anahitaji kujielewesha na
kukubali mambo yaliyomo ndani ya
'makubaliano'
>--------------------------------------------
>On Wed, 8/5/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] LIPUMBA; UMECHELEWA JAPO
SIO
SANA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, August 5, 2015, 3:41
PM
>
> Am just
> curious,
> Kama
ilatokea (Kama) Edo akashinda, mgawanyo wa
> madaraka unakuwaje? Kwa mawaziri na mikoani.
> Au tayari MOU imeshaweka kumbukumbu? Na
kama
> tayari, natamani kujua
yanasemaje?
> Tusije tukasikia MgM hall
ya Maq na Maywe...
> Ikahamia ikulu.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma
Email kwenda
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
>
kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
>
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and
facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies
that you agree to this
> disclaimer and
pledge to abide by our Rules and
>
Guidelines.
>
> ---
>
> You received
this message because you are subscribed to
the
> Google Groups
"Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
> from
it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility for any legal
consequences of his or her
postings, and
hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership
signifies that you
agree to this disclaimer
and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed
to
the Google Groups "Wanabidii"
group.
>To unsubscribe from this group
and stop receiving emails
from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment