Thursday, 6 August 2015

Re: [wanabidii] LIPUMBA; UMECHELEWA JAPO SIO SANA

Mapema wiki hii niliuliza hivi kwenye forum fulani nje ya wanabidii na mabadiliko:Kuna yeyote mwenye MoU ya UKAWA aiweke hapa jamvini tuone ni mambo gani walikubaliana? Hakuna aliyerespond. Nikauliza tena:Sasa nyie WAKAWA mnabishana kwa base zipi? Wakatukana sana tu.Wanatema moto. Hawataki kusikia tofauti na mapenzi ya mioyo yao. 

Leo hii MKAWA mashuhuri, a pillar of change movement anajitokeza mbele ya Umma analalama eti UKAWA kuna mambo yamekiukwa. (UKAWA umebakwa). Je sisi tunayajua hayo makubaliano? Ni lini yaliletwa kwenye public hayo masuala ambayo leo yanalalamikiwa?

Just looking for sympathy from the wananchi while we are actually not involved in any of the decisions made! He didn't call the press to tell us what was the agreement..This is cheap opposition politics.

And una watu hapa wanashangilia sana na kila siku but when you ask them the what n the how of this they keep on shouting UKAWA UKAWA is the answer, how? UKAWA with no shared, communicated, open strategy??  with no feedback on progress??...tunaona wanashangilia watu kukimbia CCM. Watu kukimbia ni mapenzi yao sio strategy za ushindi km kweli UKAWA wako determined kuchukua nchi. Lakini pia bila mission na vision ambavyo havipo kwa sasa kwenye UKAWA it won't be that easy. You may expect the unexpected at the end! 

The movie is on... Hatujui tena kesho Lipi litajiri.

Tusubiri tuone.


Omukunirwa Ireneus 


 

2015-08-06 15:22 GMT+03:00 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Lipumba could have a wise thinking in this matter real
Lesian

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Historia ya Tanzania itaandikwa. Walioivuruga team ya UKAWA iliyoanzisha mabadiliko, na sasa wameiharibu kwa kuingiza mamruki ndio wamewakatili waTanzania. Wameibakiza CCM madarakani. Kitendo chao kutoonyeka mapema na kurekebisha mambo kitawagarimu heshima yao. Watanzania hawataweka mtu ili mradi kuiweka CCM pembeni hapana. nachelea kusema sasa huenda mabadiliko yakatoka CCM na sababu ni mchezo mchafu wa kumleta mtu waliyemshutumu kuwa ni fisadi kwa miaka minane na sasa kwa masaa manne wamesema sio fisadi. Ni kweli kuwa nyuso zao itabidi wazifiche. Hii sio eiher or. ushindi wameugawa. Septeember utakuwa ushindi umeeleweka kwa wale ambao bado hawajaona
>--------------------------------------------
>On Thu, 8/6/15, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] LIPUMBA; UMECHELEWA JAPO SIO SANA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, August 6, 2015, 9:20 AM
>
>
> Watanzania utata mtupu. Mtu ukikosa kupata kura
> za ubunge hata miaka 5 au mara tano za kugombea kila
> uchaguzi-unahamia udiwani. Ukikosa huko-unahama chama. Huko
> nako unakosa unahama-hueleweki. Sasa imeingia kwenye Urais.
> Waliopo CUF, Chadema viongozi wa juu ni wasomi watupu kama
> Prof Lipumba, Baregu,  wanasheria akina Lissu na wengineo.
> Kweli mnakubali mchezo mchafu huu wa watu kuhamia kwenu
> nanyi muwaachie kugombania madaraka. Darasani Lipumba na
> Baregu watafundisha nini katika Political Science ,
> Democracy, lust for power and corruption. Ni bora committing
> suicide uache chama urudi darasani, kanisani au ujifungie
> nyumbani usipatikane kuliko hicho unacholazimishwa
> kukikubali mradi tu muiue CCM hata kama ni kinyume na
> maadili ya chama na mfundishayo darasani. Mtagawanaje
> madaraka? yaani mgeni kahamia leo ndio awe kiongozi kuliko
> hao waliokianzisha na kukilea chama. Kanda zao za kumtukana
> zimesambaa kila kona-AIBU. Mke humtaki unampiga mbele za
> watu,
>  unamtukana na kumvua nguo unamuacha
> utupu kila mpita njia anamuona. Hujali kama ana watoto,
> ndugu, jirani na jamaa na ni classmate wako, jirani au
> mtanzania mwenzio-unamuadhiri nawe msomi wa kutambulika
> duniani na mahekaluni. Eti kesho unaonekana umeongozana naye
> mmekumbatiana kama wapenzi!???! Nyuso zenu Mollel mnaziweka
> wapi?
> --------------------------------------------
> On Wed, 5/8/15, 'Lesian Mollel' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>  Subject: Re:
> [wanabidii] LIPUMBA; UMECHELEWA JAPO SIO SANA
>  To: wanabidii@googlegroups.comy,
>
>  Date: Wednesday, 5 August, 2015, 23:35
>
>  Mhingo the discourager ever
> seen
>  Hv wee baba kwann kila jambo
> hukubaliana with your poor
>  logic....kenya
> imewezeakana why not tz.....mifano kibao ya
>
> nchi za kiafrika lakin wewe hutaki tu huu muungan uwepo
> kwa
>  sababu zako,nshakuomba hamia ccm ukakae
> na wenzako myopiad
>  wanaodhania ushindi wao
> ni BAU...business as usual
>  Lesian
>
>  'ELISA MUHINGO' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>  wrote:
>
>
> >Unajua baada ya ushindi kutii makubaliano ni fadhila.
> Ni
>  vigumu kupata makubaliano ambayo ni
> binding katika mazingira
>  ya Tanzania.
> hakuna msingi wa kisheria vyama hivyo
>
> kukubaliana hivyo mshindi akishaingia Ikulu anao uwezo wa
>  kufanya lolote hasa mwanachama mgeni kama
> Lowasa ambaye
>  anahitaji kujielewesha na
> kukubali mambo yaliyomo ndani ya
>
> 'makubaliano'
>
> >--------------------------------------------
>  >On Wed, 8/5/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
>  wrote:
>  >
>
> > Subject: Re: [wanabidii] LIPUMBA; UMECHELEWA JAPO
> SIO
>  SANA
>  > To: wanabidii@googlegroups.com
>  > Date: Wednesday, August 5, 2015, 3:41
> PM
>  >
>  > Am just
>  > curious,
>  > Kama
> ilatokea (Kama) Edo akashinda, mgawanyo wa
>
> > madaraka unakuwaje? Kwa mawaziri na mikoani.
>  > Au tayari MOU imeshaweka kumbukumbu? Na
> kama
>  > tayari, natamani kujua
> yanasemaje?
>  > Tusije tukasikia MgM hall
> ya Maq na Maywe...
>  > Ikahamia ikulu.
>  >
>  >
>
> >
>  > --
>  >
>  > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  >
>  >  
>  >
>  > Kujiondoa Tuma
> Email kwenda
>  >
>  >
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>  Utapata Email ya
>  >
> kudhibitisha ukishatuma
>  >
>  >  
>  >
>  > Disclaimer:
>  >
>  > Everyone posting to this Forum bears the
> sole
>  responsibility
>  >
> for any legal consequences of his or her postings, and
>  hence
>  > statements and
> facts must be presented responsibly.
>
> Your
>  > continued membership signifies
> that you agree to this
>  > disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and
>  >
> Guidelines.
>  >
>  > ---
>
>  >
>  > You received
> this message because you are subscribed to
>
> the
>  > Google Groups
> "Wanabidii" group.
>  >
>  > To unsubscribe from this group and stop
> receiving
>  emails
>  > from
> it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>  >
>  > For more options,
> visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>  >
>
>  >
>  >--
>  >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  >
>  >Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
>  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  >
>  >Disclaimer:
>  >Everyone posting to this Forum bears the
> sole
>  responsibility for any legal
> consequences of his or her
>  postings, and
> hence statements and facts must be presented
>  responsibly. Your continued membership
> signifies that you
>  agree to this disclaimer
> and pledge to abide by our Rules
>  and
> Guidelines.
>  >---
>
> >You received this message because you are subscribed
> to
>  the Google Groups "Wanabidii"
> group.
>  >To unsubscribe from this group
> and stop receiving emails
>  from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>  >For more options, visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>  --
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>  Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>  for any legal consequences
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
>  continued membership signifies that you agree
> to this
>  disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and Guidelines.
>  ---
>  You received this message because you are
> subscribed to the
>  Google Groups
> "Wanabidii" group.
>  To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>  For more options, visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment