Monday, 3 August 2015

Re: [wanabidii] Kama wewe ni Fisadi na una uchu wa Madaraka ondoka, kwani CCM si mahala pake

Mtalika, naona hukusikiliza wala kuisoma hotuba ya Mbowe, kwa kifupi alisema hivi, ambapo wengi tu wanaungana naye "!Ukimchukua malaika kutoka mbinguni, ambaye unaamini kabisa huyu ni malaika asiye na doa la dhambi, kamweke ndani ya CCM, baada ya mwezi kamutizame utashaangaa atakuwa amejaa madhambi"

Wewe unapoona wametafuta mbinu za kumtoa Lowasa, siyo kwamba wanamipango ya kuwatoa mafisadi kutoka CCM, They are there to stay, wazo la kwamba wameanza kuwatoa mafisadi ni ndoto yako na ugonjwa wa kuamini kuwa uongozi bora hauwezi kutoka nje ya CCM.

On Sunday, 2 August 2015, 21:21, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Niliposoma tu meseji yako nimejua tu kuwa ni Mpombe.

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>,Wanazuoni Tanzania <wanazuoni@yahoogroups.com>,Mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Kama wewe ni Fisadi na una uchu wa Madaraka ondoka, kwani CCM si mahala pake

Rai kwa wanachama wa CCM,bado kuna watu hawaamini kama CCM inafanya mapinduzi katika kuwatimua au kuwakata mafisadi wote ambao hawataki kuacha tabia ovu ,ya dhuluma na uchu wa madaraka.

Tukisema no ni big "NO"....ni heri CCM ibaki na wanachama Mil.5.5....kuliko nyie lak5 mnahongwa na kupoteza mweelekeo.

Uzuri CHADEMA ni makazi mapya ya MAFISADI tena huko mtamkuta YUDA wa vipande 30 anawasajili SIKU hiyo hiyo na utapitishwa kugombea Udiwani,Ubunge kasoro URAIS kauza kwa bei chafu...hapo usiguse tutakutimua kama Dr.SLAA

CCM itashinda kwa kishindo kuliko hata mwaka "2010"===well said by Hor.Dr.JP Magufuri,Our next Excellent President of United Republic of Tanzania.

I wish Dr.Slaa angewahi kurudi CCM ili agombee ubunge KARATU ,may be tungemfikiria u-PM coz kaonyesha kuchukia RUSHWA kwa vitendo kama Mwl.Nyerere.(..anyway siyo case just enjoy your good life with no stress)
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment