By Dr.W.Slaa :
Yeriko Nyerere,
Siasa ya unafiki siipendi. Nimenyamaza lakini naona mnazidi kunichokoza. Ni afadhali mngelikaa kimya kama nilivyonyamaza mimi. Uwongo wowote na upotoshwaji wowote sitauvumilia.
Nitaukanusha hapo hapo. Hata kama una lengo lako ambalo silifahamu naomba sana usitumie jina langu. Nimefundishwa uwongo ni dhambi siko tayari kushiriki dhambi hiyo.
Sina kikao chochote cha Secretariat, sina mpango wowote ninaopanga kuwasilisha popote. Naomba watanzania wapuuze propaganda zote zinazofanyika kwa jina langu.
Ningehitaji kutuma taarifa yeyote kwa umma ningeliita Press Conference Mwenyewe au ningelitumia utaratibu wowote uliouliozoeleka.
Naomba kutoa onyo kwa mtu yeyote awaye, matumizi ya jina la Dr Slaa yakome.
On Saturday, March 3, 2012 at 12:16:27 PM UTC+3, Azaveli Lwaitama wrote:
Jina la Yona aliyeanzisha hoja hii ya eti Dr Slaa anaweza kukikacha Chadema na kurudi CCM kama alivyokikacha CCM na kujiunga na Chadema si muhimu. Muhimu ni hoja yenyewe. Kwa hakika hoja yenyewe ni hafifu kwa kikgezo cha ujenzi wa mantinki ya hoja. Kwanza Dr. Slaa hakukikacha CCM eti vile akuteuliwa kugombea la hasha. Wananchi wa Karatru walimuomba ajiunge Chadema ili wamchangue vile hakukuwepo uwezekano wa kugombea kama mgombea binafsi na wananchi walitaka agombee wakamuomba ajiunge Chadema hili wamchangue. Wananchi walimuomba agombe kwa tiketi ya CCM na CCM ikawaudhi wananchi kwa kupuuza maamuzi yao na matashi yao na wao, WANANCHI, wakaamua kukipuuza CCM vile nacho kiliamua kuwapuuza.
Leo hii wananchi wa Karatu walirithidia Dr. Slaa aache kugombea ubunge wa Karatu kwa tiketi ya Chadema na aitikie ombi la uongozi wa juu wa Chadema wa kugombea kiti cha Urais wa nchi ya Tanzania nzima. WANANCHI wa Tanzania walimchangua Dr. Slaa kuwa Rais wa nchi nzima ya Tanzania mwezi Oktoba 2010 na ni bahati mbaya kwa wananchi wa Tanzania kuwa Tume ya Uchanguzi ilitagangaza aliyeshindwa katika uchanguzi huo kuwa ndiye aliyeshida. Dr. Slaa kama mtu hasiye tanguliza kuwa na cheo hiki au kile akawasihi wananchi wanune lakini watii matakwa ya katiba ya sasa ya nchi inayosema kuwa mtu akitangazwa Rais na Tume hakuna chombo chochote kinaweza kuhoji. Wananchi hadi leo wametulia licha ya kununa. Amani na mshikamano wa nchi unaendelea kutokana na unyenyekevu na moyo wa kutojikweza wa Dr. Slaa.
Dr. Slaa akukikacha CCM na kujiunga Chadema eti vile CCM akikumteu kugombea ubunge Karatu mwaka 1995, si kweli. Ailombwa na WANANCHI wa KARATU ajiunge na Chadema wamchangue ubunge awatumikie. Leo hii kama wananchi wa Tanzania watapaza sauti mwaka 2015 au hata kesho kutwa ikitokea uchanguzi mkuu kumuomba DR. Slaa agombee Urais wa nchi na chama cha Chadema kikapuuza ombi ilo la wananchi basi wananchi watampa maelekezo Dr. Slaa ajiunge na chama chochote watakachoona kinafaa ili wamchangue awatumikie. La uhakika ni kuwa chama wanachoweza kumwelekeza Dr. Slaa ajiunge nacho hakiwezi kwa sasa na siku za hivi karibuni kikawa CCM. Wananchi wamekichoka CCM na ni ndoto za alinacha kudhani wananchi wanaweza kumwelekeza Dr. Slaa ajiunge na CCM.
Huyu mtoa hoja ya eti Dr. Slaa anaweza akakikacha Chadema kama alivyokikacha CCM eti kwa kunyimwa kuwa mgombea anabinya ukweli wa kihistoria kwa makusudi. Huu bila shaka ni mkakati wa watetezi wa CCM ya mafisadi wapendao kukinadi kwa njia za kikachero. Lengo lao daima ni kuchamfua Dr. Slaa kila wakipata kakikisingizio kokote kama vile kuibua hoja muflisi za eti Dr. Slaa kaiba mke wa mtu au eti digriii yake ya udaktari eti feki,n.k.Wanashindwa kubomoa imani watu kama mimi waliyonayo kwa Dr. Slaa kuwa ni mtu hasiyetumwa na masilahi binafsi katika kukubali ombi la wananchi la kugombea cheo chochote kwa tiketi ya chama chochote. Wananchi walio wengi Tanzania ya leo, ikiwa ni pamoja na wana-CCM wafu kama mimi, kamwe hawawezi kumuomba Dr. Slaa eti akikache Chadema ajiunge na CCM ya mafisadai hii hisiyo na dira wala mwelekeo! Ilo haliwezi kutokea ng'o! CCM lazima ife na izikwe ndo itafufuka tena na ilo litatokea kutokana na juhudi mwanana za Chadema chini ya uongozi wake madhubuti wa Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu wake Dr.Slaa.
Yona naomba hasifungiwe bali tumwimize aendelee kuzileta hoja zake hizi za kinija zisizo na mantiki ili tuzisambaratishe kwa hoja zenye mashiko. Dr Slaa aliombwa kujiondoa CCM na kujiunga na Chadema na wananchi wa Karatu. Leo hii wananchi wa Tanzania hawawezi kumuomba Dr. Slaa ajiondoe Chadema. Hiki ndicho chama mkombozi wa Watanzania kwa zama hizi za mfumo wa kiuchumi na kisiasa wa ubepari uchwara. Wananchi si wajinga eti wamuombe Dr. Slaa kujiunga tena na CCM hii ya mafisadi na uongozi wa juu husio na dira wala mwelekeo wa kuimiza kushamiri kwa mawazo ya Vugu vugu la Umajumui wa Kiafrika dhidi ya ukoloni mambo leo. Kuangaika kote huku kulikolenga katika kumchafua Dr. Slaa ni dalili kuwa Chadema kinazidi kupaa kisiasa na wizi wa kura za Urais mwaka 2015 litakuwa jambo lisilo wezekana kabisa.
Mwl. Lwaitama
> From: addyv...@yahoo.com
> Subject: Re: [wanabidii] Dr W P Slaa kuikacha CHADEMA Kama CCM ?
> To: wana...@googlegroups.com
>
>
>
> kama ameshindikana kiasi hicho kwa nini asinyamaziwe tu, tufanye utafiti kuona kama atajitoa humu
>
>
> ------------------------------
> On Thu, Mar 1, 2012 8:37 PM GMT-12:00 Elias Msuya wrote:
>
> >Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi anayoianzisha Yona na jinsi watu wanavyom judge. Kwa kweli hata mimi naanza kupata wasiwasi kuhusu uelewa wake katika masuala ya siasa. Ni bora kama mtu huelewi mambo uulize kwanza.
> >
> >
> >
> >________________________________
> > From: robert kisanga <kisan...@gmail.com>
> >To: wana...@googlegroups.com
> >Sent: Friday, March 2, 2012 11:20 AM
> >Subject: Re: [wanabidii] Dr W P Slaa kuikacha CHADEMA Kama CCM ?
> >
> >
> >shocked again.. Yona doing what he is capable of!
> >
> >
> >
> >
> >On Fri, Mar 2, 2012 at 10:41 AM, Mashaka Mgeta <mget...@yahoo.com> wrote:
> >
> >Yona. Hongera.
> >>
> >>Siono kosa lako mahali popote katika kujipambanua kwako na kuhoji ikiwa Dr Slaa anaweza kurudi kundini, ndani ya chama tawala-CCM.
> >>
> >>Huo ni upeo wa fikra uliokufikisha kuhoji, ingawa wapo wanaokukejeli na wapo waliokujibu ipasavyo.
> >>
> >>Wewe ni YONA na utabaki kuwa YONA hata kama hisia, kiu, dhamira, utashi, malengo, nia na matamanio yako vitakuwa kinyume cha wengine.
> >>
> >>Kwa maali pasipo busara zako, usingeuliza swali hilo, pasipo hekima zako usingeiona CCM kama kimbilio-hisia kwa Dr Slaa na si chama kingine na kama si ujasiri wako usingeona fahari kuibua hoja zinazowakwaza walio wengi.
> >>
> >>Kaza buti kaka.
> >>
> >>--- On Thu, 3/1/12, steven aloys <steven...@yahoo.com> wrote:
> >>
> >>
> >>From: steven aloys
> > <steven...@yahoo.com>
> >>
> >>Subject: Re: [wanabidii] Dr W P Slaa kuikacha CHADEMA Kama CCM ?
> >>To: wana...@googlegroups.com
> >>Date: Thursday, March 1, 2012, 11:16 PM
> >>
> >>
> >>
> >>
> >>Duniani kuna heshima mbili kubwa ya kwanza ni kuwa na Hekima na ya pili ni kwa na uwezo wa kuwa mkeli mengiyo ni nyongeza tu, ndugu wanajukwaa kwa watu waelewa wanojua political wisdom analysis and political reality analysis uwezi ukafanya cheap politics analysis kuwa Dk Slaa atakiama chama na kuelekea chama chochote sitegemea kwa mtu ambaye ana political freewill thinking anaweza kutamka maneno kama haya eti kuwa DK slaa aliama CCM kipindi hicho alipochakachuliwa.
> >>
> >>Tatizo kubwa la wanaoona kuwa Dk Slaa atakiama chama wakumbuke si shwala lao kuyaona na kuyasemea kwani kama itakuwa hivyo ni kwa faida yao,maana yake ni kuwa shwala la Dk Slaa kukiama chama chake cha CHADEMA ni shwala la wao wanachadema wenyewe kuliona hilo na kulisemea si wana CCM au chama kingine au mtu mwingine.
> >>
> >>Ni wakumbushe wanajukwaa Dk Slaa si mtu kiongozi wa mfumo wa Propaganda wala wa maslahi ni lazima tukubali ukweli bila woga Dk slaa yuko makini,ana hekima,ana uwezo wa kufikilia vyema na sahihi,kwa ukweli wangu najua DK slaa alishinda uchaguzi wa 2010 kila mmoja wetu ana ukweli rohoni mwake ndo maana mzimu wa kumchakachua na kivuli cha kura za watu zilizo chakachuliwa zinaipeleka nchi kubaya na waliofanya hivyo wanazidi kuweweseka kutafuta means yoyote ya kummaliza kisiasa.
> >>
> >>
> >>
> >>
> >>
> >>--- On Thu, 3/1/12, mwemezi makumba <mwe...@yahoo.com> wrote:
> >>
> >>
> >>>From: mwemezi makumba <mwe...@yahoo.com>
> >>>Subject: Re: [wanabidii] Dr W P Slaa kuikacha CHADEMA Kama CCM ?
> >>>To: wana...@googlegroups.com
> >>>Date: Thursday, March 1, 2012, 8:37 PM
> >>>
> >>>
> >>>Yona Kwanini anajifanyia namna hii? yaani kwa makusudi anaruhusu watu wajue uwezo wake na weakness zake, ukisoma majibu ya Nico utagundua ndugu yaona alipost hoja yake bila kufanya uchunguzi (reseach) hakuwa hata na taarifa kamili juu ya Dk, au alikuwanazo akaamua kuzipotosha. Nataka kuamini kuwa kunawatu wanao muunga mkono yona kwa kile anachokifanya hapa jukwaani, na najaribu kushawishika kuwa wengi wao ni kutoka serikalini na chama tawala, swali; kama serikali inaongozwa na jamii ya watu wa akili ya yona na mtazamo wa jinsi yake...kwa nia njema kabisa tujadili, Taifa hili linakwenda kokote? ama kila mtu awe kimaslahi zaidi kama yeye!
> >>>
> >>>well hiyo sio hofu yangu kubwa, ninachoogopa zaidi ni kuwa kwa mwelekeo huu jukwaa hili litapoteza maana na watu watalitazama kama sehemu ya soga na umbea halafu litakufa...au ndilo lengo la yona? kulimaliza nguvu jukwaa kwakuwa halikidhi malengo yake ya kuwa sehemu ya propaganda ya watawala?
> > amezidiwa hoja sasa anataka kuharibu jukwaa. Bidii bado inaheshimika, tafadhari naomba pia wanachama tuheshimiane kwa kuleta hoja zenye ukweli, maana, na nia njema kwa taifa. Thanx.
> >>>
> >>>
> >>>________________________________
> >>> From: makene tumaini <make...@yahoo.com>
> >>>To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
> >>>Sent: Thursday, March 1, 2012 11:58 PM
> >>>Subject: Re: [wanabidii] Dr W P Slaa kuikacha CHADEMA Kama CCM ?
> >>>
> >>>
> >>>Yona bila shaka kila mwenye akili zake timamu hapa, anayewekeza katika kufikiri, atajua malengo yako. Lakini cha muhimu kabisa atapaswa kutumia uhuru wake kuhoji uwezo wako wa kufikiria. Nico asante kwa kuwa mmoja wa watu wavumilivu wanaoendelea kumpatia elimu Ndugu Yona. Suala la Dokta Slaa umeliweka vyema kabisa.
> >>>
> >>>
> >>>Mike, si kwamba tu halali bila kumuota Dkt. Slaa, pia wakati mwingine nafikiri anashindwa hata kula anapokumbuka kuwa CHADEMA kinazidi kuwa chama imara, kikionesha kuwa ni serikali mbadala (Government in waiting). Bila shaka pia anaumia kweli anapoona kuwa mafanikio hayo ya CHADEMA yanapatikana chini ya uongozi imara wa Mwenyekiti Freeman Mbowe pamoja na makamanda wengine vijana, ambao wengine ni kazi ya Mbowe ya namna ya kujenga taasisi inayoweza kukuza, kulea na kukomaza vijana kuwa viongozi wa nchi hii.
> >>>
> >>>
> >>>Wakumbuka hivi karibuni alimzushia uongo mkubwa hapa jamvini Mwenyekiti Mbowe, ati hashiriki kazi za kijamii!!!!! Hivi huo si zaidi ya uzandiki jamani!
> >>>
> >>>
> >>>
> >>>Basi kama anataka kui-challenge CHADEMA na viongozi wake, kuanzia ngazi ya msingi hadi taifa, aweke vitu ambavyo ni arguable aonekane ni mtu mwenye hoja, vinginevyo anaweza kufikirika vibaya na watu wnaotafakari hoja zake hapa kwa kina.
> >>>
> >>>
> >>>
> >>>
> >>>________________________________
> >>> From: Mike Zunzu <mike...@yahoo.co.uk>
> >>>To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
> >>>Sent: Thursday, March 1, 2012 10:57 PM
> >>>Subject: Re: [wanabidii] Dr W P Slaa kuikacha CHADEMA Kama CCM ?
> >>>
> >>>
> >>>Kitu kingine si dhani kama kuna siku Yona analala bila kumuota Slaa, ingelikuwa kwa uwezo wake angelipenda Slaa asingelikuwa Mtanzania.
> >>>
> >>>
> >>>
> >>>From: Nico Eatlawe <eat...@yahoo.com>
> >>>To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
> >>>Sent: Thursday, 1 March 2012, 19:16
> >>>Subject: Re: [wanabidii] Dr W P Slaa kuikacha CHADEMA Kama CCM ?
> >>>
> >>>
> >>>Yona,
> >>>
> >>>Naomba nikupe taarifa sahihi ya kwanini Dr Slaa alitoka CCM na kwenda CHADEMA. Dr Alishinda kwa kura ya maoni ndani ya CCM na aliyekuwa mbunge wa siku nyingi Patrick alikuwa wa pili. Majina hayo yalipopelekwa Dodoma wana CCM waliamua kumpa Patick Qoro kugombea Karatu kwa vile alikuwa mwenzao na anafahamika tofauti ya Dr. Slaa. Wananchi kuona hivyo walimwomba agombea kwa kupitia CHADEMA maana kama ni kura watampa. Ndio Slaa akakubali na kutoka CCM hata kuingia CHADEMA. Wananchi wakafanya kweli kama walivyoahidi. Kwa hiyo Dr Slaa siyo mtu wa kuhamahama wala mwenye makuu maana hata mwaka juzi aliombwa kugombea urais na siyo alipiga kampeni kama wengine wa CCM walivyoanza tangu uchaguzi upite. Slaa siyo mnafiki kama wengine. Kama hapendi kitu anasema bila woga kama historia yake inavyoonesha.
> >>>
> >>>
> >>>From: Yona F Maro <oldm...@gmail.com>
> >>>To: Wanabidii <wana...@googlegroups.com>
> >>>Sent: Thursday, 1 March 2012, 17:20
> >>>Subject: [wanabidii] Dr W P Slaa kuikacha CHADEMA Kama CCM ?
> >>>
> >>>Ndugu zangu
> >>>
> >>>Kama sikosei Dr W P Slaa aliondoka CCM na kuhamia CCM Kwenye miaka ya
> >>>1995 – 2000 na kugombea Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA .
> >>>
> >>>Taarifa nilizonazo zinasema ni kwa sababu alishindwa kwenye
> > kura za
> >>>maoni na mwanaccm mwenzake ndio maana akaamua kuachia ngazi na
> >>>kujiunga na chadema .
> >>>
> >>>Hata hivyo alifanikiwa kuwa Mbunge na hatimaye mgombea uraisi kwa
> >>>Tiketi ya CHADEMA .
> >>>Naomba kuuliza kwanini aliikacha CCM baada ya kuangushwa kwenye
> >>>Chaguzi ?
> >>>
> >>>Sasa tutaendelea kumwamini vipi siku zijazo kama akikosa madaraka ?
> >>>kweli hawezi kuiacha solemba CHADEMA ?
> >>>
> >>>--
> >>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >>>
> >>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>>
> >>>Disclaimer:
> >>>Everyone posting
> > to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>>
> >>>
> >>>--
> >>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >>>
> >>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>>
> >>>Disclaimer:
> >>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>>
> >>>
> >>>--
> >>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >>>Pata
> > nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >>>
> >>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>>
> >>>Disclaimer:
> >>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>>
> >>>
> >>>--
> >>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >>>
> >>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>>
> >>>Disclaimer:
> >>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>>
> >>>
> >>>--
> >>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >>>
> >>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>>
> >>>Disclaimer:
> >>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>>
> >--
> >>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >>
> >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>
> >>Disclaimer:
> >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>
> >> --
> >>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >>
> >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>
> >>Disclaimer:
> >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>
> >
> >
> >--
> >..Blaming fate instead of oneself is always the way cowards sleep better at night!
> >
> >--
> >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >--
> >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment