Tuesday, 4 August 2015

Re: RE: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.

wanadamu tuungane wote tupinge ili chafuko, Also nadhani ni vyema hao wanaodai haki zao wakadai huko mtoni, dawa ni kuwaua tu na ndo watu watajifunza, maana Wazungu now days wanalazimisha hadi utahira uwe ni jambo la kawaida,  WAAFRIKA HATUNA HILO, 

Walianza kwa kutushawishi kuacha ndoa za wake wengi wakidai Biblia na ukristo unakataza tukakubali, wakaleta policy za kupanga uzazi, i mean watoto wachache tukakubali, So now wanaanza kutupa Majaribu mengine, Hatukubali, 

2015-08-03 21:57 GMT+03:00 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mrema, 
Mathayo 7:15-23 Si kila mtu aniambiaye Bwana Bwana atakayeingia ktk ufalme wa Mungu... watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu... mtawatambua kwa matunda (matendo) yao. Www.aggressivechristianity.net 

Sent from Yahoo Mail on Android

From:"Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com>
Date:Mon, Aug 3, 2015 at 21:26

Subject:RE: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.

Elisa,

Kuna wengine ambao sio wakristu, ni waislamu, wapagani, wahindu, na wana imani nyingine zaidi ya ukristo.  Sasa hiyo Yoh. Sura ya tatu itawafaa nini?  Mimi ninashindwa kuwaelewa mnapofikiri kuwa watoto wa mungu ni wakristo tu.  Sio sawa hata kidogo, watu wote ambao ni wakristu na wasio wakristu ni watu wa mungu.

Ninarudia tena hakuna mtu ambaye ana haki ya kumjudge mtu yeyote kwa matendo yake.  Mwenye haki ni Muumba wake ambae ni Mungu peke yake.  Ikiwa mtu atafanya matendo kinyume cha matakwa ya mwenyezi mungu wa kumwazibu ni Mungu peke yake na sio mwanadamu.

Hivyo watu wenye mapenzi ya jinsia moja wanafanya wanayofanya kwa sababu zao binafsi kwa hiari yao na kwa faida yao na wao wanaamini wanchofanya ni sahihi.  Sisi hatuna haki kuwanyooshea kidole, kuwatungia sheria, kuwatenga kwani ni binadamu kama sisi na wana haki zote sawa na sisi.

Ikiwa hatupendelei mambo wanayofanya basi kazi yetu ni kuwasaidia, kuwashauri, kuwashawishi waache na sio kuwalazimisha kuacha matendo yao.  Tukiwaonea huruma sana basi tufunge tusali tumwombe mwenyezi mungu awaonyeshe mwanga waone kuwa wanayofanya sio mazuri na awasaidie ili waache.

Hayo ndio mambo sisi ambao hatupendi kuona watu wanakuwa na mapenzi ya jinsia moja tunayoweza kufanya na si vinginevyo.  Hawa watu wanaweza kuwa wagonjwa, je tuwanyanyapae, tuwatenge, tuwadharau, tuwapuuze kisa ni wagonjwa?

Kwa hiyo mimi binafsi ninapenda kuungana na Raisi Obama kuwa watu wenye kuwa na mapenzi ya jinsia moja ni watu kama sisi na wanastahili haki zote za msingi za binadamu.

Tafakari

Ahsanteni

> Date: Sun, 2 Aug 2015 12:09:56 -0700
> From: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: RE: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Mrema soma 1Yoh: sura ya tatu yote. majibu yako pale
> --------------------------------------------
> On Sun, 8/2/15, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:
>
> Subject: RE: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Sunday, August 2, 2015, 7:43 PM
>
> #yiv4860231765
> #yiv4860231765 --
> .yiv4860231765hmmessage P
> {
> margin:0px;padding:0px;}
> #yiv4860231765 body.yiv4860231765hmmessage
> {
> font-size:12pt;font-family:Calibri;}
> #yiv4860231765 Misango
>
>
> Kila mtu ni mtoto wa Mungu
> na kila jambo ambalo mtu analifanya kwa njia nyingine ile
> kuna mkono wa Mungu.  Kwani kama Mungu akikataa jambo
> fulani lisifanyike halitafanyika.  Unataka kuniambia kuwa
> wachawi, wezi, waongo, wanafiki, wauaji, malaya au wote
> watendao matendo maovu sio watu wa Mungu?
>
> Mimi ninaamini kuwa wote
> wanaofanya matendo tunayoyaita "movu" kwa uelewa
> wetu ni watu wa mungu na kama wanatukwaza ni kazi yetu
> kuwasaidia kujirekebisha kuendana na mawazo yetu na sio
> kuwalaani, kuwaua, kuwatungia sheria ambazo hazitafanya kazi
> na kumsaidia mtu. Mimi kwa uzoefu wangu ninaamini watu wenye
> mapenzi ya jinsia moja wako hivyo kwa sababu fulani.
> Tutafute hizo sababu tuzitafutie dawa na tunaamini tunaweza
> kupunguza kwa kiasi fulani kuenea kwa mapenzi ya Jinsia
> moja
>
> Tafakari
>
> Herment A. Mrema
>
> Subject: Re: RE: [wanabidii]
> BBC Swahili started a Q&A.
> To:
> wanabidii@googlegroups.com
> From:
> wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 2 Aug
> 2015 09:53:57 +0000
>
> Duu
> huyu Mrema anatumia nini kufikiri? Mtu mwenye hofu ya Mungu
> hawezi kamwe kuandika kama huyu nduguSent from my
> BlackBerry® smartphone from Vodacom
> TanzaniaFrom: "'frank
> patrick materu' via Wanabidii"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 2 Aug 2015 02:45:13
> -0700To:
> wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:
> wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: RE: [wanabidii] BBC Swahili
> started a Q&A.
>
> Ni
> wapi Mungu alibariki mapenzi ya jinsi moja na kuwaambia
> zaeni muongezeke mkainaze nchi? 
> Sent
> from Yahoo Mail on Android
> From:"Herment
> Mrema" <hmrema11@hotmail.com>
> Date:Sun, Aug 2, 2015 at 10:55
> Subject:RE: [wanabidii] BBC Swahili
> started a Q&A.
>
>
> Saa nyingine binadamu tunakuwa na ubinafsi
> ambao hautendi haki.  Kutambua au kutotambua mapenzi ya
> jinsia moja haitazuia mapenzi haya kuwepo au kutokuwepo
> kwani mapenzi ya jinsia moja yamekuwepo enzi na enzi na
> hakuna wa kuyazuia.
>
> Tunaweza kuweka sheria hata za kuamua kuuwa
> wapenzi wa jinsia moja lakini sheria
> hizi haziwezi kuzuia haya mapenzi kuwepo.
>
> Kwa maoni yangu ni kukubali
> kuwa mapenzi ya jinsia moja yapo, vyanzo vyake, madhara
> yake, na faida zake ili tuwe na mikakati ya kuelimisha jamii
> kubadili hulka zao na kutengeneza mazingira ya kupunguza
> kuongezeka kwa mapenzi ya jinsia moja.
>
> Kuwanyima haki zao za msingi eti kuwa wana
> mapenzi ya jinsia moja ni kinyume cha haki za binadamu, ni
> unafiki mkubwa, ni uonevu, ni dhambi kwa mwenyezi mungu na
> haina tija kwa mustakabali wa maisha yetu.
>
> Lazima tujifunze kukubali
> ukweli badala ya kuendelea na unafiki ambao haujengi.
>
> Tafakari
>
> Herment A. Mrema
>
> Date: Sun, 2 Aug 2015
> 07:31:27 +0000
> From:
> wanabidii@googlegroups.com
> To:
> wanabidii@googlegroups.com
> Subject:
> [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.
>
>
>
> July
> 25 at
> 5:57pm ·
>
> Katika
> mkutano na wanahabari katika ikulu ya Nairobi rais Kenyatta
> amekana kwa kinywa
> kipana kuwa serikali yake haitakubaliana katu na shinikizo
> la rais Obama kwa
> Kenya kuwatambua wapenzi wa jinsia moja.Tupe maoni yako.
>
> em upo?
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Alfayo A. Mkenda

All the best

0 comments:

Post a Comment