Monday, 3 August 2015

Re: RE: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.

Nadhani mwezetu mrema anafikiri hayo mapenzi yanayotajwa ni urafiki wa kawaida wanaofanya watu.nibudi akaelimishwa vizuri kuwa mapenzi ya jinsia moja ni kile kitendo cha mtu kumuingilia mwenzake nyuma.jambo ambalo mungu hakuliumba hivyo.Mungu alimuumba mwanamke na mwanaume ili mwanaume amuingilie mwanamke katika sehemu rasmi.nje ya hapo hakuna haki yoyote.haki ni pale mwanamume anapomwingilia mwanamke,tena wakiridhiana kwa lengo la kuzaa/kustarehe na si vinginevyo.Tuwaombee hao waliogeuza alichokifanya Mungu ili watambue ushenzi wao na wabadili tabia hizo.i

Sent from Samsung Mobile

misangocharles via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Duu huyu Mrema anatumia nini kufikiri? Mtu mwenye hofu ya Mungu hawezi kamwe kuandika kama huyu ndugu
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: "'frank patrick materu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 2 Aug 2015 02:45:13 -0700
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: RE: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.

Ni wapi Mungu alibariki mapenzi ya jinsi moja na kuwaambia zaeni muongezeke mkainaze nchi? 

Sent from Yahoo Mail on Android

From:"Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com>
Date:Sun, Aug 2, 2015 at 10:55
Subject:RE: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.

Saa nyingine binadamu tunakuwa na ubinafsi ambao hautendi haki.  Kutambua au kutotambua mapenzi ya jinsia moja haitazuia mapenzi haya kuwepo au kutokuwepo kwani mapenzi ya jinsia moja yamekuwepo enzi na enzi na hakuna wa kuyazuia.

Tunaweza kuweka sheria hata za kuamua kuuwa wapenzi wa jinsia moja lakini sheria hizi haziwezi kuzuia haya mapenzi kuwepo.

Kwa maoni yangu ni kukubali kuwa mapenzi ya jinsia moja yapo, vyanzo vyake, madhara yake, na faida zake ili tuwe na mikakati ya kuelimisha jamii kubadili hulka zao na kutengeneza mazingira ya kupunguza kuongezeka kwa mapenzi ya jinsia moja.

Kuwanyima haki zao za msingi eti kuwa wana mapenzi ya jinsia moja ni kinyume cha haki za binadamu, ni unafiki mkubwa, ni uonevu, ni dhambi kwa mwenyezi mungu na haina tija kwa mustakabali wa maisha yetu.

Lazima tujifunze kukubali ukweli badala ya kuendelea na unafiki ambao haujengi.

Tafakari

Herment A. Mrema

Date: Sun, 2 Aug 2015 07:31:27 +0000
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.

Katika mkutano na wanahabari katika ikulu ya Nairobi rais Kenyatta amekana kwa kinywa kipana kuwa serikali yake haitakubaliana katu na shinikizo la rais Obama kwa Kenya kuwatambua wapenzi wa jinsia moja.Tupe maoni yako.
em upo?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment